JoJiPoJi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 2,935 Reaction score 3,346 Aug 7, 2022 #1 Kimeumana, Baada ya Manara jana kukiuka adhabu ya kifungo, leo TFF wamewapeleka kwenye kamati ya maadili Rais wa Yanga na Manara.
Kimeumana, Baada ya Manara jana kukiuka adhabu ya kifungo, leo TFF wamewapeleka kwenye kamati ya maadili Rais wa Yanga na Manara.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Aug 7, 2022 #2 Safi Sana Wamejichanganya Yanga Wenyewe TFF Wembe Ule Ule Unaokata Kuwili
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Aug 7, 2022 #5 Watu wanapelekwa The Hegue sembuse kuitwa na hao wapuuzi wa tff
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,558 Reaction score 12,335 Aug 7, 2022 #6 Wasulubiwe kama Byuti byuti na Vipers [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambwaro JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,309 Reaction score 3,522 Aug 7, 2022 #7 Yanga hasa viongoz wao wana utoto Sana yani wanajisahau Sana kuna mda wanajiona Kama wao ndo wamiliki wa klabu, hii klabu n ya wanachama n klabu kubwa wamepewa tu dhamana na wanachama hawana weledi kabisa wanajisahau mapema Sana
Yanga hasa viongoz wao wana utoto Sana yani wanajisahau Sana kuna mda wanajiona Kama wao ndo wamiliki wa klabu, hii klabu n ya wanachama n klabu kubwa wamepewa tu dhamana na wanachama hawana weledi kabisa wanajisahau mapema Sana