Thadei Ole Mushi: Watanzania wana IQ ndogo kuliko nchi zote za Afrika Mashariki

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
227
Reaction score
599
Na Thadei Ole Mushi.

Niliwahi kufundisha kidogo hapa kuhusu uwezo wa akili au kitaalamu (IQ) yaani Hisa ya akili.

Mwaka jana kuna ripoti ilitoka ikiwa inaitaja Tanzania kushika nafasi ya 9 katika nchi zenye watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri.

Kwa mujibu wa orodha hiyo,Tanzania inashika nafasi ya 9 wananchi wake wakiwa na uwezo wa kufikiri (IQ) 72, Ghana inashika nafasi ya 8 kwa wananchi wake kuwa na kiwango cha chini cha IQ yaani 71. Nafasi ya saba ni Nigeria (67), nafasi ya sita ni Guinea (66), nafasi ya tano ni Zimbabwe (66), nafasi ya nne ni DR Congo (65), nafasi ya tatu ni Sierra Leone (64), nafasi ya pili ni Ethiopia (63) na nafasi ya kwanza ni Equatorial Guinea (59).Katika nchi zote hapo Tanzania pekee ndio inayojitokeza kwenye orodha hiyo ikiwa imetokea ukanda wa Africa Mashariki.

Kuna wengi watashindwa kupata tafsiri ya kilichomo kwenye mabano yaani number zilizomo kwenye mabano hivyo ni vizuri nikafafanua tena hili.

Mwaka 1904 mwanasaikolojia Alfred Banet alitambulisha nadharia ya namna ya kupima Uwezo wa mtu wa kufiki (IQ) Baadaye 1979 alitokea mtu mwingine aliyekuja kuboresha kidogo tu nadharia hii anaitwa Hilgard huyu aliainisha viwango vya akili ya mwanadamu.

Wananadharia hii kwa pamoja hawajawahi kutofautina na maana halisi ya Hisa ya akili. Wote wanakubaliana kuwa hisa ya akili kipimo cha maendeleo ya kitaaluma kwa kuwianisha UMRI wa kuzaliwa wa mtoto na UMRI wa akili.

Ili uweze kupata hisa ya akili ya mtu unatakiwa uchukue UMRI wa akili ×100 halafu gawanya kwa UMRI wa kuzaliwa.

UMRI wa akili hupatikana kwa kukadiria matendo ayafanyayo mtu. Kwa mfano nyumbani una mtoto wa Miaka 10 lakini matendo yake na uwezo wake unalingana na mtoto wa Miaka 15 basi miaka hiyo 15 ndio UMRI Wake kiakili hivyo utachukua (15×100 ) ÷ 10 = 150.

Nini tafriri yake? Wanasaiokolojia hawa katika nadharia hii wameonyesha pia matokeo ya ukokotoaji kwa mfano hapo jibu tumepata ni 150 mtoto huyu atakuwa ni mwenye kipaji maalumu kwani hawa huanzia 139+ .

Chini ya hapo 129-139 ni wenye Akili za juu sana sana, 110-119 hawa wana akili za juu,90-109 wastani, 80-89 wapo chini ya wastani na 70-79 wana akili duni, chini ya 70 hawa wana mtindio wa ubongo (tahira).

Tunapozungumzia hisa ya akili hatumaanishi uwezo alionao mtu katika kukokotoa hisabati au kujibu maswali ya physics kwa ufasaha bali ni ule uwezo wa mtu kutafsiri na kuchambua taarifa mbalimbali zinazofikishwa kwenye ubongo kitaalamu huitwa ABSTRACT REASONING.

Kwa maana hiyo ukichukua mtanzania ukamweka kwenye kundi la wakenya, wanyarwanda nk basi atashika nafasi ya Mwisho katika kutafsiri na kupata ufahamu kwa mambo ambayo yatakuwa mbele yao.

