Hajasema hampati mimba anadai mnadaka mimba haraka kabla hawajafaidi mahusiano.Usitutukane dada zako,
Wanaume wenyewe mwageuzana mimba tutapata wapi?
Weka randamaSijui ikoje lakini nimeshasoma stori ya drug lord mmoja pia alikua anatafutwa huko marekani miaka hiyo then akaja kukamatiwa moshi bongo hii hii. Ingine niliskia stori tu vijiweni kuhusu mmarekani alieuwawa then simu yake ndio ikawaleta fbi mbaka iringa tz kumkamata muhusika wa tukio.
VIPI WALIOMPIGA RISASI TUNDU LISSU na KUMTEKA MO wamewapata au mpaka zamu ya Makachero wa South afrika?
Silly questionVIPI WALIOMPIGA RISASI TUNDU LISSU na KUMTEKA MO wamewapata au mpaka zamu ya Makachero wa South afrika?
Hadi Leo tangu Nov 1963 waliompiga Risasi Kenedy ( Rais wa Marekani) bado wanatafutwaVIPI WALIOMPIGA RISASI TUNDU LISSU na KUMTEKA MO wamewapata au mpaka zamu ya Makachero wa South afrika?
kwa hiyo hapa walikuwa na kuwezeshwa?Kwenye pesa wapo vizuri sana. Jeshi letu likiwezeshwa kiuchumi litapunguza lawama na malalamiko mengi waliyonayo
Jibu konki sana hili Mzee Baba [emoji1666]Hadi Leo tangu Nov 1963 waliompiga Risasi Kenedy ( Rais wa Marekani) bado wanatafutwa
Sawa sawa....Kwani INTERPOL ndio wamekuja kukamata!!? Wakati mwingine tuwapongeze wakifanya vizuri. Nenda Youtube ukaone wa South wanavyopongeza TANPOL.
tuwape heko askari wetuMkuu,SAPS ni takataka kabisaa,huwezi kuofananisha na @tanpol kwa namna yoyote,SAPS ni kitengo cha majizi tu,juzi hapo wamekamatwa wakihusishwa na utekaji wa magari ya kusafirisha fedha CIT,polisi wa South ni certified criminal,angalau bongo kuna polisi wanajali kidogo,ila sio hawa wa south
Hadi tokea ile ndege ya Malysia ilipopotea wanaitafta na hawajui hata imetekwa na nani au imeangukia upande gani!Hadi Leo tangu Nov 1963 waliompiga Risasi Kenedy ( Rais wa Marekani) bado wanatafutwa
Serekali ya South haina ujinga wa kukamata wahalifu wasio wahusu,watu kibao wanaibia Nchi zao na kwenda kuishi South bila kujificha,na wala Serekali ya South haina habari nao mradi Kodi zao zinaingia kwenye system ya mkaburuu!!Sawa sawa....
N sasa wafaanye mchakato wa yule aliyekopa bank5 tz na kutokomea
Ova
Kwa sababu taasisi zao ziko corruptSerekali ya South haina ujinga wa kukamata wahalifu wasio wahusu,watu kibao wanaibia Nchi zao na kwenda kuishi South bila kujificha,na wala Serekali ya South haina habari nao mradi Kodi zao zinaingia kwenye system ya mkaburuu!!
Huu udaku ukiambiwa utoe source yake utaanza mbwela mbwela hapaIn short, amekua convict wa pili kuweza ku escape from maximum security prison in SA,na jinsi alivyo escape ni kama movie from Mars, kwanza tuthibitishe hili kuwa amekamatwa hapo A town
Acha upumbavu mkuu, udaku gani hapa nimeuandika?,source gani unaitaka?,let's me assume wewe ni mjinga ,ngoja nikutafunie maana middle class ninyi mmezoea kutafuniwa, mtu wa kwanza to escape from SA maximum prison ni raia wa Mozambique, Mase na kwa sasa ni marehemu, huyu alitoroka kwa kutokea dirishani baada ya kutengeneza kamba ya matambala na Bester amemfuatia huyu ametumia uchawi wa kizungu pesa, hope's umefahamu na next time try kushirikisha ubongo wako wenye elimu ya UPEHuu udaku ukiambiwa utoe source yake utaanza mbwela mbwela hapa
Ni Wanyama kwa Watanzania wenzaoMajeshi yetu hapa TZ yanafanyakazi nzuri na kubwa sana ila kuna wajinga fulani hapa TZ huwa wanayabeza sana. Sasa wasikilize SA wanavyowasifia.
Silly responseSilly question