Curtiz
JF-Expert Member
- Oct 1, 2021
- 948
- 1,911
Sijui ikoje lakini nimeshasoma stori ya drug lord mmoja pia alikua anatafutwa huko marekani miaka hiyo then akaja kukamatiwa moshi bongo hii hii. Ingine niliskia stori tu vijiweni kuhusu mmarekani alieuwawa then simu yake ndio ikawaleta fbi mbaka iringa tz kumkamata muhusika wa tukio.