TGIF: Fuso na daladala "yangu" DAR

TGIF: Fuso na daladala "yangu" DAR

Mkuu unaogopa usije ukatajwa kama mmoja wa mafisadi papa/nyagumi nini? Hahahaha. Maana sikuhizi ukimsema fisadi anaanza kuchambua na mali zako na wewe.

ndugu yangu... mwisho wanaenda kumminya mtu korodani kutaka awatajie kwanini ameandika mwanakijiji dot com kwenye basi lake, anauhusiano gani halafu kumbuka kuna wale wanaopenda sifa kwa wakubwa zao amlete mtu na kusema "afande huyu ndiye mwanakijiji..!!
 
It has come to my attention.. jamaa fulani walikosa cha kufanya na kufuatilia magari mawili ambayo moja (fuso) limeandikwa "mzee mwanakijiji" na jingine daladala ambalo limeweka anuani ya tovuti ile nyingine. Sijui kiliwagusa nini kiasi cha kufikiria ninayamiliki na hivyo niko katika kampeni ya kujitangaza..

So kwa vile sina utajiri huo, naomba mwenye picha ya magari hayo (namba ninazo) ili na mimi nijione kuwa kumbe cheche kweli zimepamba moto.

NB: Mkiwaona muwasilimie tu.. similiki hata mojawapo msije mkawachomekea bure..
ze utamu? maana nasikia unatajwa kama mmiliki wake.....
 
Hahahaha. three questions:-
1. Kwanini jina la Mzee Mwanakijiji linafupishwa kama triple M yani MMM wakati mi naona M mbili tu.

Ni "Mzee Mimi Mwanakijiji" (jina langu, la mzazi na la ukoo!)!
2. Hivi kweli Mzee Mwanakijiji hajulikani kweli? Kwaio we believe and maybe trust one we can't see and don't know? Dangerous sio? But at the rate he is going itabidi ajiweke wazi tu because he has a following.

Wananijua usiwe na wasiwasi..

3. Akikataa Rostam hamtaki, mbona Mjj kakataa ku own hizo moto kaa hakuna anaebisha. Hehehe.

sasa wabishe nini kwamba nina ziown.. shoot.. kuna ninavyoown lakini havina majina ya kuweka namna hiyo.. sijipendi!?
 
ze utamu? maana nasikia unatajwa kama mmiliki wake.....

huyo Salva na uchokozi wake.... sasa kwanini wataje si wangeniuliza tu kama ninamiliki zeutamu au la? au hata kama nawajua wamiliki wake labda ningewasaidia! too late now.
 
Mkuu MM,
Sio Dar tu wanakokutambua hata huku Kyela kijiji cha Bujonde wanakufahamu na kukubaliana na hoja zako.Shughuli uliyofanya kipindi hiki cha takribani miezi 24 sio ndogo.Nakuomba usije kutoa sura yako hii Tanzanian mafia inakutafuta kwa udi na uvumba baki hivyohivyo mpaka hali itakapokuwa muafaka.
Infact you ur a household name in Kyela and TZ at large!

eh.. itabidi safari ya kwanza kusalimia lazima iwe "mbujonde"! au Undali kule Tabora (I still remember kesi za kifafa zilivyokithiri pale Ndali kwenye ile hospitali ya misheni na kuacha watoto wenye kifafa baada ya chanjo fulani hivi miaka ileeee!, )..

Au labda tuanzie pale Mwamboni Tanga au kama wengine wanavyofanya Unga Limited Arusha..!
 
Mwanakijiji bana! Ilimradi tu........

hahahaa.. it is friday bwana.. chrysler imeenda kufilisika, GM inaelekea huko huko na Detroit basically sucks! so.. If i take my self too serious maisha haya yatabakia kumbukumbuku ya 'niliwahi kuwepo'..
 
It has come to my attention.. jamaa fulani walikosa cha kufanya na kufuatilia magari mawili ambayo moja (fuso) limeandikwa "mzee mwanakijiji" na jingine daladala ambalo limeweka anuani ya tovuti ile nyingine. Sijui kiliwagusa nini kiasi cha kufikiria ninayamiliki na hivyo niko katika kampeni ya kujitangaza..

