Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Naunga mkono hoja, hili jambo niliwahi kulizungumza hapa
Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? - JamiiForums
Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu? - JamiiForums
Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo!. Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?!. - JamiiForums
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance? - JamiiForums
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance? - JamiiForums
P
Dah we jamaa ni noma nakubali watz mbumbu aisse yaani watu wanathurumiwa pesa zao wengine ikiwa wakiuza hata nyumba zao ili wapande mbegu desi lakin wahuni wachache wakaizimisha desi kimya kimya kana. Kwamba tz hakuna Viongoz wa kuwatetea wananchi.Na Thadei Ole Mushi.
Niliwahi kufundisha kidogo hapa kuhusu uwezo wa akili au kitaalamu (IQ) yaani Hisa ya akili.
Mwaka jana kuna ripoti ilitoka ikiwa inaitaja Tanzania kushika nafasi ya 9 katika nchi zenye watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri.
Kwa mujibu wa orodha hiyo,Tanzania inashika nafasi ya 9 wananchi wake wakiwa na uwezo wa kufikiri (IQ) 72, Ghana inashika nafasi ya 8 kwa wananchi wake kuwa na kiwango cha chini cha IQ yaani 71. Nafasi ya saba ni Nigeria (67), nafasi ya sita ni Guinea (66), nafasi ya tano ni Zimbabwe (66), nafasi ya nne ni DR Congo (65), nafasi ya tatu ni Sierra Leone (64), nafasi ya pili ni Ethiopia (63) na nafasi ya kwanza ni Equatorial Guinea (59).Katika nchi zote hapo Tanzania pekee ndio inayojitokeza kwenye orodha hiyo ikiwa imetokea ukanda wa Africa Mashariki.
Kuna wengi watashindwa kupata tafsiri ya kilichomo kwenye mabano yaani number zilizomo kwenye mabano hivyo ni vizuri nikafafanua tena hili.
Mwaka 1904 mwanasaikolojia Alfred Banet alitambulisha nadharia ya namna ya kupima Uwezo wa mtu wa kufiki (IQ) Baadaye 1979 alitokea mtu mwingine aliyekuja kuboresha kidogo tu nadharia hii anaitwa Hilgard huyu aliainisha viwango vya akili ya mwanadamu.
Wananadharia hii kwa pamoja hawajawahi kutofautina na maana halisi ya Hisa ya akili. Wote wanakubaliana kuwa hisa ya akili kipimo cha maendeleo ya kitaaluma kwa kuwianisha UMRI wa kuzaliwa wa mtoto na UMRI wa akili.
Ili uweze kupata hisa ya akili ya mtu unatakiwa uchukue UMRI wa akili ×100 halafu gawanya kwa UMRI wa kuzaliwa.
UMRI wa akili hupatikana kwa kukadiria matendo ayafanyayo mtu. Kwa mfano nyumbani una mtoto wa Miaka 10 lakini matendo yake na uwezo wake unalingana na mtoto wa Miaka 15 basi miaka hiyo 15 ndio UMRI Wake kiakili hivyo utachukua (15×100 ) ÷ 10 = 150.
Nini tafriri yake? Wanasaiokolojia hawa katika nadharia hii wameonyesha pia matokeo ya ukokotoaji kwa mfano hapo jibu tumepata ni 150 mtoto huyu atakuwa ni mwenye kipaji maalumu kwani hawa huanzia 139+ .
Chini ya hapo 129-139 ni wenye Akili za juu sana sana, 110-119 hawa wana akili za juu,90-109 wastani, 80-89 wapo chini ya wastani na 70-79 wana akili duni, chini ya 70 hawa wana mtindio wa ubongo (tahira).
Tunapozungumzia hisa ya akili hatumaanishi uwezo alionao mtu katika kukokotoa hisabati au kujibu maswali ya physics kwa ufasaha bali ni ule uwezo wa mtu kutafsiri na kuchambua taarifa mbalimbali zinazofikishwa kwenye ubongo kitaalamu huitwa ABSTRACT REASONING.
Kwa maana hiyo ukichukua mtanzania ukamweka kwenye kundi la wakenya, wanyarwanda nk basi atashika nafasi ya Mwisho katika kutafsiri na kupata ufahamu kwa mambo ambayo yatakuwa mbele yao.
Kuwa na hisa ndogo ya akili hakutokani na kukosa tu elimu ya Darasani japokuwa nayo huchangia bali hutokana na sababu nyingine nyingi kama vile Lishe duni, afya duni, aina ya genes tunazorithi toka kwa mababu zetu nk.
Dr James Watson aliwahi kusema " black people are less intelligent than white people" Huyu Dr alifanya justification ya argument yake kwa kusema kuwa ujinga ni kitu cha kurithi na ni kama ugonjwa. Hili limeshawahi kudhihirishwa na nadharia nyingine nyingi za kisayansi na za kisaikolojia.
