Thadei Ole Mushi: Wabunge wa CCM wanahitaji kufanya tathmini ya kina kuhusu 2025

lema hajawahi kuwa mbunge miaka 15 labda kama kuna lema wa lumumba.
 
Usijali. Waache hao wapinzani wapumue kwa sasa, lakini ccm mbinu yetu ni ile ile ya 2020, hakuna mpinzani atapata ubunge 2025.
jaribuni muone wajinga wa sukuma gang tutawafyatua wote mtoweke abaki mamayenu ana wachache ambao hazijaruka.
 
Kanda ya ziwa hata rais aliyepo madarakani kwa sasa kupata kura ni mpaka akawaombe radhi......ni washamba kuongea lakini ni wajanja sana kivitendo na husimamia kile wanachokiamini hawayumbishwi.

Muunganiko wa CDM na mkuu wa nchi karibu kila jambo kwa sasa kumewapelekea mtihani mgumu sana kuufanya kwa uasahihi ndani ya miaka mitatu kuanizia 2021 hadi 2024. Wana mengi yanayowakera bila majibu stahiki
 
Kafanya mambo makubwa yepi? Orodhesha japo matano tu
 
Kafanya mambo makubwa yepi? Orodhesha japo matano tu
CT Scans Hospital zote za Mikoa Tanzania,
Kawasha umeme wa grid Kigoma na kuifungua Kwa Barabara,
Hakuna mtoto anaenda shule Kwa mafungu ya nyanya,
Maelfu ya miradi ya Maji Kila sehemu ikiwemo ujenzi wa bwawa la kidunda,
Kakamilisha miradi yote iliyomshinda Mwendazake,
Anajenga Bandari kubwa ya uvuvi pekee EAC Kilwa,anajenga Bandari kubwa kuliko zote ya MbambaBay Bay,
Veta Wilaya zote,
Maslahi ya Watumishi,
Anaboresha Kilimo na chini ya huo mpanga anawapa Vijana mashamba .

Kiufupi orodha ni ndefu tutajaza Seva Bure.
 
Umeongea vizuri kabisa,Mungu asaidie tukaone uchaguzi wa haki,na watu wa haki,siyo Siasa za kubebana kwa kutumia jeshi la polisi
 
ana kiburi sana yule namchukia kama yule aliyempa ukuu wa mkoa tyuu
Majimbo yetu yote tuliyonyang'anywa kwa nguvu na Mwendazake lazima tuyarudishe na mengine mengi.

Na kuna Majimbo mapya huko kanda ya Ziwa yanasubiri kwa hamu kutwaliwa na Chadema.
 
Nenda kwenye party caucus yenu Ccm ustupigie kelele hayatuhusu! Hivi kwani lazima wabunge warudi hawahawa?? Wakipigwa chini wakaingia wanaokubalika zaidi unaumia nini?? Shauri mambo ya maendeleo au siasa za maendeleo sio za kiimla kutaka walio nafasini wabaki hivyo milele... burekabisa!!!
 
Wewe wasema hivyo lakini wenzio ni tofauti !!
 
Majimbo yetu yote tuliyonyanh'anywa kwa nguvu na Mwendazake lazima tuyarudishe na mengine mengi.

Na kuna Majimbo mapya huko kanda ya Ziwa yanasubiri kwa hamu kutwaliwa na Chadema.
Kuna kila dalili za hayo uliyoyasema kutokea huko kanda ya ziwa !! Muda ni Mwalimu mzuri !
 
We Ole Mushi wewe umeibukia huku?
 
Na huko Arusha watampa Lema wao we mpe wakwako.
Toka Demokrasia ya Vyama Vingi imeanza nilikuwa nawapa Wapinzani kura yangu,2025 inakwenda Kwa Samia ,Kwa mbunge nitampigia Chadema eneo niliko naona Yuko vizuri na sio ripropo kama kina Lema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…