Yanga hasa viongoz wao wana utoto Sana yani wanajisahau Sana kuna mda wanajiona Kama wao ndo wamiliki wa klabu, hii klabu n ya wanachama n klabu kubwa wamepewa tu dhamana na wanachama hawana weledi kabisa wanajisahau mapema Sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.