Tuangalie sasa ni mambo gani ambayo hata hivyo yanaweza kuwa ni ushahidi wa ujinga wetu:-
1. Pitia scandal ya UPATU ya DECI.
2. Agalia jinsi ukawa ilivyomtukana Lowassa na baadaye wanamsafisha.
3. Angalia jinsi babu wa Loliondo alivyo tuburuza
4. Angalia michango ya wabunge wetu bungeni na jinsi tunavyowashangilia.
5. Angalia rasilimali tulizonazo na uchumi wetu kama vinaendana.
6. Angalia kwa nini Sumaye alihamia Chadema na bado tunaendelea kushangilia na kupiga makofi
Kuna mambo mengi tu yanayodhihirisha ujinga wetu hata wewe unaweza kuyaongeza katika huo mtiririko.Hata comment yako pia inaweza kukutambulisha aina ya IQ uliyonayo.
Kwani anaelishwa ni nani hapa we hata kama unajilisha na kuwalisha watoto wako ktk famila yako au we ni mbunge au waziri au rais kama we ni kiraza tutasema tu Ukweli ulivo bila kujali cheo chako.Ujinga mtupu Huwezi ita mtu kuwa Ana IQ ndogo wakati humulishi wala kumvisha wala hali Na kulala kwako
Huu ukweli nakubaliana nao kabisaKuna mkakati wa 'kimataifa' wa kuzivuruga IQ za mataifa masikini zibakie duni milele! Unasemaje hapa Paskali?
Kaa chini, tuliza jazba na hasira. Then tafakari kwa undani kauli yakoNi kweli kabisa.
Mana kwa mambo anayofanya Pombe...na watu wanachekelea huwezi kuniambia izo ni AKILI KUBWA!
Not surprisingNa Thadei Ole Mushi.
Niliwahi kufundisha kidogo hapa kuhusu uwezo wa akili au kitaalamu (IQ) yaani Hisa ya akili.
Mwaka jana kuna ripoti ilitoka ikiwa inaitaja Tanzania kushika nafasi ya 9 katika nchi zenye watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri.
Kwa mujibu wa orodha hiyo,Tanzania inashika nafasi ya 9 wananchi wake wakiwa na uwezo wa kufikiri (IQ) 72, Ghana inashika nafasi ya 8 kwa wananchi wake kuwa na kiwango cha chini cha IQ yaani 71. Nafasi ya saba ni Nigeria (67), nafasi ya sita ni Guinea (66), nafasi ya tano ni Zimbabwe (66), nafasi ya nne ni DR Congo (65), nafasi ya tatu ni Sierra Leone (64), nafasi ya pili ni Ethiopia (63) na nafasi ya kwanza ni Equatorial Guinea (59).Katika nchi zote hapo Tanzania pekee ndio inayojitokeza kwenye orodha hiyo ikiwa imetokea ukanda wa Africa Mashariki.
Kuna wengi watashindwa kupata tafsiri ya kilichomo kwenye mabano yaani number zilizomo kwenye mabano hivyo ni vizuri nikafafanua tena hili.
Mwaka 1904 mwanasaikolojia Alfred Banet alitambulisha nadharia ya namna ya kupima Uwezo wa mtu wa kufiki (IQ) Baadaye 1979 alitokea mtu mwingine aliyekuja kuboresha kidogo tu nadharia hii anaitwa Hilgard huyu aliainisha viwango vya akili ya mwanadamu.
Wananadharia hii kwa pamoja hawajawahi kutofautina na maana halisi ya Hisa ya akili. Wote wanakubaliana kuwa hisa ya akili kipimo cha maendeleo ya kitaaluma kwa kuwianisha UMRI wa kuzaliwa wa mtoto na UMRI wa akili.
Ili uweze kupata hisa ya akili ya mtu unatakiwa uchukue UMRI wa akili ×100 halafu gawanya kwa UMRI wa kuzaliwa.
UMRI wa akili hupatikana kwa kukadiria matendo ayafanyayo mtu. Kwa mfano nyumbani una mtoto wa Miaka 10 lakini matendo yake na uwezo wake unalingana na mtoto wa Miaka 15 basi miaka hiyo 15 ndio UMRI Wake kiakili hivyo utachukua (15×100 ) ÷ 10 = 150.
Nini tafriri yake? Wanasaiokolojia hawa katika nadharia hii wameonyesha pia matokeo ya ukokotoaji kwa mfano hapo jibu tumepata ni 150 mtoto huyu atakuwa ni mwenye kipaji maalumu kwani hawa huanzia 139+ .