Kuwa na hisa ndogo ya akili hakutokani na kukosa tu elimu ya Darasani japokuwa nayo huchangia bali hutokana na sababu nyingine nyingi kama vile Lishe duni, afya duni, aina ya genes tunazorithi toka kwa mababu zetu nk.

Dr James Watson aliwahi kusema " black people are less intelligent than white people" Huyu Dr alifanya justification ya argument yake kwa kusema kuwa ujinga ni kitu cha kurithi na ni kama ugonjwa. Hili limeshawahi kudhihirishwa na nadharia nyingine nyingi za kisayansi na za kisaikolojia.

Tuangalie sasa ni mambo gani ambayo hata hivyo yanaweza kuwa ni ushahidi wa ujinga wetu:-

1. Pitia scandal ya UPATU ya DECI.

2. Agalia jinsi ukawa ilivyomtukana Lowassa na baadaye wanamsafisha.

3. Angalia jinsi babu wa Loliondo alivyo tuburuza

4. Angalia michango ya wabunge wetu bungeni na jinsi tunavyowashangilia.

5. Angalia rasilimali tulizonazo na uchumi wetu kama vinaendana.

6. Angalia kwa nini Sumaye alihamia Chadema na bado tunaendelea kushangilia na kupiga makofi

Kuna mambo mengi tu yanayodhihirisha ujinga wetu hata wewe unaweza kuyaongeza katika huo mtiririko.Hata comment yako pia inaweza kukutambulisha aina ya IQ uliyonayo.
 
Hiyo formular nimeipenda "UMRI wa akili hupatikana kwa kukadiria matendo ayafanyayo mtu. Kwa mfano nyumbani una mtoto wa Miaka 10 lakini matendo yake na uwezo wake unalingana na mtoto wa Miaka 15 basi miaka hiyo 15 ndio UMRI Wake kiakili hivyo utachukua (15×100 ) ÷ 10 = 15"......
 
Kuwa na hisa ndogo ya akili hakutokani na kukosa tu elimu ya Darasani japokuwa nayo huchangia bali hutokana na sababu nyingine nyingi kama vile Lishe duni, afya duni, aina ya genes tunazorithi toka kwa mababu zetu nk.

ujinga ni kitu cha kurithi na ni kama ugonjwa. Hili limeshawahi kudhihirishwa na nadharia nyingine nyingi za kisayansi na za kisaikolojia.

Kuna mambo mengi tu yanayodhihirisha ujinga wetu hata wewe comment yako pia inaweza kukutambulisha aina ya IQ uliyonayo.
Naunga mkono hoja, hili jambo niliwahi kulizungumza hapa

Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? - JamiiForums

Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu? - JamiiForums

Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo!. Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?!. - JamiiForums

Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance? - JamiiForums

Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance? - JamiiForums
P
 
Na Thadei Ole Mushi.

Niliwahi kufundisha kidogo hapa kuhusu uwezo wa akili au kitaalamu (IQ) yaani Hisa ya akili.

Mwaka jana kuna ripoti ilitoka ikiwa inaitaja Tanzania kushika nafasi ya 9 katika nchi zenye watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri.

Kwa mujibu wa orodha hiyo,Tanzania inashika nafasi ya 9 wananchi wake wakiwa na uwezo wa kufikiri (IQ) 72, Ghana inashika nafasi ya 8 kwa wananchi wake kuwa na kiwango cha chini cha IQ yaani 71. Nafasi ya saba ni Nigeria (67), nafasi ya sita ni Guinea (66), nafasi ya tano ni Zimbabwe (66), nafasi ya nne ni DR Congo (65), nafasi ya tatu ni Sierra Leone (64), nafasi ya pili ni Ethiopia (63) na nafasi ya kwanza ni Equatorial Guinea (59).Katika nchi zote hapo Tanzania pekee ndio inayojitokeza kwenye orodha hiyo ikiwa imetokea ukanda wa Africa Mashariki.

Kuna wengi watashindwa kupata tafsiri ya kilichomo kwenye mabano yaani number zilizomo kwenye mabano hivyo ni vizuri nikafafanua tena hili.

