TGIF: Dr. Slaa na Masha ana kwa ana (Picha)



Masha: "Slaa umezidi, mimi ni msomi niliyebobea tena nimesoma Marekani! Huwezi kuniambia lolote"

Dr. Slaa: "Kwanini usijiuzulu tu yaishe bwana mdogo! Unapigana na jiwe!"
 
ha ha ha....

weekend huko kijijini
 

Masha:".....nitakupa za chembe...!!!"
Dr Slaaa:...........!!!!!
 

Attachments

  • za chembe.JPG
    45.7 KB · Views: 254
Dr. Slaa "Haka kajamaa kana point.. ila hizi tendencies zake za kif.."
 

"....Masha: hamna noma, unajifanya huelewi, siyo?!"
"....Slaa: dogo, mashine imara hii, fanya ujualo!"
 
Masha: Kaka hukuelewa hoja na dhamira ya my lettaz
Slaa: Dogo kila kitu kinajieleza wazi wazi kwenye dozia
Masha: Mkuu pale natetea national interest kama wewe
Slaa: Mheshimiwa sasa nimekupata naam tupo pamoja
 


Masha: "Slaa umezidi, mimi ni msomi niliyebobea tena nimesoma Marekani! Huwezi kuniambia lolote"

Dr. Slaa: "Kwanini usijiuzulu tu yaishe bwana mdogo! Unapigana na jiwe!"

Slaa....tatizo ni mchezo wako wa kukumbatia ufisadi wakati ungali kijana mdogo..

Masha....si unaona wewe unazeeka na hauna kiitu? watakucheka wazee wenzako huko kijijini jione....
 
I love the captions. Inanikumbusha mambo ya Anderson Cooper kwenye AC360 - CNN.
 
Masha: Hata Mkuu anasema kula kule uliwe
Slaa: Ahh haliwi mtu hapa hata kwa dawa!
 
Masha : Tatizo lenu nyie mliosomea shule za kidini, hamjui kutanua na kutesa jijini.
Slaa: Utesaji wenu si mnasema ni wa zamu? Naona muda umefika uwapishe wengine.
Masha: On my dead body.
Slaa: Ohh, time will tell.

Kibunago, umeiba picha za Michuzi naona na wala huweki asante zake kwake. Ila nyie Wazenji mkiliwa kidogo, mnalia nyieee!! Watani zangu nawapenda kwa hilo. Kikwete anasema "ukitaka kula lazima na wewe uliwe kidogo, ila siyo sana". Tuko pamoja!!!
 

Kibs, pls acknowledge those pichazzzz right away or I'll stop visiting your GLOBU!!
 
Kibunago, umeiba picha za Michuzi naona na wala huweki asante zake kwake. Ila nyie Wazenji mkiliwa kidogo, mnalia nyieee!! Watani zangu nawapenda kwa hilo. Kikwete anasema "ukitaka kula lazima na wewe uliwe kidogo, ila siyo sana". Tuko pamoja!!!

Kibs, pls acknowledge those pichazzzz right away or I'll stop visiting your GLOBU!!

Mambo ni mswano sasa... SteveD karibu sana Vituko vya Zenj... Na wewe Mnyamwezi Sikonge karibu sana..😀
 


"....Masha: Dr., Dr., asikuongopee mtu, vile viwaya kule hotelini sihusiki navyo mimi"
"....Slaa: Dogo, nilivishtukia mapema tu nilipoingia room, vijana wako yaonekana hawajui kufanyakazi professionally!"
"....Masha: Mzee Slaa, nakuhakikishia waliohusika tutawakamata"
"....Slaa: vijana wako wametikisa kiberiti na kukuta kimejaa"
"....Masha: unajua nini mzee, yawezekana pia hivyo vinyaya-nyaya vikawa mitambo ya kisasa tu ya air condition kwenye magodoro"
"....Slaa: Sawa Kijana, lakini wajua kuwa mimi siyo chizi pamoja na kuwa nilikimbia utawa"
..............



"....Masha: gonga FIVE basi, nakuhakikishia nitawashughulikia ipasavyo, ila..."
"....Slaa: ....ila nini?!...No no no, hapana kijana; hoja yangu bungeni siiondoi kamwe"
"....Masha: maslahi ya Taifa siyo?.... Gonga basi....!!"
"....Slaa: NO, hapana bwana mdogo. Tutaonana ndani ya kikao"
 


Masha:- weee mzee wewe?
Dr. Slaa:- Uuuuuh!




Masha:- Utachukua mkono!
dr. Slaa:- Mnnnnh!
 
The arms...do they look out of proportion (in relation to their bodies) or is it just me?
Masha...mhhh may be working out.
Slaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…