Yeye kauliza swali juu ya swali na wewe umeuliza swali juu ya swali.Kwanini usijibu alichaondika badala naww kuuliza swali
Kabla ya kupita kote huko umejiuliza ni wakati gani walianza kutafutwa na wakati gani waliingia nchini?1) Ni nchi ngapi alipita kabla ya kufika Tanzania?
2) Je huko alipopita Interpol walikuwa wamelala na kuamka pindi tu alipofika Tanzania?
3) Kwanini interpol hawakufanikisha kukamatwa kwake pindi alipovuka boda kuingia Zimbawe, Zambia na kwengine alipopita?
Nafikiri ifike wakati tukubali tu kwamba askari wetu kwa namna fulani wako vizuri. Ndio maana hata chama cha upinzani Afrika Kusini EFF na nchi nyingi duniani zilitupongeza.
Wapelelezi wa south Africa baada ya kupata info jamaa yupo Arusha waliingia nchini kama watalii wakapiga kambi Arusha hadi walipomnasa jamaa. Legal experts wa South Africa wameshaingia nchini kwa ajili ya extradition ya mhalifu back to South Africa. Swali ni jee tuna mkataba wa kubadilishana wafungwa? Nchi ya South Africa ina sheria ngumu ya extradition ya mhalifu,
Huyo jamaa ni fugitive,ana nini cha maana mpaka hao watu wazito wakubali kumtorosha na kumsafirisha? ana umuhimu gani haswa?No. Demu wake alichukua mwili mortuary, unaofanana na wa jamaa. Waka collaborate na some prisoners officials. Iyo ishu yao ni chain moja ndefu sana, hawakuwa wenyewe hadi wanafika bongo. Nasikia kuna wazito SA wamewafadhili pia.
Interpol ni polisi hawahawa wa bongo babuKabla ya kupita kote huko umejiuliza ni wakati gani walianza kutafutwa na wakati gani waliingia nchini?
Umejiuliza ni kwanini Interpol?
Wewe kama umefika mahali pa 'kukubali tu' basi hongera kubali kivyako na hapo ulipo umefika kivyako jaujafika na mtu mpaka useme 'mmefika mahali mkubali tu'.
Hatubezi uwezo wa Polliso wetu katika vitu ambavyo wana uwezo mavyo, ila isiwe sababu ya kupotosha na kuwafanya watu watambue kuwa kuna mifumo hufanya kazi beyond hapo na namna hata wao wakihisi vyombo vya ndani vinapindapinda jinsi gani wavifikie
Unamuambia nani asiyeelewa au unjaribu kuongea nini?Interpol ni polisi hawahawa wa bongo babu
Maana yake polisi wa bongo ndiyo waliofanikisha ukamataji,maana Kuna ngulumbili hazitaki sifa ziende kwa polisi wa bongoUnamuambia nani asiyeelewa au unjaribu kuongea nini?
Mkuu Ile maiti iligundulika haijafariki kwa ajali ya moto Bali ni kupigwa na kitu kizito, Sasa maiti iliyopigwa na kitu kizito wamenunua wapi?Mtoa mada naomba tusaidiane kuweka ukweli hasa kwenye sensitive mada kama hii, nimefuatilia sana kuhusu issue hii na informations nyingi zinaonyesha kuwa, Mr.Bester hakuua mtu ili kufanikisha escaping yake, inaonekana walinunua maiti, means iliingizwa maiti ndani ya ile prison, kwa hiyo issue ya kuua kwa sasa haipo ila na fugitive huyu he just walk out from prison, SA ni LAZIMA wafuate sheria zetu kuhusu issue hii,nchi yangu is roll over kwa kuwaogopa hasa kwa wale wawili, Dr.Nandipa na Mozambiqueian (hawa ni illegals,wapelekwe mahakamani ,wapigwe faini au jela kama sheria zetu zinavyosema kuhusu illegals),but for Mr.Bester huyu ameshakua convicted kwa murder na raping (real men hawa rape),huyu ame cross line, kwanza ahukumiwe kwa kuwa illegal, then kama tuna mkataba wa kurudishiani fugitives na SA ,ni vema arudishwe haraka SA kwa pingu mwili mzima na mijeledi juu, honestly I hate rapist
Wako vizuri kwa wageni ila kwa watanzania wangemtaka marehemu wa moto atoe ushahidi kuwa yeye siye Bester.Hao ni majasusi wa dunia.
