Najua huwezi kuamini na alikuwa shori mkali kweli kweli.....kitu ambacho nilipomuuliza aliskuwa anaporomosha maflag kwa Yo Yo utafikiri anamjua.....naogopa kusema mengi alinijibu maana nahisi atakuwa anatembelea sana JF alipotoa design ya tatoo yake.....
hii ya kuandika majina ya wana JF inakera sometme......kuna shori nilikutana nae kachora tatoo ya jina la Yo Yo kifuani......nili mind sana
keep up.. sasa hizo picha zake basi.. maana kuna vistarehe vichache duniani wengine vinatutia moyo... kwamba ujumbe umefikia kijijini!
It has come to my attention.. jamaa fulani walikosa cha kufanya na kufuatilia magari mawili ambayo moja (fuso) limeandikwa "mzee mwanakijiji" na jingine daladala ambalo limeweka anuani ya tovuti ile nyingine. Sijui kiliwagusa nini kiasi cha kufikiria ninayamiliki na hivyo niko katika kampeni ya kujitangaza..
So kwa vile sina utajiri huo, naomba mwenye picha ya magari hayo (namba ninazo) ili na mimi nijione kuwa kumbe cheche kweli zimepamba moto.
NB: Mkiwaona muwasilimie tu.. similiki hata mojawapo msije mkawachomekea bure..