Thabo Bester maarufu 'Mbakaji wa Facebook' na Dkt. Nandipha Magudumana wakamatiwa Arusha Tanzania. Wafahamu kwa undani wapenzi hawa

Thabo Bester maarufu 'Mbakaji wa Facebook' na Dkt. Nandipha Magudumana wakamatiwa Arusha Tanzania. Wafahamu kwa undani wapenzi hawa

Mmmmm mkuu mimi death sentence it's a NO, tutumie ile long jail sentence kama double life jail +300yrs ,yaani asitoke
... kumbuka aliwekewa hiyo na bado akatoka tena kwa kuua mtu mwingine ili wapate kisingizio ni yeye aliyefariki akiwa gerezani hence kurahisisha kutoroka!
 
Ni moja ya watu ambao napinga hii adhabu. But kuna watu kwenye jamii lazima waondolewe once and for all ili kuleta utulivu
... you're right! Worse enough, ili kurahisishsa kutoroka kwake gerezani mwananchi asiye na hatia alienda kuuwawa ili wapate maiti ya kusingizia ni yeye aliyekufa! Huyu sio mtu wa kuachwa aishi kabisa!
 
T

Taa moja ya gari haikuwa inawaka, interpol wakamng'ang'ania, akajitetea kuwa taa imeharibika tu maana alikua hajagundua mpaka walipomsimamisha, akaomba wamruhusu aende maana ilikua ni usiku sana na alikua akitoka harusini. Jamaa wakagoma, wakamtishatisha, baadaye , wakaamua kumpeleka Kituoni, maana aligoma kusomeka. Kufika Kituoni ndiyo mkuu wake anastuka na kumshtua yule kamaa kuhusu aliyemkamata, jamaa akatokomea, yule mkuu akaomba msamaha na kuagiza askari wamrudishe hadi nyumbani
Kumbe ana busara, mwingine angesema unanijua mimi nani n.k
 
Kabla ya kupita kote huko umejiuliza ni wakati gani walianza kutafutwa na wakati gani waliingia nchini?
Umejiuliza ni kwanini Interpol?
Hivi uliwahi kusome shule kweli? Toka lini shuleni mwalimu akauliza swali afu mwanafunzi na yeye akajibu kwa kumuuliza mwalimu swali? Imanaa jibu la swali ni swali lingine?

Badala ya wewe kuweka fact ya lini waliingia nchini na lini walianza kutafutwa na kukamatwa, na jinsi interpol walifanikisha njia ya kukamatwa kwao ili kujibu swali langu eti na wewe tena unaniuliza swali kabla ya kujibu swali. Aisee elimu yetu inabidi ipitiwe upya ili watu waweze kujua namna ya kujibu kwanza swali kisha ndio kuuliza swali 😂😂😂
Hatubezi uwezo wa Polliso wetu katika vitu ambavyo wana uwezo mavyo, ila isiwe sababu ya kupotosha na kuwafanya watu watambue kuwa kuna mifumo hufanya kazi beyond hapo na namna hata wao wakihisi vyombo vya ndani vinapindapinda jinsi gani wavifikie
😂😂😂 huwa nacheka mtu anaponambia kuwa nimepotosha swala fulani ambalo hata na yeye hakuwepo kuliona.

Sasa wewe ambae haupotoshi utuwekee evidence inayoonesha kuwa unachoongea ni kweli. Nikimaanisha fact ambazo zitaonesha kuwa interpol ndio waliohusika na ukamataji huo, au ushahidi kuwa walitoa saini yoyote kwa jeshi letu la polisi kuwakamata hao jamaa.

Kuna msemo unaosema kuwa usimkate mtoto wako mkono kisa ameshika kinyesi. Nikimaanisha kwamba usitengeneze chuki kwa polisi kisa tu kuna watu wameifanya akili yako iwachukie hata pale wanapofanya mazuri, wewe uone mabaya.
 
Hivi uliwahi kusome shule kweli? Toka lini shuleni mwalimu akauliza swali afu mwanafunzi na yeye akajibu kwa kumuuliza mwalimu swali? Imanaa jibu la swali ni swali lingine?

