TGIF: snow day!

TGIF: snow day!

na hii snow pia imekuwa siasa? sie wengine tunaiona snow kwenye freezer la kijiji tu. lakini wanasayansi wametabiri kuna siku manzese kutaanguka snow! wadau tupeni dataz!
 
Nyani Ngabu,
Unajua wewe mhuni sana mkuu!... Duh! yaani huniacha hoi unavyowamaliza hawa dada zetu..
Haya mnaolia Snow jaribu kufikiria tu huku North imekuwaje!...Taxi zetu ni wale mbwa wakivuta caravan - back to 14 century..
 
Hehehehehe....pole sana mkuu maana najua T-Dot si mchezo
 
Back
Top Bottom