Mwaka 1904 mwanasaikolojia Alfred Banet alitambulisha nadharia ya namna ya kupima Uwezo wa mtu wa kufiki (IQ) Baadaye 1979 alitokea mtu mwingine aliyekuja kuboresha kidogo tu nadharia hii anaitwa Hilgard huyu aliainisha viwango vya akili ya mwanadamu.

Wananadharia hii kwa pamoja hawajawahi kutofautina na maana halisi ya Hisa ya akili. Wote wanakubaliana kuwa hisa ya akili kipimo cha maendeleo ya kitaaluma kwa kuwianisha UMRI wa kuzaliwa wa mtoto na UMRI wa akili.

Ili uweze kupata hisa ya akili ya mtu unatakiwa uchukue UMRI wa akili ×100 halafu gawanya kwa UMRI wa kuzaliwa.

UMRI wa akili hupatikana kwa kukadiria matendo ayafanyayo mtu. Kwa mfano nyumbani una mtoto wa Miaka 10 lakini matendo yake na uwezo wake unalingana na mtoto wa Miaka 15 basi miaka hiyo 15 ndio UMRI Wake kiakili hivyo utachukua (15×100 ) ÷ 10 = 150.

Nini tafriri yake? Wanasaiokolojia hawa katika nadharia hii wameonyesha pia matokeo ya ukokotoaji kwa mfano hapo jibu tumepata ni 150 mtoto huyu atakuwa ni mwenye kipaji maalumu kwani hawa huanzia 139+ .

Chini ya hapo 129-139 ni wenye Akili za juu sana sana, 110-119 hawa wana akili za juu,90-109 wastani, 80-89 wapo chini ya wastani na 70-79 wana akili duni, chini ya 70 hawa wana mtindio wa ubongo (tahira).

Tunapozungumzia hisa ya akili hatumaanishi uwezo alionao mtu katika kukokotoa hisabati au kujibu maswali ya physics kwa ufasaha bali ni ule uwezo wa mtu kutafsiri na kuchambua taarifa mbalimbali zinazofikishwa kwenye ubongo kitaalamu huitwa ABSTRACT REASONING.

Kwa maana hiyo ukichukua mtanzania ukamweka kwenye kundi la wakenya, wanyarwanda nk basi atashika nafasi ya Mwisho katika kutafsiri na kupata ufahamu kwa mambo ambayo yatakuwa mbele yao.

Kuwa na hisa ndogo ya akili hakutokani na kukosa tu elimu ya Darasani japokuwa nayo huchangia bali hutokana na sababu nyingine nyingi kama vile Lishe duni, afya duni, aina ya genes tunazorithi toka kwa mababu zetu nk.

Dr James Watson aliwahi kusema " black people are less intelligent than white people" Huyu Dr alifanya justification ya argument yake kwa kusema kuwa ujinga ni kitu cha kurithi na ni kama ugonjwa. Hili limeshawahi kudhihirishwa na nadharia nyingine nyingi za kisayansi na za kisaikolojia.

Tuangalie sasa ni mambo gani ambayo hata hivyo yanaweza kuwa ni ushahidi wa ujinga wetu:-

1. Pitia scandal ya UPATU ya DECI.

2. Agalia jinsi ukawa ilivyomtukana Lowassa na baadaye wanamsafisha.

3. Angalia jinsi babu wa Loliondo alivyo tuburuza

4. Angalia michango ya wabunge wetu bungeni na jinsi tunavyowashangilia.

5. Angalia rasilimali tulizonazo na uchumi wetu kama vinaendana.

6. Angalia kwa nini Sumaye alihamia Chadema na bado tunaendelea kushangilia na kupiga makofi

Kuna mambo mengi tu yanayodhihirisha ujinga wetu hata wewe unaweza kuyaongeza katika huo mtiririko.Hata comment yako pia inaweza kukutambulisha aina ya IQ uliyonayo.
Wakati mwingine kufikiri nje ya box huleta maana sana kwa watu wenye uelewa mzuri na mpana wa kuchambua na kudadavua mambo. Kiuhalisia si kila tafiti ni tafiti sahihi, nami nasema watu hao wapo wrong na hufanya hivyo ku_serve interest zao.