Badala ya wewe kuweka fact ya lini waliingia nchini na lini walianza kutafutwa na kukamatwa, na jinsi interpol walifanikisha njia ya kukamatwa kwao ili kujibu swali langu eti na wewe tena unaniuliza swali kabla ya kujibu swali. Aisee elimu yetu inabidi ipitiwe upya ili watu waweze kujua namna ya kujibu kwanza swali kisha ndio kuuliza swali 😂😂😂
😂😂😂 huwa nacheka mtu anaponambia kuwa nimepotosha swala fulani ambalo hata na yeye hakuwepo kuliona.

Sasa wewe ambae haupotoshi utuwekee evidence inayoonesha kuwa unachoongea ni kweli. Nikimaanisha fact ambazo zitaonesha kuwa interpol ndio waliohusika na ukamataji huo, au ushahidi kuwa walitoa saini yoyote kwa jeshi letu la polisi kuwakamata hao jamaa.

Kuna msemo unaosema kuwa usimkate mtoto wako mkono kisa ameshika kinyesi. Nikimaanisha kwamba usitengeneze chuki kwa polisi kisa tu kuna watu wameifanya akili yako iwachukie hata pale wanapofanya mazuri, wewe uone mabaya.
Sikusoma shule, shule niliwaachieni ninyi wenye vichwa vya darasani.
Swali ili liwe na mantiki na ili lipewe ushirikiano utakaopelekea kujibiwa ni lazima muulizaji ajiulize kwanza. Hauwezi ukauliza kila kitu hadi vitu ambavyo ni basic sana.
Hayo ni matumizi mabovu ya shule mlizo soma.
 
Sikusoma shule, shule niliwaachieni ninyi wenye vichwa vya darasani.
Asante kwa kuwa mkweli kuwa haukusoma. Maana bila hivyo ningepoteza muda wangu bure kubishana na mtu asiejua anachobishia.

Nilitaka nishangae mtu mwenye shule anawezaje kuuliza maswali yasiokuwa na mantiki yoyote kwenye mada hii.
 
Wapelelezi wa south Africa baada ya kupata info jamaa yupo Arusha waliingia nchini kama watalii wakapiga kambi Arusha hadi walipomnasa jamaa. Legal experts wa South Africa wameshaingia nchini kwa ajili ya extradition ya mhalifu back to South Africa. Swali ni jee tuna mkataba wa kubadilishana wafungwa? Nchi ya South Africa ina sheria ngumu ya extradition ya mhalifu,
Vp mnataka kukaa naye huyo bester tanzania au?

Ova
 
Asante kwa kuwa mkweli kuwa haukusoma. Maana bila hivyo ningepoteza muda wangu bure kubishana na mtu asiejua anachobishia.

Nilitaka nishangae mtu mwenye shule anawezaje kuuliza maswali yasiokuwa na mantiki yoyote kwenye mada hii.
Sawa Msomi
 
Wapelelezi wa south Africa baada ya kupata info jamaa yupo Arusha waliingia nchini kama watalii wakapiga kambi Arusha hadi walipomnasa jamaa. Legal experts wa South Africa wameshaingia nchini kwa ajili ya extradition ya mhalifu back to South Africa. Swali ni jee tuna mkataba wa kubadilishana wafungwa? Nchi ya South Africa ina sheria ngumu ya extradition ya mhalifu,
Hao wapelelezi walikuwa wapi mpaka akawatoroka?

Yani umfungie mtoto wako ndani, mtoto atumie ujanja wake kutoka ndani huku wewe ukiwa mlangoni bila kumuona.

Akimbilie kwa jirani, jirani amkamate baada ya kusikia unalalamika kuwa mtoto wako amekutoroka. Jirani baada ya kumkamata akwite uje umchukue mwanao, afu wewe ghafla uanze kujisifu kuwa ni wewe ndio uliemkamata 🤣🤣🤣

Ukubali tu kwamba mtoto wako alikushinda ujanja na maarifa hadi akafanikiwa kukutoroka ukiwa mlangoni kwako.
Pia usione aibu kumshukuru na kumsifu jirani kwa kufanikisha kukamatwa kwa mtoto wako.
 