Chini ya hapo 129-139 ni wenye Akili za juu sana sana, 110-119 hawa wana akili za juu,90-109 wastani, 80-89 wapo chini ya wastani na 70-79 wana akili duni, chini ya 70 hawa wana mtindio wa ubongo (tahira).
Tunapozungumzia hisa ya akili hatumaanishi uwezo alionao mtu katika kukokotoa hisabati au kujibu maswali ya physics kwa ufasaha bali ni ule uwezo wa mtu kutafsiri na kuchambua taarifa mbalimbali zinazofikishwa kwenye ubongo kitaalamu huitwa ABSTRACT REASONING.
Kwa maana hiyo ukichukua mtanzania ukamweka kwenye kundi la wakenya, wanyarwanda nk basi atashika nafasi ya Mwisho katika kutafsiri na kupata ufahamu kwa mambo ambayo yatakuwa mbele yao.
Kuwa na hisa ndogo ya akili hakutokani na kukosa tu elimu ya Darasani japokuwa nayo huchangia bali hutokana na sababu nyingine nyingi kama vile Lishe duni, afya duni, aina ya genes tunazorithi toka kwa mababu zetu nk.
Dr James Watson aliwahi kusema " black people are less intelligent than white people" Huyu Dr alifanya justification ya argument yake kwa kusema kuwa ujinga ni kitu cha kurithi na ni kama ugonjwa. Hili limeshawahi kudhihirishwa na nadharia nyingine nyingi za kisayansi na za kisaikolojia.
Tuangalie sasa ni mambo gani ambayo hata hivyo yanaweza kuwa ni ushahidi wa ujinga wetu:-
1. Pitia scandal ya UPATU ya DECI.
2. Agalia jinsi ukawa ilivyomtukana Lowassa na baadaye wanamsafisha.
3. Angalia jinsi babu wa Loliondo alivyo tuburuza
4. Angalia michango ya wabunge wetu bungeni na jinsi tunavyowashangilia.
5. Angalia rasilimali tulizonazo na uchumi wetu kama vinaendana.
6. Angalia kwa nini Sumaye alihamia Chadema na bado tunaendelea kushangilia na kupiga makofi
Kuna mambo mengi tu yanayodhihirisha ujinga wetu hata wewe unaweza kuyaongeza katika huo mtiririko.Hata comment yako pia inaweza kukutambulisha aina ya IQ uliyonayo.
Ndio maana nikakuambia nawe ukafanye tafiti yako then uje ku_share nasi majibu yako, ila hakikisha majibu yatokane na tafiti yako na sii mazoea ama ufikiria wakoUo utafiti umeufanyia wapi, mwanafunzi aliekuwa wakwanza kisha anakuwa wa mwisho? Wewe umegundua kitu kipya ambacho hata hakijawahi kuwepo.
Na wengi wanatumia contributions za higher IQ -ed individuals mitandaoni kuongoza!!! Hasemi au haamui kabla ya kupitia views aidha za humuhumu JF. Na ndiyo maana,mtu yeyote siku hizi anaweza kuonekana anaweza! Its very funny!Kiongozi ukifatilia siasa uta utapasuka kichwa
Wachache unao ona wapo chini ya tumbo niwachache tu ndo wanajenga Tanzania
Wanao jua kuusu kesho ya Tanzania sio wanao jua Leo zao na sio Tanzania niayo tu
Tumaini pasipo na tumaini, ninakubaliana nawe kwani umedhihirisha wewe pia Hatujawahi IQ yako ni ndogo zaidi kwa ubongo wako kujikita Chadema tu na kuacha wanaosema hivi dakika mbili wamesahau wanasema vile! Kwakuwa lengo lako lilikuwa ni Chadema ungefunguka na kusema wanachadema wana IQ ndogo kuliko wanaccm ambao wana mungu wao tofauti. Nimalizie tu kwakusema maendeleo hayana vyama, hamieni huku mpate maendeleo!Na Thadei Ole Mushi.
Niliwahi kufundisha kidogo hapa kuhusu uwezo wa akili au kitaalamu (IQ) yaani Hisa ya akili.
Mwaka jana kuna ripoti ilitoka ikiwa inaitaja Tanzania kushika nafasi ya 9 katika nchi zenye watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri.
Kwa mujibu wa orodha hiyo,Tanzania inashika nafasi ya 9 wananchi wake wakiwa na uwezo wa kufikiri (IQ) 72, Ghana inashika nafasi ya 8 kwa wananchi wake kuwa na kiwango cha chini cha IQ yaani 71. Nafasi ya saba ni Nigeria (67), nafasi ya sita ni Guinea (66), nafasi ya tano ni Zimbabwe (66), nafasi ya nne ni DR Congo (65), nafasi ya tatu ni Sierra Leone (64), nafasi ya pili ni Ethiopia (63) na nafasi ya kwanza ni Equatorial Guinea (59).Katika nchi zote hapo Tanzania pekee ndio inayojitokeza kwenye orodha hiyo ikiwa imetokea ukanda wa Africa Mashariki.