Nataka nikupe mfano na naomba uende ukafanye tafiti yako na wewe uje na majibu na uyalete hapa; Wapo watoto walikuwa na uwezo mzuri juu ya mambo mbalimbali km usemavyo, ila wakifika umri fulani hurudi kuwa wa KAWAIDA kabisa ama VILAZA kabisa (kuanzia chekechea hadi darasa la tatu mpaka la nne huwa vizuri, ilaikshaingia darasa la tano uwezo wake wa kufikiria hushuka, na kuna wengine pia kuanzia kipindi hiki au hadi anapoanza kidato cha kwanza ndipo ufahamu wao unaanza kuwa wa hali ya juu). Je, scenario km hiyo inakuwa vipi? Kafanye tafiti na uje na majibu.
 
CHADEMA na Lowassa hiyo ni siasa ambapo waliangalia nguvu ya kisiasa mhusika katika jamii na nguvu hii ilijidhihirisha katika kura alizopata ukilinganisha na kura za wagombea wa CHADEMA wa uraisi kwa miaka yote iliyotangulia.

Kwa msingi huo huo wa ushawishi alionao mtu kisiasa,ndio maana leo hii CCM wanamtukuza na kumkubali Dr.Slaa ingawa wakati yuko CHADEMA aliitwa muongo na mzushi ila leo na cheo wamempa na wanamuamini kwa kila akisemacho hasa anaposhambulia upinzani(hii nayo ni siasa)

Hapa utagundua kuwa wanasiasa wanachofanya ni kufanya maamuzi kulingana na akili za watu wao na si kutokana na kile wanachokijua wao(ni sawa na mfanyabiashara ambae yeye huangalia bidhaa inayopendwa na walaji basi hiyo ndio ataiingiza sokoni hata kama anajua ina mapungufu).

Ukweli ni kwamba,kama watanzania wangekuwa wanajali ufisadi,basi CCM ingekuwa imeshapoteza dola tangu chaguzi za nyuma na hata wabunge wa CCM kama kina Chenge wasingekuwa wanashinda ubunge.CHADEMA walilijua hilo na ndio maana wakampa nafasi Lowassa(kumbuka hata wana-CCM waliimba kuwa wana imani na Lowassa mbele ya JK).

Binafsi nililiona hili na ndio maana nilisema CHADEMA wamefanya uamuzi sahihi kulingana na mahitaji wa wapiga kura(walaji) na kwakuwa adui yetu mkubwa ni CCM kuliko Lowassa,basi niliona tumpe nafasi huyo Lowassa mradi tu anakubalika tuiondoe CCM madarakani kwanza alafu ndio mambo mengine yafuate baadae.

Kwahiyo kwa kifupi utagundua,viongozi wa CHADEMA IQ yao iko juu(waliangali bidhaa inayouzika pande zote wakaiingiza sokoni) na matokeo yalionekane kwenye ule uchaguzi kwa kupata kura nyingi za uraisi kuliko ilivyowahi kutokea huko nyuma na tungekuwa na tume huru si ajabu Lowassa angeshinda uraisi na hapa tungeseme "the end justifies the means."

In short,tatizo ni IQ ya wapiga kura na ndio maana wengi pia waliamini Ngosha anachukia ufisadi kumbe nae ni wale wale wakasahau kashifa zake nyingi na maamuzi yake ya hovyo hovyo matokeo yake leo wote tunalalamika.

Nikiri IQ ya wabongo iko chini na hata EL leo akitangaza kurudi CCM atapokewa kwa mbwembwe nyingi tena tukio hilo linaweze kurushwa live.
 
