Masha: mzee ujue nakuheshimu sana........
Slaa: Na mimi nakuheshimu kijana...
Masha: Naweza kukufanya kitu mbaya sana...kwa kunizushia kashfa zisizokuwa na maana.
Slaa: Dogo, jina langu (Slaa) linajieleza hivyo hunifanyi chochote.
Masha: Mzeeee......Mzeeeee....
Slaa: Dogo..angalia...kidole na jicho....
Masha: Nitakupa kubwaa!!!!!!!!!
Slaa: aaaah wapi! niguse nikuchane chane na viwembe....
Masha: Jitu zima hovyoooo!!!!!!!!
Slaa: Imekuchoma hiyooooo
Slaa: Mimi ndio slaa za maangamizi bwana, nitakula nawe sahani moja hadi ubwage manyanga.