Thabo Bester maarufu 'Mbakaji wa Facebook' na Dkt. Nandipha Magudumana wakamatiwa Arusha Tanzania. Wafahamu kwa undani wapenzi hawa

Mtoa mada naomba tusaidiane kuweka ukweli hasa kwenye sensitive mada kama hii, nimefuatilia sana kuhusu issue hii na informations nyingi zinaonyesha kuwa, Mr.Bester hakuua mtu ili kufanikisha escaping yake, inaonekana walinunua maiti, means iliingizwa maiti ndani ya ile prison, kwa hiyo issue ya kuua kwa sasa haipo ila na fugitive huyu he just walk out from prison, SA ni LAZIMA wafuate sheria zetu kuhusu issue hii,nchi yangu is roll over kwa kuwaogopa hasa kwa wale wawili, Dr.Nandipa na Mozambiqueian (hawa ni illegals,wapelekwe mahakamani ,wapigwe faini au jela kama sheria zetu zinavyosema kuhusu illegals),but for Mr.Bester huyu ameshakua convicted kwa murder na raping (real men hawa rape),huyu ame cross line, kwanza ahukumiwe kwa kuwa illegal, then kama tuna mkataba wa kurudishiani fugitives na SA ,ni vema arudishwe haraka SA kwa pingu mwili mzima na mijeledi juu, honestly I hate rapist
 
... SA walifuta adhabu ya kunyonga adhabu pekee aliyostahili Bester! Angekatiwa hiyo adhabu na ikatekelezwa inavyopaswa bila figisu shida zote hizi za kuhangaika naye zingeshasahaulika zamani. Adhabu ya kunyonga bado ina umuhimu mkubwa duniani.
Mmmmm mkuu mimi death sentence it's a NO, tutumie ile long jail sentence kama double life jail +300yrs ,yaani asitoke
 
Mtoa mada naomba tusaidiane kuweka ukweli hasa kwenye sensitive mada kama hii, nimefuatilia sana kuhusu issue hii na informations nyingi zinaonyesha kuwa, Mr.Bester hakuua mtu ili kufanikisha escaping yake, inaonekana walinunua maiti, means iliingizwa maiti ndani ya ile prison, kwa hiyo issue ya kuua kwa sasa haipo ila na fugitive huyu he just walk out from prison, SA ni LAZIMA wafuate sheria zetu kuhusu issue hii,nchi yangu is roll over kwa kuwaogopa hasa kwa wale wawili, Dr.Nandipa na Mozambiqueian (hawa ni illegals,wapelekwe mahakamani ,wapigwe faini au jela kama sheria zetu zinavyosema kuhusu illegals),but for Mr.Bester huyu ameshakua convicted kwa murder na raping (real men hawa rape),huyu ame cross line, kwanza ahukumiwe kwa kuwa illegal, then kama tuna mkataba wa kurudishiani fugitives na SA ,ni vema arudishwe haraka SA kwa pingu mwili mzima na mijeledi juu, honestly I hate rapist
Kwa nini uchone maiti?
 
Hii ni mbaya sana yaani unaratibu mauji ya mtu asiye na Hatia Kwa kuchoma gereza Ili tuu wewe utoroke gerezani.

Kuna mashaka sana na security appatus za Afrika Kusini.

Reference: Thabo Bester and Spouse Dr Nandipha Magadugula.
Hao wanakula na system,jaribu wwe kuwaza au kutoroka Cha Moto utakiona!! Na watatoroka nawaambieni, system ya South is all about money!!!
 
Hiyo ni kazi ya Interpol, ndiyo wanaotoa descriptions na ndiyo wanao ongoza msako lakini arresting hufanywa na askari wa nchi husika (aliyokamatiwa) hata taarifa hutolewa na nchi ambapo mjarifu amekamatiwa.
Wakati mwingine inaweza isiwe interpol lakini ikawa ni joint mission
1) Ni nchi ngapi alipita kabla ya kufika Tanzania?
2) Je huko alipopita Interpol walikuwa wamelala na kuamka pindi tu alipofika Tanzania?
3) Kwanini interpol hawakufanikisha kukamatwa kwake pindi alipovuka boda kuingia Zimbawe, Zambia na kwengine alipopita?

Nafikiri ifike wakati tukubali tu kwamba askari wetu kwa namna fulani wako vizuri. Ndio maana hata chama cha upinzani Afrika Kusini EFF na nchi nyingi duniani zilitupongeza.
 
Mtoa mada naomba tusaidiane kuweka ukweli hasa kwenye sensitive mada kama hii, nimefuatilia sana kuhusu issue hii na informations nyingi zinaonyesha kuwa, Mr.Bester hakuua mtu ili kufanikisha escaping yake, inaonekana walinunua maiti, means iliingizwa maiti ndani ya ile prison, kwa hiyo issue ya kuua kwa sasa haipo ila na fugitive huyu he just walk out from prison, SA ni LAZIMA wafuate sheria zetu kuhusu issue hii,nchi yangu is roll over kwa kuwaogopa hasa kwa wale wawili, Dr.Nandipa na Mozambiqueian (hawa ni illegals,wapelekwe mahakamani ,wapigwe faini au jela kama sheria zetu zinavyosema kuhusu illegals),but for Mr.Bester huyu ameshakua convicted kwa murder na raping (real men hawa rape),huyu ame cross line, kwanza ahukumiwe kwa kuwa illegal, then kama tuna mkataba wa kurudishiani fugitives na SA ,ni vema arudishwe haraka SA kwa pingu mwili mzima na mijeledi juu, honestly I hate rapist
Wwe lazima utakua Mwanasheria wa Mchongo!!!
 