Nataka nikupe mfano na naomba uende ukafanye tafiti yako na wewe uje na majibu na uyalete hapa; Wapo watoto walikuwa na uwezo mzuri juu ya mambo mbalimbali km usemavyo, ila wakifika umri fulani hurudi kuwa wa KAWAIDA kabisa ama VILAZA kabiotajwa ambazo ni ukosefu wa chakula bora, asa (kuanzia chekechea hadi darasa la tatu mpaka la nne huwa vizuri, ilaikshaingia darasa la tano uwezo wake wa kufikiria hushuka, na kuna wengine pia kuanzia kipindi hiki au hadi anapoanza kidato cha kwanza ndipo ufahamu wao unaanza kuwa wa hali ya juu). Je, scenario km hiyo inakuwa vipi? Kafanye tafiti na uje na majibu.
Mkuu inaonekana hukuelewa kitu, zile hii uzi umeeleza ni kweli kabisa,kuhusu hao watoto unasema alikuwa sawa kisa kangeuka kawa sio vile au aliaza vibaya kisa akawa sawa, hio inaletwa na mambo mengi sana, moja yake change of enviroment, change of social status, change of economical status and such, na kaa umeelewa iko sababu zilizolhtajwa kaa lack of good diet, lack of proper health and such, so its not only one sided issue lots of happenings contribute to lack of IQ,
 
Mkuu umeandika mambo mazuri sanaa. Hongera.

Kuna uzi niliandika humu kuwa watanzania wengi huwa tunaongea au kufanya jambo kisha akili hufuata.

Yaani tunaongea bila kushirikisha akili kwanza

Mfano tu, ni matamko ya baadhi ya viongozi wetu majukwaani

Utasikia mtu mzima anasema ni marufuku kuvaa suti Kwa watumishi wa umma.

Utasikia ni marufuku kumuita mkuu wako wa kazi boss.

Na wengine huongea leo hivi kesho yake hujikana wao.

Mwisho wa siku wenye IQ kubwa huanza Ku correlate matamko hayo na matokeo yenye tija utapata hakuna uhusiano.

So matamko kama hayo ni evidence tosha IQ yetu ni ndogo tena chini ya wastani.
 
Mleta Uzi anaonesha ana IQ ndogo kushindwa kuelewa sababu zilizopelekea UKAWA kumpa nafasi Lowasa kupeperusha bendera ya UKAWA. Lakini pia hii nadharia INA mapungufu na utata mwingi. Kwa mfano Nigeria na Ghana ni nchi zenye wasomi na wabunifu wengi.
CHADEMA na Lowassa hiyo ni siasa ambapo waliangalia nguvu ya kisiasa mhusika katika jamii na nguvu hii ilijidhihirisha katika kura alizopata ukilinganisha na kura za wagombea wa CHADEMA wa uraisi kwa miaka yote iliyotangulia.

Kwa msingi huo huo wa ushawishi alionao mtu kisiasa,ndio maana leo hii CCM wanamtukuza na kumkubali Dr.Slaa ingawa wakati yuko CHADEMA aliitwa muongo na mzushi ila leo na cheo wamempa na wanamuamini kwa kila akisemacho hasa anaposhambulia upinzani(hii nayo ni siasa)

Hapa utagundua kuwa wanasiasa wanachofanya ni kufanya maamuzi kulingana na akili za watu wao na si kutokana na kile wanachokijua wao(ni sawa na mfanyabiashara ambae yeye huangalia bidhaa inayopendwa na walaji basi hiyo ndio ataiingiza sokoni hata kama anajua ina mapungufu).

Ukweli ni kwamba,kama watanzania wangekuwa wanajali ufisadi,basi CCM ingekuwa imeshapoteza dola tangu chaguzi za nyuma na hata wabunge wa CCM kama kina Chenge wasingekuwa wanashinda ubunge.CHADEMA walilijua hilo na ndio maana wakampa nafasi Lowassa(kumbuka hata wana-CCM waliimba kuwa wana imani na Lowassa mbele ya JK).

