Thabo Bester maarufu 'Mbakaji wa Facebook' na Dkt. Nandipha Magudumana wakamatiwa Arusha Tanzania. Wafahamu kwa undani wapenzi hawa

Waliingia na full documents ila walidanganya details, yaan walikuja na majina tofauti kwenye Passport zao. Sio kwamba wameingia bila passport kabisa kiongozi.
 
Kuna gereza limechomwa huko? Maana sidhani kama kuna gereza limechomwa, ila mtu ndani ya cell kachomwa
 
No. Demu wake alichukua mwili mortuary, unaofanana na wa jamaa. Waka collaborate na some prisoners officials. Iyo ishu yao ni chain moja ndefu sana, hawakuwa wenyewe hadi wanafika bongo. Nasikia kuna wazito SA wamewafadhili pia.
 
Call a spade a spade....ni interpol bwana.Watu wamepigwa risasi mchana kweupe mbele ya CCTV camera mpaka leo hii hao POLICE wetu wapo wapi??
Haujajibu swali hata moja, bali umekimbilia kuandika mambo ambayo yapo nje ya hoja tunayojadili.

Swala la mtu kupigwa risasi mchana kweupe afu mtu ambae anatakiwa akamatwe na kuhojiwa anafichwa na kutoroshwa na mshambuliwaji haliendani na mada iliyopo.

Hata Omary Bashiru alikuwa anatafutwa na hao interpol, lkn bado alikuwa akiendelea kuzurura tu bila kukamatwa na hao interpol wako mpaka siku vijana wake mwenyewe walipoamua kumtoa katika kiti chake kupitia sheria zao wenyewe na sio hao interpol wako.
 
na
Naona unapotosha au hukuielewa taarifa. Ninachojua ni kwamba, binti alifanya mchongo wa kupata maiti kutoka mortuary na kufanikisha mpango wa kuichoma ili kufake kifo cha mpenzi wake.
 
Kuzunguka kote huko kuna haja gani kusema tu Hongera Polisi wa Tanzania? Interpol ni Taasisi tu ya Kimataifa ambapo Watendaji ni hawa hawa Polisi wetu wa Tanzania au unadhani Interpol ni kitu nje ya PT?
 
na

Naona unapotosha au hukuielewa taarifa. Ninachojua ni kwamba, binti alifanya mchongo wa kupata maiti kutoka mortuary na kufanikisha mpango wa kuichoma ili kufake kifo cha mpenzi wake.
Kwa nini uchome maiti?
 
Kwani ukiambiwa Interpol haraka haraka kichwani unahisi ni kitu gani?

Polisi gani wa Tanzania hawa wanaoiba madini na kuua raia. Acha zako.
Kuzunguka kote huko kuna haja gani kusema tu Hongera Polisi wa Tanzania? Interpol ni Taasisi tu ya Kimataifa ambapo Watendaji ni hawa hawa Polisi wetu wa Tanzania au unadhani Interpol ni kitu nje ya PT?

Hakuna cha hongera. Wameshindwa kumpata azory na saanane. Hatabkukamata wahusika wa shambukizi la Tundu Lissu.
 
Polisi gani wa Tanzania hawa wanaoiba madini na kuua raia. Acha zako.

Hakuna cha hongera. Wameshindwa kumpata azory na saanane. Hatabkukamata wahusika wa shambukizi la Tundu Lissu.
Inasikitisha sana,ni uhuru wako wa maoni lakini.

Hebu tuache kuwakatisha tamaa wapiganaji wetu wanaopambana usiku na mchana.

Nionyeshe ni Taasisi gani Duniani isiyo na changamoto.
 
... SA walifuta adhabu ya kunyonga adhabu pekee aliyostahili Bester! Angekatiwa hiyo adhabu na ikatekelezwa inavyopaswa bila figisu shida zote hizi za kuhangaika naye zingeshasahaulika zamani. Adhabu ya kunyonga bado ina umuhimu mkubwa duniani.

Ni moja ya watu ambao napinga hii adhabu. But kuna watu kwenye jamii lazima waondolewe once and for all ili kuleta utulivu
 
Hao ni majasusi wa dunia.

Mbaya kuua mtu ili wewe uokoke, mbaya zaidi mbele za Mungu pia.

All in all polisi wa tz wako vizuri, naogopa kusema CONGRATULATIONS.

Angesogea hapo kwa Uhuru asingekamatwa mpaka afe kweli kweli.
Ndio alikokuwa anaelekea
 
Na shisha wakavuta na picha wakapiga , kumbe walikuwa wanafuatiliwa
 
Waliharibu walipoenda night club, shisha kwa sana , kumbe interpol wako kazini
 
Mm nikiwa Rais ntahakikisha natekeleza adhabu ya kifo, kwakweli ni muhimu sana. Yaan mtu auwe watu afu afungwe tu kifungo cha maisha, anakula na kulala bure wakati aliowaua wanaoza makaburini? Kwangu hapana, ni Utanyongwa au kupigwa Risasi.
Fair enough mkuu,kwa hili let's disagree, ndio raha ya mjadala hatuwezi kukubaliana kwa kila kitu, death sentence kwangu its a NO
 
Kuzunguka kote huko kuna haja gani kusema tu Hongera Polisi wa Tanzania? Interpol ni Taasisi tu ya Kimataifa ambapo Watendaji ni hawa hawa Polisi wetu wa Tanzania au unadhani Interpol ni kitu nje ya PT?
elewa wako ndiyo umeishia hapo? Au kuna mwingine tuusubiri unaelekea taratibu kichwani mwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…