Kuna wengi watashindwa kupata tafsiri ya kilichomo kwenye mabano yaani number zilizomo kwenye mabano hivyo ni vizuri nikafafanua tena hili.
Mwaka 1904 mwanasaikolojia Alfred Banet alitambulisha nadharia ya namna ya kupima Uwezo wa mtu wa kufiki (IQ) Baadaye 1979 alitokea mtu mwingine aliyekuja kuboresha kidogo tu nadharia hii anaitwa Hilgard huyu aliainisha viwango vya akili ya mwanadamu.
Wananadharia hii kwa pamoja hawajawahi kutofautina na maana halisi ya Hisa ya akili. Wote wanakubaliana kuwa hisa ya akili kipimo cha maendeleo ya kitaaluma kwa kuwianisha UMRI wa kuzaliwa wa mtoto na UMRI wa akili.
Ili uweze kupata hisa ya akili ya mtu unatakiwa uchukue UMRI wa akili ×100 halafu gawanya kwa UMRI wa kuzaliwa.
UMRI wa akili hupatikana kwa kukadiria matendo ayafanyayo mtu. Kwa mfano nyumbani una mtoto wa Miaka 10 lakini matendo yake na uwezo wake unalingana na mtoto wa Miaka 15 basi miaka hiyo 15 ndio UMRI Wake kiakili hivyo utachukua (15×100 ) ÷ 10 = 150.
Nini tafriri yake? Wanasaiokolojia hawa katika nadharia hii wameonyesha pia matokeo ya ukokotoaji kwa mfano hapo jibu tumepata ni 150 mtoto huyu atakuwa ni mwenye kipaji maalumu kwani hawa huanzia 139+ .
Chini ya hapo 129-139 ni wenye Akili za juu sana sana, 110-119 hawa wana akili za juu,90-109 wastani, 80-89 wapo chini ya wastani na 70-79 wana akili duni, chini ya 70 hawa wana mtindio wa ubongo (tahira).
Tunapozungumzia hisa ya akili hatumaanishi uwezo alionao mtu katika kukokotoa hisabati au kujibu maswali ya physics kwa ufasaha bali ni ule uwezo wa mtu kutafsiri na kuchambua taarifa mbalimbali zinazofikishwa kwenye ubongo kitaalamu huitwa ABSTRACT REASONING.
Kwa maana hiyo ukichukua mtanzania ukamweka kwenye kundi la wakenya, wanyarwanda nk basi atashika nafasi ya Mwisho katika kutafsiri na kupata ufahamu kwa mambo ambayo yatakuwa mbele yao.
Kuwa na hisa ndogo ya akili hakutokani na kukosa tu elimu ya Darasani japokuwa nayo huchangia bali hutokana na sababu nyingine nyingi kama vile Lishe duni, afya duni, aina ya genes tunazorithi toka kwa mababu zetu nk.
Dr James Watson aliwahi kusema " black people are less intelligent than white people" Huyu Dr alifanya justification ya argument yake kwa kusema kuwa ujinga ni kitu cha kurithi na ni kama ugonjwa. Hili limeshawahi kudhihirishwa na nadharia nyingine nyingi za kisayansi na za kisaikolojia.
Tuangalie sasa ni mambo gani ambayo hata hivyo yanaweza kuwa ni ushahidi wa ujinga wetu:-
1. Pitia scandal ya UPATU ya DECI.
2. Agalia jinsi ukawa ilivyomtukana Lowassa na baadaye wanamsafisha.
3. Angalia jinsi babu wa Loliondo alivyo tuburuza
4. Angalia michango ya wabunge wetu bungeni na jinsi tunavyowashangilia.
5. Angalia rasilimali tulizonazo na uchumi wetu kama vinaendana.
6. Angalia kwa nini Sumaye alihamia Chadema na bado tunaendelea kushangilia na kupiga makofi
Kuna mambo mengi tu yanayodhihirisha ujinga wetu hata wewe unaweza kuyaongeza katika huo mtiririko.Hata comment yako pia inaweza kukutambulisha aina ya IQ uliyonayo.
Kwa mujibu wa maelezo kwanini tusifikirie kua huyo mwenye umri wa miaka 15 uwezo wake mdogo kwa maana ya kwamba mambo anayoyafanya alitakiwa kufanya akiwa na umri wa miaka 10 na huyo wa miaka 10 yupo kwenye umri sahihi kulingana na uwezo wake.Na Thadei Ole Mushi.