Mbaya kuua mtu ili wewe uokoke, mbaya zaidi mbele za Mungu pia.
All in all polisi wa tz wako vizuri, naogopa kusema CONGRATULATIONS.
Angesogea hapo kwa Uhuru asingekamatwa mpaka afe kweli kweli.
Kwa hiyo Interpol ndiyo waliompiga risasi Acquilina? Interpol mdiyo walimkamata mama Samia kipindi kile akiwa naibu Waziri? Interpol ndiyo wanaobambikia kesi watu? Interpol ndiyo wanakamatia hizi rushwa za barabarani?Maana yake polisi wa bongo ndiyo waliofanikisha ukamataji,maana Kuna ngulumbili hazitaki sifa ziende kwa polisi wa bongo
Nieleweshe wewe Mkuu juu ya hili jambo.elewa wako ndiyo umeishia hapo? Au kuna mwingine tuusubiri unaelekea taratibu kichwani mwako?
Kama Nigeria,Kenya hamna kitu kuleSystem ya SA is corrupted beyond
Mbona inasemekana iliingizwa maiti ya mtu ambaye alishafariki??Hii ni mbaya sana yaani unaratibu mauji ya mtu asiye na Hatia Kwa kuchoma gereza Ili tuu wewe utoroke gerezani.
Kuna mashaka sana na security appatus za Afrika Kusini.
Reference: Thabo Bester and Spouse Dr Nandipha Magadugula.
=======
Tanzania Police have confirmed the arrest of South African prison escapee Thabo Bester and his accomplice Dr. Nandipa Magudumana and one other person by the name of Zakaria Alberto.
In a short statement released by the Police Spokesperson David A Misime, Tanzania Police said they are finalizing, “other international and national procedures” for the case.
Thabo Bester, a serial rapist, scammer, and murderer was confirmed to have escaped Mangaung Prison in South Africa in March 2023 after a viral Twitter picture that showed him shopping. It was later learned that Bester had escaped prison in May 2022 in a ploy that involved fake suicide.
Prison cell where Bester was kept had caught fire only for his corpse to be found burnt beyond recognition. Bester was pronounced dead, only for the news to resurface on social media that he was living large with South African celebrity Doctor, Nandipa Magundumana.
Reports show it was a complex scheme that involved Dr Nandipa Magundumana who collected the burnt corpse from prison, claiming she was the wife of Thabo Bester.
Confirming the arrest of Thabo Bester, South Africa Minister of Justice and Correctional Services Ronald Lamola, says he is expecting to be in Tanzania on Sunday, April 09, 2023, to follow up on the case.
“We have confirmed with all relevant authorities in Tanzania which include the national Police in Tanzania and Interpol that fugitives have been processed in the Tanzania criminal justice system,” said Lamola in a press statement.
Waliitoa wapi? Unaua harafu unachoka Juu.Mbona inasemekana iliingizwa maiti ya mtu ambaye alishafariki??
Ndani ya fuvu una ubongo au mazvuzi!?Kwa hiyo Interpol ndiyo waliompiga risasi Acquilina? Interpol mdiyo walimkamata mama Samia kipindi kile akiwa naibu Waziri? Interpol ndiyo wanaobambikia kesi watu? Interpol ndiyo wanakamatia hizi rushwa za barabarani?
Usifikiri kila askari unayemuona ukadhani ana access na interpol files
Walikubali kwavile walihongwa pesaHuyo jamaa ni fugitive,ana nini cha maana mpaka hao watu wazito wakubali kumtorosha na kumsafirisha? ana umuhimu gani haswa?
Acha kushupaza shingo Mkuu,hakuna pahala popote pasipo na mafanikio bila failure.Kwa hiyo Interpol ndiyo waliompiga risasi Acquilina? Interpol mdiyo walimkamata mama Samia kipindi kile akiwa naibu Waziri? Interpol ndiyo wanaobambikia kesi watu? Interpol ndiyo wanakamatia hizi rushwa za barabarani?
Usifikiri kila askari unayemuona ukadhani ana access na interpol files
Mochwari, jaribu kusikiliza youtubeWaliitoa wapi? Unaua harafu unachoka Juu.