Thadei Ole Mushi: Wabunge wa CCM wanahitaji kufanya tathmini ya kina kuhusu 2025

Umeongea vizuri kabisa,Mungu asaidie tukaone uchaguzi wa haki,na watu wa haki,siyo Siasa za kubebana kwa kutumia jeshi la polisi
Siasa za mabunduki kama Rwanda Rais Samia analenga kuzikomesha
 
Mlisema hivyo hivyo siku ya uzinduki wa Mkutano wa Chadema. Wale wananchi wa Mwanz walichowadanya mpka leo hamjasahau.
 
Na ili kuiongezea nguvu CDM kwenye majimbo wawasamehe covid 19 warudi kwenye kundi na ndilo hitimisho la maridhiano la Samia na Mbowe kwa ajenda za Mwanzo kabla ya Katiba mpya. Kama mambo yote ya awamu ya tano yanapinduliwa kibabe na hili nalo libatilishwe ili siasa safi ikae safi. Pili siasa za CDM zipelekwe kisayansi kwa mfano ni makosa makubwa mno kumshambulia JPM muda wote bila kubalance.Hiyo kete CCM atakuja itumia kanda ya ziwa na kanda ya kati,kumsifu JPM kwa baadhi ya mambo. Hapa CDM awe makini sana vinginevyo watafika mahala wataishiwa hoja za msingi.
 
Haya ndio mambo makubwa? Hivi ni vitu vilivokua vinachukuliwa kama formalities tu wakati wa mtangulizi wake wala vilikua havitajwi vikifanyika sababu mambo makubwa ya kweli yalifanyika. Kununua CT scan ndio mambo makubwa ya samia? Kweli watanzania tulisharogwa
 
Sioni wapiga kura wakijitokeza kwa wingi, atakayeshinda atashinda kwa idadi ndogo sana ya kura, maana wananchi wameshapuuza siasa, baada ya Magufuli kuondoa maana ya uchaguzi.
 

Kama kuna kitu kitafanya CDM idharaulike ni kuwapokea au kuwasamehe hao wahuni wa Covid. Madhambi ya Magufuli yatasemwa ili kosa la kupata rais wa aina yake yasifanyike. Hata hivyo wananchi wengi wameshapuuza box la kura baada ya kunajisiwa na Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…