Binafsi nililiona hili na ndio maana nilisema CHADEMA wamefanya uamuzi sahihi kulingana na mahitaji wa wapiga kura(walaji) na kwakuwa adui yetu mkubwa ni CCM kuliko Lowassa,basi niliona tumpe nafasi huyo Lowassa mradi tu anakubalika tuiondoe CCM madarakani kwanza alafu ndio mambo mengine yafuate baadae.

Kwahiyo kwa kifupi utagundua,viongozi wa CHADEMA IQ yao iko juu(waliangali bidhaa inayouzika pande zote wakaiingiza sokoni) na matokeo yalionekane kwenye ule uchaguzi kwa kupata kura nyingi za uraisi kuliko ilivyowahi kutokea huko nyuma na tungekuwa na tume huru si ajabu Lowassa angeshinda uraisi na hapa tungeseme "the end justifies the means."

In short,tatizo ni IQ ya wapiga kura na ndio maana wengi pia waliamini Ngosha anachukia ufisadi kumbe nae ni wale wale wakasahau kashifa zake nyingi na maamuzi yake ya hovyo hovyo matokeo yake leo wote tunalalamika.

Nikiri IQ ya wabongo iko chini na hata EL leo akitangaza kurudi CCM atapokewa kwa mbwembwe nyingi tena tukio hilo linaweze kurushwa live.
 
Ujinga mtupu Huwezi ita mtu kuwa Ana IQ ndogo wakati humulishi wala kumvisha wala hali Na kulala kwako
 
Nimebaini kuwa nina IQ kubwa sana maana hata aliyeandika hii namuona ana IQ ndogo sana....hajui kuwa binadamu ana work on 'interests' zake kila saa!
 
Mada yako nzuri, umeiharibu kwa mifano butu.

Tunaambiwa kwa mfano, Mungu hufurahi sana mtu mwenye dhambi anapotubu, Ndio tuseme Mungu ana IQ ndogo?!
 
Yehodaya ni kweli CCM mna IQ kubwa na ndio sababu ya kushinda uchaguzi baada ya kushinda uchaguzi haya mnayafanya ninyi wenye IQ kubwa...

Kugawa gesi bure..

kugawa Madini .

kuuza Loliondo na kuwa ka Nchi ndani ya Nchi..

Mpo miaka zaidi ya 50 hamna hata chopa au boat ya kuokoa Wananchi pindi ikitokea ajali kwenye ziwa au bahari.

Wewe binafsi IQ yako haijafika hata 0 ipo kwenye negative 30 huko...
 
Mkuu umesema...."Wapo watoto walikuwa na uwezo mzuri juu ya mambo mbalimbali km usemavyo, ila wakifika umri fulani hurudi kuwa wa KAWAIDA kabisa ama VILAZA kabisa (kuanzia chekechea hadi darasa la tatu mpaka la nne huwa vizuri, ilaikshaingia darasa la tano uwezo wake wa kufikiria hushuka,"

Usisahau kwamba kuna factors zinazo determine the development of IQ yamtoto mojayapo ni mazingira anayo ishi Mtoto, nutrition, sera za serikali nk....kwahiyo hao watoto ni victims wa hizo factors....... mfano mzuri watoto tunao wapeleka hizi shule za st Kayumba wanatoka nyumbani wakiwa competitive ila wakianza kuzoea shule wanamaliza kupata div zero.
Wakati mwingine kufikiri nje ya box huleta maana sana kwa watu wenye uelewa mzuri na mpana wa kuchambua na kudadavua mambo. Kiuhalisia si kila tafiti ni tafiti sahihi, nami nasema watu hao wapo wrong na hufanya hivyo ku_serve interest zao.

