Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Last edited:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Masha: "Slaa umezidi, mimi ni msomi niliyebobea tena nimesoma Marekani! Huwezi kuniambia lolote"
Dr. Slaa: "Kwanini usijiuzulu tu yaishe bwana mdogo! Unapigana na jiwe!"
Masha: Hata Mkuu anasema kula kule uliwe
Slaa: Ahh haliwi mtu hapa hata kwa dawa!
Masha : Tatizo lenu nyie mliosomea shule za kidini, hamjui kutanua na kutesa jijini.
Slaa: Utesaji wenu si mnasema ni wa zamu? Naona muda umefika uwapishe wengine.
Masha: On my dead body.
Slaa: Ohh, time will tell.
Kibunago, umeiba picha za Michuzi naona na wala huweki asante zake kwake. Ila nyie Wazenji mkiliwa kidogo, mnalia nyieee!! Watani zangu nawapenda kwa hilo. Kikwete anasema "ukitaka kula lazima na wewe uliwe kidogo, ila siyo sana". Tuko pamoja!!!

Kibs, pls acknowledge those pichazzzz right away or I'll stop visiting your GLOBU!!
Picha zote kwa hisani kubwa ya Michuzi blog