So kwa vile sina utajiri huo, naomba mwenye picha ya magari hayo (namba ninazo) ili na mimi nijione kuwa kumbe cheche kweli zimepamba moto.

NB: Mkiwaona muwasilimie tu.. similiki hata mojawapo msije mkawachomekea bure..

Mbona Ujiko!Sijui lini mtu ataona jina langu la MADELA WA-MADILU linafaa kuwa jina la daladala?Itabidi tuongee ili unipe hiyo janja ulotumia mpaka umekuwa Femasi kiasi hicho.Du! Ku&^%$#&@ Wa allah!
 
Mbona Ujiko!Sijui lini mtu ataona jina langu la MADELA WA-MADILU linafaa kuwa jina la daladala?Itabidi tuongee ili unipe hiyo janja ulotumia mpaka umekuwa Femasi kiasi hicho.Du! Ku&^%$#&@ Wa allah!

we subiri tu uone bonge la jidege limeandikwa ubavuni "madela wa madilu"..!
 
hii ya kuandika majina ya wana JF inakera sometme......kuna shori nilikutana nae kachora tatoo ya jina la Yo Yo kifuani......nili mind sana
 
hii ya kuandika majina ya wana JF inakera sometme......kuna shori nilikutana nae kachora tatoo ya jina la Yo Yo kifuani......nili mind sana

Ahahahahahaaa...acha fiksi wewe. Jinsi nikujuavyo usingemwachia huyo shori...ahahahahahahahahaa.....achore jina lako wewe Soja Boi kwa minajili ipi...ahahahahahahahaa
 
Ahahahahahaaa...acha fiksi wewe. Jinsi nikujuavyo usingemwachia huyo shori...ahahahahahahahahaa.....achore jina lako wewe Soja Boi kwa minajili ipi...ahahahahahahahaa
Najua huwezi kuamini na alikuwa shori mkali kweli kweli.....kitu ambacho nilipomuuliza aliskuwa anaporomosha maflag kwa Yo Yo utafikiri anamjua.....naogopa kusema mengi alinijibu maana nahisi atakuwa anatembelea sana JF alipotoa design ya tatoo yake.....
 
Okay....mimi nilibloo pale sista mmoja alipompa jina la Ngabu newborn wake....I was honored, for real
 
Labda kaandika kwa sababu anampenda Yo-Yo Ma au Queen Yo-Yo...
 
Okay....mimi nilibloo pale sista mmoja alipompa jina la Ngabu newborn wake....I was honored, for real
kwikwikwikwikwikwi ....aisee hii JF lazima itakuja kulaumiwa kama watu wanatoa majina ya member na kuwapa watoto wao.....huyo ngabu jr lol

Labda kaandika kwa sababu anampenda Yo-Yo Ma au Queen Yo-Yo...
mkuu uzuri nilimuuliza maana ya tatoo yake jibu lake ndio maana nili mind sana...sisemi mengi lazima atakuwa anatembelea JF

Au Yo Yo yule rapper wa Calli....Rapper Yo-Yo: 'Memba Her?! | TMZ.com
noo huyu shori niekutana nae nahisi anatembelea JF sababu ya tattoo yake ni kaniambia kaitoa JF...
 
Naona akina Nyani mmeniacha kwenye Tope chafu na Rostam Aziz.Shori ndo nini vile?Hii kubeba sana maboksi kichwani ina punguza nywele na uwezo wa kutambua msamiati mpya wa kiswahili.
 
hii ya kuandika majina ya wana JF inakera sometme......kuna shori nilikutana nae kachora tatoo ya jina la Yo Yo kifuani......nili mind sana
hehehe
hapo ulikuwa unamtoa sidiria mzee ukakuta yo yo kuuubwa kwenye nyo nyo.
vipi aliposaula pant hakuweka tatoo ya FIDEL kwenye kalio??? hehehehe
 
Back
Top Bottom