TFF yaweka wazi adhabu ya Manara haihusu mitandao yake ya kijamii. Anaruhusiwa kupost

TFF yaweka wazi adhabu ya Manara haihusu mitandao yake ya kijamii. Anaruhusiwa kupost

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kamati ya maadili ya (TFF) imefafanua vitu vifuatavyo kuhusu hukumu aliyopewa Haji Manara kutokujihusisha na soka kwa miaka miwili nje na ndani ya Nchi.

1. Anaruhusiwa kwenda viwanjani kutazama michezo mbalimbali.

2. Adhabu haihusu mitandao yake ya kijamii. Anaruhusiwa kupost.

3. Amepewa siku (21) kukata rufaa.
 
Babra wewe wa kunifanyia hiviiiiiiiiiiiii?Nina jasho langu hapa

Bumbuli Kweli wewe Ni wa kwenda choooooni kucheka kwa furaha khs Jambo hiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?

[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Shoka hili hapa ashindwe yeye tu kukata rufaa

1658409195079.png
 
Kamati ya wahuni mbona hajamuhoji mtendwa hii kamati ya kumlinda Karia na genge lake, Mara kibao karia kafanya mambo ambayo ni nje na maadili ya nafasi yake sijawahi sikia hii kamati imemuta na kumuhoji.

Ingekuwa nchi za wenzetu huko mbele, ungekuta ameshaahughulikiwa kwa kosa kujihuaisha na mambo ya kisiasa
 
Dah...TFF kiboko eti anaruhusiwa mitandao Ya Kijamii..! Huu ni mtego Mwingine.... Nnavyomjua huyu Bwana atajiingiza Kichwa Kichwa kwenye huu mtego.!

Kuna MTU aliwahi kusema ' Duniani Ogopa Sana Mungu ,hlf Ogopa Mitandao'..!
 
Ila isiwe soka lililo chini ya TFF. Ligi za ulaya na burundi afanyie kazi tu.
Kwani akiandika Onyango kaiba chaki kwenye bweni analo lala uko pre seson itakua habari za soka?
 
Back
Top Bottom