Nataka nikupe mfano na naomba uende ukafanye tafiti yako na wewe uje na majibu na uyalete hapa; Wapo watoto walikuwa na uwezo mzuri juu ya mambo mbalimbali km usemavyo, ila wakifika umri fulani hurudi kuwa wa KAWAIDA kabisa ama VILAZA kabisa (kuanzia chekechea hadi darasa la tatu mpaka la nne huwa vizuri, ilaikshaingia darasa la tano uwezo wake wa kufikiria hushuka, na kuna wengine pia kuanzia kipindi hiki au hadi anapoanza kidato cha kwanza ndipo ufahamu wao unaanza kuwa wa hali ya juu). Je, scenario km hiyo inakuwa vipi? Kafanye tafiti na uje na majibu.
 
Maelezo na namna ya ukokotoaji yanajichanganya. Endapo kwa mujibu wa haya maelezo ni kweli kwamba (Ukadiriwaji wa umri wa akili X 100) /Umri halisi wa mhusika ndio unapata IQ, inamaanisha namba kubwa itawakilisha mtu mwenye IQ kubwa na mwenye namba ndogo IQ ndogo. Maana yake ni kwamba umri uliokadiriwa wa akili unapokua mkubwa kuliko umri wa mhusika, jibu linakua kubwa.

Nimeona kwenye haya maelezo Tanzania wana wastan wa IQ ya 71, lakini bado umewaweka kama kundi la mwisho. Nilitegemea kiwango hicho cha IQ kiwakilishe watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchambua mambo.

IQ kubwa ina umuhimu wake lakini haina uhusiano wa moja kwa moja na kufanikiwa kimaisha kwa mtu.
 
mkuu umri wa akili unaangaliwa kwenye "cognitive action"
 
Mkuu inaonekana hukuelewa kitu, zile hii uzi umeeleza ni kweli kabisa,kuhusu hao watoto unasema alikuwa sawa kisa kangeuka kawa sio vile au aliaza vibaya kisa akawa sawa, hio inaletwa na mambo mengi sana, moja yake change of enviroment, change of social status, change of economical status and such, na kaa umeelewa iko sababu zilizolhtajwa kaa lack of good diet, lack of proper health and such, so its not only one sided issue lots of happenings contribute to lack of IQ,

Inamaana IQ inaweza kubadilika kutokana na mazingira? Tuchukulie mfano Ben Carson alikua anakua wa mwisho darasani lakini baadae akajakuibuka kuwa mtaalamu wa mambo ya ubongo sadi kuongoza taasisi kubwa ya Johns Hopkins huko Marekani.

Kama ni hivyo, basi wanaposema mtu ana IQ ya kiwango kadhaa, wataje wakati alipopata hizo alama ili kujua huyo mtu alikua na huo uwezo kipindi gani.
 
Na Thadei Ole Mushi.

Niliwahi kufundisha kidogo hapa kuhusu uwezo wa akili au kitaalamu (IQ) yaani Hisa ya akili.

Mwaka jana kuna ripoti ilitoka ikiwa inaitaja Tanzania kushika nafasi ya 9 katika nchi zenye watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri.

Kwa mujibu wa orodha hiyo,Tanzania inashika nafasi ya 9 wananchi wake wakiwa na uwezo wa kufikiri (IQ) 72, Ghana inashika nafasi ya 8 kwa wananchi wake kuwa na kiwango cha chini cha IQ yaani 71. Nafasi ya saba ni Nigeria (67), nafasi ya sita ni Guinea (66), nafasi ya tano ni Zimbabwe (66), nafasi ya nne ni DR Congo (65), nafasi ya tatu ni Sierra Leone (64), nafasi ya pili ni Ethiopia (63) na nafasi ya kwanza ni Equatorial Guinea (59).Katika nchi zote hapo Tanzania pekee ndio inayojitokeza kwenye orodha hiyo ikiwa imetokea ukanda wa Africa Mashariki.

Kuna wengi watashindwa kupata tafsiri ya kilichomo kwenye mabano yaani number zilizomo kwenye mabano hivyo ni vizuri nikafafanua tena hili.

Mwaka 1904 mwanasaikolojia Alfred Banet alitambulisha nadharia ya namna ya kupima Uwezo wa mtu wa kufiki (IQ) Baadaye 1979 alitokea mtu mwingine aliyekuja kuboresha kidogo tu nadharia hii anaitwa Hilgard huyu aliainisha viwango vya akili ya mwanadamu.

