TGIF:Zilipendwa Tamu

TGIF:Zilipendwa Tamu

Geeque

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2007
Posts
936
Reaction score
319
Baada ya wiki nzima kukatika na jana Kikwete kuendelea kuwaumiza vichwa watanzania ni bora Ijumaa hii ujiliwaze kwa kujikumbusha na nyimbo za Zilipendwa karibuni sana.

DDC Mlimani Park Orchestra - Hasira hapa http://www.eastafricantube.com/media/10015/DDC_Mlimani_Park_Orchestra_-_Hasira/

Orchestra Marquiz du Zaire - Makumbele hapa http://www.eastafricantube.com/media/1604/Orchestra_Marquiz_du_Zaire_-_Makumbele/

Msongo Ngoma - Tuma hapa http://www.eastafricantube.com/media/10215/Msondo_Ngoma_-_Tuma/

Msondo Ngoma - Msafiri Kakiri hapa http://www.eastafricantube.com/media/9555/Juwata_Jazz_Band_-_Msafiri_Kakiri/

Bima Lee Orchestra - Mesenja Kaleta Balaa hapa http://www.eastafricantube.com/media/9546/Bima_Lee_Orchestra_-_Mesenja_Kaleta_Balaa/
 
Si wote ambao wamechukizwa na hotuba hio nzuri.wengine imeturidhisha kabisa.
 
Naomba unipe emailyako na mimi niweze kukuongezea katika dbase yako nami ninazo nyingi
 
Naomba unipe emailyako na mimi niweze kukuongezea katika dbase yako nami ninazo nyingi

Pouwaaa Mazee itakuwa pouwaaa sana tena kwa Eastafricantube.com ni rahisi kwa sababu unaweza ku-register tu na kuzipandisha pale nyimbo zote. Kwani ile email yako ya yahoo yenye nyimbo bado iko hewani?
 
sweet mother i never forget you ... dont know who sung this but ... it wakes me up even from deep sleep ...
 
sweet mother i never forget you ... dont know who sung this but ... it wakes me up even from deep sleep ...

sweet mother uliimbwa na prince Nico mbarga na dada Tilda akaurudia akiwa na Rocafil Jazz.

Enjoy.
 
sweet mother uliimbwa na prince Nico mbarga na dada Tilda akaurudia akiwa na Rocafil Jazz.

Enjoy.


eeeeh thanks buddy ... where can i source it ... i only hear it once in a while on the radio
 
SHY,
Itakuwa vema ukiziweka kwenye (km) RAPIDSHARE na huko kila mtu kwa nguvu yake aweze kwenda na kuvuta. Itakusaidia kutuma mara moja kwa wote na si mara kibao kwa watu wengi. Naandika hivyo kwani na mimi ningelipenda kuzipata. Huku Sikonge zilipendwa ni za shida sana sana. Vinginevyo basi na mimi nitumie kwa email SIZYAS@YAHOO.CO.UK.
 
Back
Top Bottom