Swali! Je Police wa Tanzania Wana Jalada la huyo Muhalifu wa South!!?? Naamini hata Kama police wa Tz wamemkamata Muhalifu Arusha,lazima itakua ni team work Kati ya South African police na Police Tanzania,na unaweza kuta hadi Mozambique police nao wamesheriki hata kwa kutoa infor za hao wahalifu direction yao to Tanzania!!!
Polisi wanashea taarifa za kihalifu hasa uhalifu unaovuka mipaka kama uharamia,biashara ya silaha,usafirishaji binadamu kwa njia za panya nk,na katika kusimamia hilo inakuwepo kanzidata ya wahalifu wote wanaotafutwa ambapo kupitia Kitengo cha Interpol kila nchi taarifa hizo hufika na kufanyiwa kazi na Polisi wa nchi hiyo husika.
 
Waliharibu walipoenda night club, shisha kwa sana , kumbe interpol wako kazini
Bongo kuna ma pimbi wengi sana wanadhani Interpol ni polisi wengine toka ughaibuni, hawajui kua hio Interpol inatokana na hao hao polisi wa bongo ila jina tu. Informations zote zinatokana na polisi wa bongo, na ndio kazi walioifanya ya kuwakamata. Interpol ni jina tu, local police ndio wenye kazi yao kuna kitengo tu hapo..
 
Kwa hiyo Interpol ndiyo waliompiga risasi Acquilina? Interpol mdiyo walimkamata mama Samia kipindi kile akiwa naibu Waziri? Interpol ndiyo wanaobambikia kesi watu? Interpol ndiyo wanakamatia hizi rushwa za barabarani?
Usifikiri kila askari unayemuona ukadhani ana access na interpol files
Akili zako sawa na kisoda, sijui umefikaje hapa kwa great thinkers.
 
Akili zako sawa na kisoda, sijui umefikaje hapa kwa great thinkers.
Great thinker ambaye anafananisha akili na umbo tena la kisoda akiamini kisoda ni kidogo, wakati akili ni invisible na hupimwa kwa matokeo, pia nakukubali sana great thinker asiyejua kuwa makazi ya akili ni kwenye neurone ambazo ni micro.

Aisee, nothing is funny when compared to the self proclaime great thinkers.
 
Hao ni majasusi wa dunia.

Mbaya kuua mtu ili wewe uokoke, mbaya zaidi mbele za Mungu pia.

All in all polisi wa tz wako vizuri, naogopa kusema CONGRATULATIONS.

Angesogea hapo kwa Uhuru asingekamatwa mpaka afe kweli kweli.
Acha Mzaha wewe! Yule Askari aliyewapiga risasi wale wafanyabiashara wa madini (Ephraim & Sabinus Chigumbi, Mathias Lukombe na dereva wao wa Taxi (Juma Ndugu) mbona mpaka leo hawajamkamata!? Huyo mhalifu wa South Africa ni wao wenyewe walikuwa wanamfuatilia.

Mungu Awarehemu wale wandugu na Haki Ipatikane Kwa Aliyewaua.
 
Bongo kuna ma pimbi wengi sana wanadhani Interpol ni polisi wengine toka ughaibuni, hawajui kua hio Interpol inatokana na hao hao polisi wa bongo ila jina tu. Informations zote zinatokana na polisi wa bongo, na ndio kazi walioifanya ya kuwakamata. Interpol ni jina tu, local police ndio wenye kazi yao kuna kitengo tu hapo..
Hiki ndiyo kinachowachanganya wengi wao,Askari wa Interpol ni Askari yule yule wa nchi husika mfano hapa kwetu waliopo Interpol ni wale wale waliofanya mafunzo yao Shule ya Polisi-Moshi.
 
Back
Top Bottom