Thabo Bester maarufu 'Mbakaji wa Facebook' na Dkt. Nandipha Magudumana wakamatiwa Arusha Tanzania. Wafahamu kwa undani wapenzi hawa

Jamaa alikosea kwenda arusha , Arusha ni mji wenye wageni wengi so ukaguzi wake kwa wageni ni intesive tofaut na miji mingine akijificha Mwanza huko angetoboa ,
 
Dreva wa Lissu angebaki nchini angeuliwa na watu wa Magufuli. Tumia akili kwenye argument ya Lissu wacha kuchukua majibu mepesi ya Kamanda Sirro
 
Thabo akili nyingi lakini kazitumia kijinai
 
Dreva wa Lissu angebaki nchini angeuliwa na watu wa Magufuli. Tumia akili kwenye argument ya Lissu wacha kuchukua majibu mepesi ya Kamanda Sirro
Kama mmeaminishwa kuwa kigezo cha kumtorosha dereva kilikuwa ni kumuogopa Magufuli. Sasa Magufuli ashafariki, na mama utawala wake ni tofauti na ule wa Magufuli.
Mleteni dereva sasa ahojiwe na polisi, mbona Lisu mwenyewe ashakuja?
 
Ondoa upumbavu hapa. Iko siku utakuja kujuwa kwa nini nimekuita mpumbavu. Tuombe uzima mungu azidi kutuweka hai. Waliompiga rosasi Tundu Lissu watakuja kufika mbele ya Mahakama. Usichukulie maridhiano ya Samia na Mbowe au ukimya wa Samia ukadhani ukurasa umefungwa. Jinai haizeeki wala haifi
 
ma chadomo mna shida sana yaani povu kama lote ...hapo unakuta unataka kuropoka matusi ila basi tu unaogopa barn...
 
We nae unatumia akili zako au za mnyama fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…