TFF Yawapeleka Manara na Eng Hersi Kamati ya Maadili

TFF Yawapeleka Manara na Eng Hersi Kamati ya Maadili

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,935
Reaction score
3,346
Kimeumana, Baada ya Manara jana kukiuka adhabu ya kifungo, leo TFF wamewapeleka kwenye kamati ya maadili Rais wa Yanga na Manara.
 
Safi Sana
Wamejichanganya Yanga Wenyewe TFF Wembe Ule Ule Unaokata Kuwili
 
Screenshot_20220807-081736_Instagram.jpg
 
Wasulubiwe kama Byuti byuti na Vipers [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga hasa viongoz wao wana utoto Sana yani wanajisahau Sana kuna mda wanajiona Kama wao ndo wamiliki wa klabu, hii klabu n ya wanachama n klabu kubwa wamepewa tu dhamana na wanachama hawana weledi kabisa wanajisahau mapema Sana
 
Back
Top Bottom