Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Hii nzuri sana, naamini ukombozi wa nchi ndio unaanza na unaanzia kwenye soka chini ya Karia alafu mengine yatafuata.Manara, Hersi Wafunguliwa Mashitaka ya kimaadili na Sekretarieti ya TFF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nzuri sana, naamini ukombozi wa nchi ndio unaanza na unaanzia kwenye soka chini ya Karia alafu mengine yatafuata.Manara, Hersi Wafunguliwa Mashitaka ya kimaadili na Sekretarieti ya TFF
Hiyo ndioYanga(byutbyut) na hao ndio viongozi wa Yanga(byutbyut), siku zote wanafikiria kinyume na wanatenda kinyume, sheria na kanuni zichukue nafasi yake! TFF waweke busara pembeni ili byutbyut wasije wakaeneza kirusi cha utovu wa nidhamu na kushusha heshma ya soka letu!!!Nilikuwa namuona Engineer Hersi anafanya mambo yake kisomi, kumbe nae hamna kitu, ameiharibu sana title yake ya "Rais wa klabu".
Mtu unajua kabisa, Manara amefungiwa kujihusisha na shughuli za mpira ndani ya Tanzania, halafu eti unadai "kumualika" kwenye shughuli yako akawe MC!.
Kwani ile haikuwa shughuli ya mpira? Kama walitaka kumualika wangemualika kwenye harusi, lakini sio kumpeleka pale uwanjani, lile lilikuwa kosa la makusudi linalostahili adhabu kali kwa wote wawili.
Hata wangekuwa Yanga watoto wa jana rule Hapana kwenye mpira wetu tulitegemea akate rufaa namimi nilimuunga mkono ila kwa ukaidi rule wa jana hapana juhudi apeleke kwao afungiwe hata maisha tu sawa
Una kila sifa za mtu masikini samahani lakiniMkuu dont judge a book by its cover. Yule jamaa ni zali tu kutokana na kuwa mtu wa GSM. Ila kichwani mweupe sana. Zile suti na sura ya upole vimeficha mengi sana. Sawa yeye mweupe kichwani ila amekosa hata akili kidogo ya kutumia wenye akili?
Unawapangia sioMwambie karia na kamati yake ya mchongo waifungie yanga ndo utapata majibu ya unachouliza 😁😁😁😁 .
Jana manara kaja kwenye tamasha la YANGA lakini cha ajabu kamati ya maadili wamemfungulia mashtaka engineer hersi . waambie waifungulie mashtaka timu sio MTU .
Mechi za kimataifa kwa mwaka zipo ngapi?Ni adhabu, kwa hiyo unataka kusema bila Yanga TFF inakufa? Kwanza waitegemee kwa lipi ilihali hata kimataifa ni wasindikizaji tu.
TFF ya awamu ya Karia ni ya kidwanzi kuwahi kutokea. Inafanya mambo mengi kwa mihemko na pia kwa kuwakomesha wale wote wenye mawazo mbadala.
Kuna watu wanamtaka manara wala usiumize kichwa kutafuta mwenye hoja ya msingi. Bongo mtu ukitemana nae anapenda akuone umenyorodoka huna ramani ili kesho urudi kumpigia magoti! Kazi ya kina ka-cry hiyoSijaona mwenye hoja humu zaidi ya ushabiki wa yanga na simba?? Vipi Manara kudai haki ya kukata rufaa na kunyimwa ilikuwa haki?? Mkitaka mpira wa bongo uende mbele cha kwanza tuongee kimpira na sio kishabiki
Hivi Mamlaka ya TFF kisheria hayana mipaka? Kwahiyo kila jambo linalohusu soka nchii hii liko chini ya TFF?We nawe usijitoe ufahamu ukajivurugia sifa yako ya kutokuwa shabiki wa hizi timu
Ukishafungiwa kujihusisha na tukio lolote linalo husiana na mpira husuasani lile linalo husiana na TFF halafu ikatokea event ya mpira ukajitokeza kama MC
Hapo utakuwa umeshiriki, kwani kazi ya manara ni kucheza?
Si ndio hiyo hiyo kuongea, sasa alivyofungiwa mlitafsiri sheria kama kafungiwa kucheza?
Hawa TFF lengo lake halijulikani ni nini, ilitakiwa ishitakiwe Yanga. Hata Tanzania ikidaiwa hashitakiwi Rais inashitakiwa nchi na mali zake kukamatwa.TFF Wana lao Jambo lililojificha.Manara, Hersi Wafunguliwa Mashitaka ya kimaadili na Sekretarieti ya TFF
Wanajua Sheria kwamba inayostahili kushitakiwa ni Yanga, Ila kwa kuwa pale TFF wamejaa Makolo, WAMEAMUA kumshitaki Rais wa Yanga!TFF na sijui hawajui kutafsiri sheria, hapo inatakiwa waifungulie kesi Yanga na Manara.
Kila jambo la soka nchini kazima lihusishwe na TFF unless iwe timu ya mtaani ambayo haitambuliki na TFFHivi Mamlaka ya TFF kisheria hayana mipaka? Kwahiyo kila jambo linalohusu soka nchii hii liko chini ya TFF?
Siku ya kilele ya wananchi au Simba day ni mambo yanayosimamiwa na TFF?
Kama hayasimamiwi na TFF, adhabu ya TFF kwa Manara inahusika vipi kisheria katika tukio ambalo haliko katika jurisdiction ya TFF?
Sasa ndo unataka kumaanisha nn? Funguka kwan eti.[emoji23][emoji23][emoji23] mpira wa bongo ni zaidi ya kuwa na pesa Dada . unaweza kuileta hapa real Madrid na wasichukue ubingwa wa ligi au hats kikombe chochote. Mikoani huko kuna shida sana ukienda kichwa kichwa huambui kitu. Watu kama akina manara ndo wataalamu wa fitna za mikoani . mwaka Jana simba game za away ndo zilimpotezea ubingwa.
Hata ukisikiliza ugomvi wa manara na karia siku ile pale uwanja wa mkwakwani Tanga ni kuwa . Baada ya yanga kutangulizwa na coastal union manara alitoka uwanjani akaenda "HOTELINI" yanga waliporudisha goli ndo manara akarudi uwanjani . baada ya hapo ndipo wakaanza kurushiana maneno na Karia.
Hana analolijua mpuuze huyo. Mpira kaujua ukubwani.Yanga ni Brand tokea miaka na miaka. Unalinganisha na Azam team ya juzi ?Haji hajaleta chochote Yanga. Sema Yanga ndo inafanya Manara aendelee kuexist. Bila Yanga Haji baada ya kufukuzwa Simba angepotea kabisa. Na yeye analijua hili ndo maana kapanic baada ya kufungiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi yule ni Engineer kweli au ni kama tu vile Prof J,Prof majimarefu,Dr Kumbuka n.k?
Ile ya malinzi?? Hadi yuko lupango huko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TFF ya awamu ya Karia ni ya kidwanzi kuwahi kutokea. Inafanya mambo mengi kwa mihemko na pia kwa kuwakomesha wale wote wenye mawazo mbadala.