Wananadharia hii kwa pamoja hawajawahi kutofautina na maana halisi ya Hisa ya akili. Wote wanakubaliana kuwa hisa ya akili kipimo cha maendeleo ya kitaaluma kwa kuwianisha UMRI wa kuzaliwa wa mtoto na UMRI wa akili.

Ili uweze kupata hisa ya akili ya mtu unatakiwa uchukue UMRI wa akili ×100 halafu gawanya kwa UMRI wa kuzaliwa.

UMRI wa akili hupatikana kwa kukadiria matendo ayafanyayo mtu. Kwa mfano nyumbani una mtoto wa Miaka 10 lakini matendo yake na uwezo wake unalingana na mtoto wa Miaka 15 basi miaka hiyo 15 ndio UMRI Wake kiakili hivyo utachukua (15×100 ) ÷ 10 = 150.

Nini tafriri yake? Wanasaiokolojia hawa katika nadharia hii wameonyesha pia matokeo ya ukokotoaji kwa mfano hapo jibu tumepata ni 150 mtoto huyu atakuwa ni mwenye kipaji maalumu kwani hawa huanzia 139+ .

Chini ya hapo 129-139 ni wenye Akili za juu sana sana, 110-119 hawa wana akili za juu,90-109 wastani, 80-89 wapo chini ya wastani na 70-79 wana akili duni, chini ya 70 hawa wana mtindio wa ubongo (tahira).

Tunapozungumzia hisa ya akili hatumaanishi uwezo alionao mtu katika kukokotoa hisabati au kujibu maswali ya physics kwa ufasaha bali ni ule uwezo wa mtu kutafsiri na kuchambua taarifa mbalimbali zinazofikishwa kwenye ubongo kitaalamu huitwa ABSTRACT REASONING.

Kwa maana hiyo ukichukua mtanzania ukamweka kwenye kundi la wakenya, wanyarwanda nk basi atashika nafasi ya Mwisho katika kutafsiri na kupata ufahamu kwa mambo ambayo yatakuwa mbele yao.

Kuwa na hisa ndogo ya akili hakutokani na kukosa tu elimu ya Darasani japokuwa nayo huchangia bali hutokana na sababu nyingine nyingi kama vile Lishe duni, afya duni, aina ya genes tunazorithi toka kwa mababu zetu nk.

Dr James Watson aliwahi kusema " black people are less intelligent than white people" Huyu Dr alifanya justification ya argument yake kwa kusema kuwa ujinga ni kitu cha kurithi na ni kama ugonjwa. Hili limeshawahi kudhihirishwa na nadharia nyingine nyingi za kisayansi na za kisaikolojia.

Tuangalie sasa ni mambo gani ambayo hata hivyo yanaweza kuwa ni ushahidi wa ujinga wetu:-

1. Pitia scandal ya UPATU ya DECI.

2. Agalia jinsi ukawa ilivyomtukana Lowassa na baadaye wanamsafisha.

3. Angalia jinsi babu wa Loliondo alivyo tuburuza

4. Angalia michango ya wabunge wetu bungeni na jinsi tunavyowashangilia.

5. Angalia rasilimali tulizonazo na uchumi wetu kama vinaendana.

6. Angalia kwa nini Sumaye alihamia Chadema na bado tunaendelea kushangilia na kupiga makofi

Kuna mambo mengi tu yanayodhihirisha ujinga wetu hata wewe unaweza kuyaongeza katika huo mtiririko.Hata comment yako pia inaweza kukutambulisha aina ya IQ uliyonayo.
Umeharibu hapo tu kusema chadema na lowasa,mbona husemi ccm walimtetea kuwa sio fisadi afu baada ya kuhama wanamoonda ni fisadi na hawampeleki mahakani? Kuwa neutral mzee
 
Back
Top Bottom