Kwa nini uchone maiti?
Good question mkuu, plan ilikua ijulikane Mr.Bester amekufa ndani ya jela kwa moto, kwa hiyo ile maiti ilimwakilisha Mr.Bester, SA wakajua huyu facebook rapists amekufa kwa moto ndani ya jela wakati yupo anaishi high life pale Sandton!,ilikua ni plan iliyohusisha fedha nyingi na top guy's kwenye systems, kakamatwa kwake kutaleta a lot of fallout, few suspects already arrested kwa case hii, na damu itamwagika sana kuhusu issue hii, if your interested na issue hii soma sana news 24.com or eNCA news.com, watch the space
 
Kuzunguka kote kwa nini huko!? Si bora DPP awapige plea bargain tumalizane nao mazima!!! Au unasemaje ndg!!???
 
Hao ni majasusi wa dunia.

Mbaya kuua mtu ili wewe uokoke, mbaya zaidi mbele za Mungu pia.

All in all polisi wa tz wako vizuri, naogopa kusema CONGRATULATIONS.

Angesogea hapo kwa Uhuru asingekamatwa mpaka afe kweli kweli.
Wapelelezi wa south Africa baada ya kupata info jamaa yupo Arusha waliingia nchini kama watalii wakapiga kambi Arusha hadi walipomnasa jamaa. Legal experts wa South Africa wameshaingia nchini kwa ajili ya extradition ya mhalifu back to South Africa. Swali ni jee tuna mkataba wa kubadilishana wafungwa? Nchi ya South Africa ina sheria ngumu ya extradition ya mhalifu,
 
Wwe lazima utakua Mwanasheria wa Mchongo!!!
We need to bring back our JF iliyochafuliwa na uongo, hapana Nkanini ni mwalimu wa kusomea pale Mkwawa CNE,(PC&Ed),JKT pale 835kj na 837kj (kambi zote za nguvu, huwezi kuzingalinisha hizi kambi na Ruvu JKT, kambi ya wakapa C),kwa sasa nipo huku lingusenguse, ulanzi kwa wingi karibu mkuu
 
Good question mkuu, plan ilikua ijulikane Mr.Bester amekufa ndani ya jela kwa moto, kwa hiyo ile maiti ilimwakilisha Mr.Bester, SA wakajua huyu facebook rapists amekufa kwa moto ndani ya jela wakati yupo anaishi high life pale Sandton!,ilikua ni plan iliyohusisha fedha nyingi na top guy's kwenye systems, kakamatwa kwake kutaleta a lot of fallout, few suspects already arrested kwa case hii, na damu itamwagika sana kuhusu issue hii, if your interested na issue hii soma sana news 24.com or eNCA news.com, watch the space
Ndio inahalalisha ukatili?
 
Kuzunguka kote kwa nini huko!? Si bora DPP awapige plea bargain tumalizane nao mazima!!! Au unasemaje ndg!!???
Hapana mkuu ni muhimu sheria zetu ziheshimiwe,Dr.Nandipa &Mozambique citizen hawa ni illegals, yaani wameingia nchi yetu kupitia dirishani, wapelekwe mahakamani, walipe faini au jela,ila Mr. Bester huyu funga pingu mwili mzima, yupo very clever, alipe faini yetu then pls rudisha SA kwa mijeledi juu, I hate rapist, why u rape?
 
Hii ni mbaya sana yaani unaratibu mauji ya mtu asiye na Hatia Kwa kuchoma gereza Ili tuu wewe utoroke gerezani.

Kuna mashaka sana na security appatus za Afrika Kusini...
The police minister said a team will be dispatched to Tanzania on Sunday to process the fugitives' return to South Africa.

Cele said it was not yet clear what their movements had been up until they were apprehended on Friday night, “but what is certain is that their method of entering Tanzania was illegal.

There is not a single stamp on the passports that they had when they were apprehended. They were 10km away from Kenya when they were arrested and it looks like they were heading for the next country.”

Yaani watu wanaingia Tanzania kiholela kiasi hiki, jambazi linaweza Kwenda hadi Ikulu na msijuwe limeingiaje. There is not a Single Stamp!!!
 
Mmmmm mkuu mimi death sentence it's a NO, tutumie ile long jail sentence kama double life jail +300yrs ,yaani asitoke
Mm nikiwa Rais ntahakikisha natekeleza adhabu ya kifo, kwakweli ni muhimu sana. Yaan mtu auwe watu afu afungwe tu kifungo cha maisha, anakula na kulala bure wakati aliowaua wanaoza makaburini? Kwangu hapana, ni Utanyongwa au kupigwa Risasi.
 
Hii ni mbaya sana yaani unaratibu mauji ya mtu asiye na Hatia Kwa kuchoma gereza Ili tuu wewe utoroke gerezani.

Kuna mashaka sana na security appatus za Afrika Kusini.

Reference: Thabo Bester and Spouse Dr Nandipha Magadugula.
masogange alitoka salama kwa kusema kabeba unga wa ngano
 
Wapelelezi wa south Africa baada ya kupata info jamaa yupo Arusha waliingia nchini kama watalii wakapiga kambi Arusha hadi walipomnasa jamaa. Legal experts wa South Africa wameshaingia nchini kwa ajili ya extradition ya mhalifu back to South Africa. Swali ni jee tuna mkataba wa kubadilishana wafungwa? Nchi ya South Africa ina sheria ngumu ya extradition ya mhalifu,
Hii taarifa yako ina ukakasi sana, kwa maana huyo jamaa amekaa Tz siku chache sana, huo muda wa hao wapelelezi kuja hapa kama watalii waliufanya muda gani. Angalia siku waliyoingia Tz na jinsi walivyokamatwa. Hata wiki 2 hazijafika, na ukumbuke walitoroka hapo SA.
 
Back
Top Bottom