Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mkuu ni vema huyu jamaa amekamatwa, ameua na ame rape young girls wengi, kwangu ni jela 500yrsMjinga sana. Unatoroka jela kwa ujanja ujanja, halafu unazurura tu mtaani. Alitakiwa kujificha nyakati za mchana, maisha yake yote! Sasa avune alichopanda na huyo kimada wake daktari.
Yule alokula michango ya kikoba cha polisi naye hajakamatwa huko SA?🤣🤣🤣BISWALO hajakamatwa polisi CCM wahuniiiii
Roho ya binadam kichaka aisee, jamaa kama hb fulani kumbe firauni fulani
Waziri Ronald Ozzy Lamola wa wizara ya katiba na vyuo vya mafunzo Afrika ya Kusini athiibithisha kukamatwa Thabo Bester nchini Tanzania na tayari mipango ya mchakato wa kisheria ili Thabo Bester awe deported kurudishwa Tanzania imeanza. Thabo Bester akiwa na mpenzi wake wa kike Dr Nandipha Magudama pamoja na raia mwingine wa Mozambique wamekamatwa mkoani Arusha wakiwa na hati kadhaa za kusafiria
Thabo Bester | Lamola says Bester and Magudumana were arrested in Tanzania on Friday night
Unaweza kuwa uko sahihi lakini sema issue kama hii wanashirikiana na INTERPOL ndiyo maana hawana budi kuwajibika!!!!!! ila bado tuna kazi kubwa kuboresha weledi wa TANPOL kufikia japo 50%Majeshi yetu hapa TZ yanafayakazi nzuri na kubwa sana ila kuna wajinga fulani hapa TZ huwa wanayabeza sana. Sasa wasikilize SA wanavyowasifia.
Aisee..In short, amekua convict wa pili kuweza ku escape from maximum security prison in SA,na jinsi alivyo escape ni kama movie from Mars, kwanza tuthibitishe hili kuwa amekamatwa hapo A town
Kwani INTERPOL ndio wamekuja kukamata!!? Wakati mwingine tuwapongeze wakifanya vizuri. Nenda Youtube ukaone wa South wanavyopongeza TANPOL.Unaweza kuwa uko sahihi lakini sema issue kama hii wanashirikiana na INTERPOL ndiyo maana hawana budi kuwajibika!!!!!! ila bado tuna kazi kubwa kuboresha weledi wa TANPOL kufikia japo 50%
Mkuu,SAPS ni takataka kabisaa,huwezi kuofananisha na @tanpol kwa namna yoyote,SAPS ni kitengo cha majizi tu,juzi hapo wamekamatwa wakihusishwa na utekaji wa magari ya kusafirisha fedha CIT,polisi wa South ni certified criminal,angalau bongo kuna polisi wanajali kidogo,ila sio hawa wa southKwani INTERPOL ndio wamekuja kukamata!!? Wakati mwingine tuwapongeze wakifanya vizuri. Nenda Youtube ukaone wa South wanavyopongeza TANPOL.
Police wa Tanzania maana alikuwa Arusha, Tanzania....Amekamatwa na Police wa Arusha/ Tanzania ama na Security wa SA ?? [emoji848]