Inasound kama kipofu aliyeona mwezi....
Utathubutu kusema hivyo kwa kiingereza? thubutu!
Hahahahahah!...you always have something to say.mwanamke wako ana kazi kweli kweli.
wouldn't you know.....
Well if i was?...yes!
be careful what you wish for? being mrs. ngabu ain't a picnic.....
Please who would wish to be mrs Ngabu kwanza jina lenyewe lipo so wierd.
heheheheheee....you'd be surprised......
With what?the attention you are getting au the name sells itself.
with the attention and proposals i get from women.....ngabu is a stud, studmuffin that is....lol
No iini..kavele!Utathubutu kusema hivyo kwa kiingereza? thubutu!
Kibwagizo!Hii nayo ni siasa?
Nyani Ngabu,
Unajua wewe mhuni sana mkuu!... Duh! yaani huniacha hoi unavyowamaliza hawa dada zetu..
Haya mnaolia Snow jaribu kufikiria tu huku North imekuwaje!...Taxi zetu ni wale mbwa wakivuta caravan - back to 14 century..