TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Hiyo ndioYanga(byutbyut) na hao ndio viongozi wa Yanga(byutbyut), siku zote wanafikiria kinyume na wanatenda kinyume, sheria na kanuni zichukue nafasi yake! TFF waweke busara pembeni ili byutbyut wasije wakaeneza kirusi cha utovu wa nidhamu na kushusha heshma ya soka letu!!!
 
Manara ni pandikizi la Simba ndani ya Yanga, Hersi ni wakala wa Manara wamedhamiria kuiaibisha timu ya CCM
 
TFF ni Simba. Kiria ni Simba, Kidau ni Simba.
M
Hata wangekuwa Yanga watoto wa jana rule Hapana kwenye mpira wetu tulitegemea akate rufaa namimi nilimuunga mkono ila kwa ukaidi rule wa jana hapana juhudi apeleke kwao afungiwe hata maisha tu sawa

TFF HATA MANARA ALIE VP MSIMSIKLIZE

NA AKISKILIZWA BASI AKINA WAMBURA ,JERRY MURO,SHAFII DAUDA, N.K NA WAO WAFUNGULIWE WAWE HURU
MKIFANYA DOUBLE STANDARD DUNOA INAWAONA MTAHARIBU MPIRA NCHINI KWETU TZ
 
Watu wajanja sana walikuwa wanataka hii kesi igeuzwe kutoka TFF Vs Manara to TFF vs Vingozi wa Yanga.

Hapa TFF lazima waite maji mma.

Wameingia kichwa kichwa , Yanga na Simba ni kubwa sana kushinda TFF, huwezi ukapambana na viongozi wake kama unapambana na viongozi wa Ihefu
 
Mkuu dont judge a book by its cover. Yule jamaa ni zali tu kutokana na kuwa mtu wa GSM. Ila kichwani mweupe sana. Zile suti na sura ya upole vimeficha mengi sana. Sawa yeye mweupe kichwani ila amekosa hata akili kidogo ya kutumia wenye akili?
Una kila sifa za mtu masikini samahani lakini
 
Huu upumbavu wa TFF kutumia vyeo kukomoana uishe, issue ya Manara ni personal na Karia TFF waache kuendekeza huu ujinga, Karia sio King na hata CAF wakijua hili wanaweza kuwaadhibu TFF
 
Unawapangia sio
 
mngeachana na mambo ya kuoneshana ubabe ambao mi nauita ni wa kijinga mkashirikiana kusongesha gurudumu la soka mbele ningewaona wa maana
 
Ni adhabu, kwa hiyo unataka kusema bila Yanga TFF inakufa? Kwanza waitegemee kwa lipi ilihali hata kimataifa ni wasindikizaji tu.
Mechi za kimataifa kwa mwaka zipo ngapi?
 
Sijaona mwenye hoja humu zaidi ya ushabiki wa yanga na simba?? Vipi Manara kudai haki ya kukata rufaa na kunyimwa ilikuwa haki?? Mkitaka mpira wa bongo uende mbele cha kwanza tuongee kimpira na sio kishabiki
Kuna watu wanamtaka manara wala usiumize kichwa kutafuta mwenye hoja ya msingi. Bongo mtu ukitemana nae anapenda akuone umenyorodoka huna ramani ili kesho urudi kumpigia magoti! Kazi ya kina ka-cry hiyo
 
Hivi Mamlaka ya TFF kisheria hayana mipaka? Kwahiyo kila jambo linalohusu soka nchii hii liko chini ya TFF?

Siku ya kilele ya wananchi au Simba day ni mambo yanayosimamiwa na TFF?

Kama hayasimamiwi na TFF, adhabu ya TFF kwa Manara inahusika vipi kisheria katika tukio ambalo haliko katika jurisdiction ya TFF?
 
Kila jambo la soka nchini kazima lihusishwe na TFF unless iwe timu ya mtaani ambayo haitambuliki na TFF

Mi nadhani sheria ziko wazi ila watu tu mnataka kuleta utata usiokuwa na msingi.

Hili swala la manara kuhusu kushiriki au kutoshiriki kwa namna yeyote kwenye sherehe ya Yanga liliulizwa na waandishi wa habari siku aliyopewa hukumu na lilielezewa vizuri

Hiki kinachofanyika hapa ni dharau na ndio maana wame quote na vifungu vya sheria vilivyo kiukwa.
 
Sasa ndo unataka kumaanisha nn? Funguka kwan eti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hana analolijua mpuuze huyo. Mpira kaujua ukubwani.
 
TFF ya awamu ya Karia ni ya kidwanzi kuwahi kutokea. Inafanya mambo mengi kwa mihemko na pia kwa kuwakomesha wale wote wenye mawazo mbadala.
Ile ya malinzi?? Hadi yuko lupango huko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kampelekee chakula, lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…