Thadei Ole Mushi: Watanzania wana IQ ndogo kuliko nchi zote za Afrika Mashariki

mkuu umri wa akili unaangaliwa kwenye "cognitive action"

Haujajibu swali langu kwamba kwa mujibu wa hizo takwimu na kanuni uliyoiweka ya kukokotoa IQ, Tanzania inaonyesha raia wake wana wastani wa IQ ya 71 ambayo ni namba kubwa kulinganisha na nchi nyingine lakini bado maelezo yanasema wana uelewa mdogo.

Shida yangu ipo hapo kwenye ukokotoaji, mtu mwenye congnitivu kubwa na umri mdogo lazima IQ itakua kubwa, kwanini wenye 71 umewaelezea kwamba wana IQ ndogo wakati kuna nchi wananchi wake wana IQ ndogo zaidi Afrika Mashariki wakati hata hizo nchi haujaziweka kujua wananchi wake wana IQ ya ngapi?
 
umasikini na ujinga vinakwenda sambamba, hata tukiwa na rasilimari nyingi kiasi gani bado tutaendekea kuburuta mkia kwakua nchi imejaa mbumbumbu wengi kuliko werevu. natumaini JF tutapiga kampeni ya kufa mtu 2020 kuhamasisha vijana wasomi wachukue fomu za kugombea ubunge na udiwani kwenye vyama vyote!! ni wakati sasa umefika tuwe serious na hatma ya nchi yetu badala ya kuiacha mikononi mwa watu kama kina nkamia, kibajaji, msukuma n.k (na wazee wanaojali matumbo yao kama vile mwakyembe, chenge n.k wapigwe chini, hawana jipya)
 
kadri unavyosoma comments za watu humu ndivyo kadri unavyozid kugundua kinachosemwa ni sahihi! tena tumependelewa sana! hatuwezi kuwazid Ghana na Nigeria, HUENDA SISI NI WA MWISHO DUNIANI! UWEZO WETU WA KUREASON NI MDOGO KULIKO MAELEZO.
 

Hapa napo inaonyesha hata wewe haujaelewa tafsiri ya huu utafiti, Tanzania kuwa ya 9 inamaana wananchi wake wana uwezo mkubwa kuliko hizo nchi zote zilizoorodheshwa hapo.

Tanzania kutokelezea kwenye hiyo orodha bila kutaja kiwango cha IQ kutoka nchi za ukanda wa Afrika Mashariki kunakunyima kutoa jumuisho la kichwa chako cha huu uzi.
 
Kwa kuongezea
Watz IQ yao ni ile ya profound mental retardation (IQ score ni less than 25).
Ushahidi ni namna wanavyo entertain upuuzi wa CCM.
Kua mwana CCM, kuchagua CCM, kui support CCM kwa mambo yake yote, matendo yake yote, kwa moyo wako wote na akili zako zote ni evidence tosha kwamba IQ yako ni ndogo.

Ushahidi mwingine angalia members wa JF ambao wapo huo upande!
 
Sidhani kama tuna akili ndogo au IQ zetu ni ndogo hivyo...

Mambo mengi tu, tunajikuta hatunabudi kufuata hivyo au lazima iwe hivyo...

Kuna mambo mangapi tunayaona watu wachache wanapanga lazima iwe hivyo, ila maoni ya watu wengine ni kama ushahidi wa kuzugia tu...


Cc: mahondaw
 
Ushahidi mwingine wa IQ ndogo ni pamoja na :

Kuchagua JIWE/KICHAA kuwa kiongozi,

Kuteua watu dizaini ya Bashite au Muroto wafanye kazi nyeti,

Kupinga kampeni ya uzazi wa mpango,

Kutumia rambirambi za wananchi kutimiza wajibu wa serikali,

Wabunge kujiuzuru ubunge ili wagombee ubunge,

Wapinzani kulalamika lalamika kuibiwa kura bila kushupalia tume huru ya uchaguzi,

Orodha ni ndefu sana!
 
Ujinga mtupu Huwezi ita mtu kuwa Ana IQ ndogo wakati humulishi wala kumvisha wala hali Na kulala kwako

Asante kwa kututhibitishia uwezo wako wa kufikiri. Kwa mantiki ya ulichokiandika hapa ni kuwa kwa vile mleta maada hakulishi na hulali kwake basi hana haki ya kukuita wewe ni mtu mwenye IQ ndogo (of course hii maada haikukulenga wewe binafsi lakini ni kwa mujibu wa reaction yako). Na kwa kuwa kwako wewe kuwa na uwezo wa kujilisha na kupata mwenyewe mahali pa kulala ndio kipimo chako cha IQ basi unatuambia kuwa IQ yako haiwezi kupishana sana na ile ya nguchiro (kumbuka hata nguchiro wanajilisha na kujitafutia mahali pa kulala).
 
Upo sawa lakini mifano yako ipo biased.

Ungetolea mfano kwamba

Kwann chato ni ya tatu kwa umaskin tanzania na mbunge wao alikuwa magufuli kwa miaka 29 ambaye tena 90% walimpa kura awe rais wakitegemea bado atawatoa kwenye umaskin.
 
Mleta Uzi anaonesha ana IQ ndogo kushindwa kuelewa sababu zilizopelekea UKAWA kumpa nafasi Lowasa kupeperusha bendera ya UKAWA. Lakini pia hii nadharia INA mapungufu na utata mwingi. Kwa mfano Nigeria na Ghana ni nchi zenye wasomi na wabunifu wengi.
Mkuu hiyo comment yako ina mapungufu kidogo, unaweza kuwa msomi wa makaratasi , au unaweza kuwa msomi lakini usomi wako hauisaidii jamii kutatua changamoto zinazo izunguka.


Uwezo wa kufaulu class ni kipimo cha IQ, then ukishagraduate tunakupima IQ yako ktk kukabiliana na matatizo kwenye jamii
 
Umeongea point, pia hiyo IQ inatakiwa kuwa correlated katka cohort age group.
 

7. Angalia tumemchagua MAGUFULI
8. Angalia tunavyoshangilia matamshi hata yasiyo na hadhi ya kutoka kwenye kinywa cha mtu anayeitwa MKUU WA NCHI
9. Angalia BASHITE anavyopeta
 
IQ huwa zina change kulingana na mazingira au factors nyingi tu.
 
Kwenye siasa hakuna issue za IQ. Kama IQ ingekuwa inapimwa kwa maamuzi ya kisiasa, mbona US wangekuwa na IQ ndogo sana. Ongelea mengine kama ya kikombe cha babu, lakini sio SIASA. Siasa ni ubishi tu, lakini si akili.
 
Viongozi wa serikali wana IQ ndogo Sana aiwezekani kuanzia primary watoto wanapata elimu kwa lugha ya kiswahili, Akiingia secondary lugha ina change ghafla bin vuu kuwa English Je watoto wetu tutasema Wana intalligence quantity ndogo je awalioni ilo kwa nini tusiambiwe tuna Iq ndogo.
 
Pia ongeza 7 hapo

7: Angalia Thadei Ole Mushi alivyomshabikia Edward Lowassa kwenye nafasi ya Urais akiwa CCM halafu baadaye alivyohamia CHADEMA akaanza kumwita fisadi na matusi juu

Pia hii IQ ndogo imesababishwa na wale wanaoishabikia chama fulani tu sote tunajua hapa. Siku hicho chama kikifutwa IQ ya watanzania itapanda
 

😂😂😂😂😂😂😂IQ ya nguchiro duu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…