Lilivyonenepeana utasema lina akili kazi upuuzi tu wa mitandaoni.Baada ya kushikiliwa kwa siku 3 kituo kikuu cha polisi (Central) Moshi, hatimaye Thadei Kweka amepandishwa mahakamani mchana huu, leo Desemba 31, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.
Ikumbukwe Thadei ni raia wa Marekani (alishaukana uraia wa TZ). Hata alipokuja aliingia kama mgeni kwa kutumia Tourist Visa (Single Entry) ambayo hutolewa kwa raia wa kigeni kwa ukaaji usiozidi siku 90.
Serikali ya Marekani imetaka kujua kuhusu shauri hili baada ya kusikia raia wake amekamatwa. Jana Ubalozi wa Marekani umetuma fomu maalumu (Consular Notification and Access Form) ambayo Thadei anatakiwa kusaini ili Serikali ya Marekani iweze kuwa involved katika kesi hiyo. Lakini polisi wamekataa asisaini.
Aidha, polisi walimzuia Wakili wake asionane naye, jambo ambalo ni kinyume cha sheria kwa mujibu wa kifungu cha 50(1)(b) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA Cap20) kinacholinda haki ya mtuhumiwa kuwasiliana na wakili wake. Ndugu zake wanadai jana walimpelekea chakula lakini wakazuiwa kumuona na hata chakula chao kilikataliwa.
Leo polisi wamempeleka Mahakamani bila kujulisha ndugu wala Wakili wake. Hii ni kinyume na Kifungu cha 50(2) CPA kinacholinda haki ya mtuhumiwa kupewa taarifa na kuandamana na wakili wake wakati wa kupelekwa mahakamani.
Sidhani kama Polisi wanajua hiki wanachofanya kinaweza kuleta mgogoro wa kidiplomasia. Kwa mujibu wa Vienna Convention on Consular Relations (1963), Articles 36 & 37 nchi mwenyeji inalazimika kutoa taarifa kwa ubalozi mara tu raia wa kigeni anapokamatwa. Pia inatakiwa kuruhusu ubalozi wake kuwasiliana naye.
Kumzuia Thadei kusaini Consular Notification and Access Form na kuzuia mawasiliano na ubalozi wake ni ukiukwaji wa moja kwa moja wa mkataba wa Vienna.
Matokeo yake ubalozi wake unaweza kutoa "Diplomatic Protest note" ambayo itazuia raia wa bongo kuja US na raia wa US kwenda bongo mpaka hilo shauri litatuliwe. Kwa luga rahisi kama una kampuni ya utalii umechukua hela za wageni wa Marekani anza kuwarudishia. Na kama wewe ni mwanafunzi umepata chuo Marekani na bado hujaja, anza kutafuta admission Theofilo Kisanji University. Ngoma inakaribia kuwa ngumu kwa ujinga wa Polisi.!
Pia Soma: Thadei Kweka achukuliwa na watu wanaodaiwa kuwa Polisi baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Moshi
Dah! Kweli uchawi upo,tumerogwa.Baada ya kushikiliwa kwa siku 3 kituo kikuu cha polisi (Central) Moshi, hatimaye Thadei Kweka amepandishwa mahakamani mchana huu, leo Desemba 31, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.
Ikumbukwe Thadei ni raia wa Marekani (alishaukana uraia wa TZ). Hata alipokuja aliingia kama mgeni kwa kutumia Tourist Visa (Single Entry) ambayo hutolewa kwa raia wa kigeni kwa ukaaji usiozidi siku 90.
Serikali ya Marekani imetaka kujua kuhusu shauri hili baada ya kusikia raia wake amekamatwa. Jana Ubalozi wa Marekani umetuma fomu maalumu (Consular Notification and Access Form) ambayo Thadei anatakiwa kusaini ili Serikali ya Marekani iweze kuwa involved katika kesi hiyo. Lakini polisi wamekataa asisaini.
Aidha, polisi walimzuia Wakili wake asionane naye, jambo ambalo ni kinyume cha sheria kwa mujibu wa kifungu cha 50(1)(b) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA Cap20) kinacholinda haki ya mtuhumiwa kuwasiliana na wakili wake. Ndugu zake wanadai jana walimpelekea chakula lakini wakazuiwa kumuona na hata chakula chao kilikataliwa.
Leo polisi wamempeleka Mahakamani bila kujulisha ndugu wala Wakili wake. Hii ni kinyume na Kifungu cha 50(2) CPA kinacholinda haki ya mtuhumiwa kupewa taarifa na kuandamana na wakili wake wakati wa kupelekwa mahakamani.
Sidhani kama Polisi wanajua hiki wanachofanya kinaweza kuleta mgogoro wa kidiplomasia. Kwa mujibu wa Vienna Convention on Consular Relations (1963), Articles 36 & 37 nchi mwenyeji inalazimika kutoa taarifa kwa ubalozi mara tu raia wa kigeni anapokamatwa. Pia inatakiwa kuruhusu ubalozi wake kuwasiliana naye.
Kumzuia Thadei kusaini Consular Notification and Access Form na kuzuia mawasiliano na ubalozi wake ni ukiukwaji wa moja kwa moja wa mkataba wa Vienna.
Matokeo yake ubalozi wake unaweza kutoa "Diplomatic Protest note" ambayo itazuia raia wa bongo kuja US na raia wa US kwenda bongo mpaka hilo shauri litatuliwe. Kwa luga rahisi kama una kampuni ya utalii umechukua hela za wageni wa Marekani anza kuwarudishia. Na kama wewe ni mwanafunzi umepata chuo Marekani na bado hujaja, anza kutafuta admission Theofilo Kisanji University. Ngoma inakaribia kuwa ngumu kwa ujinga wa Polisi.!
Pia Soma: Thadei Kweka achukuliwa na watu wanaodaiwa kuwa Polisi baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Moshi
Mara ya mwisho Kiranga kuonekana humu lini?Lilivyonenepeana utasema lina akili kazi upuuzi tu wa mitandaoni.
Kwahiyo we ndio una akili mkuu?ahahahLilivyonenepeana utasema lina akili kazi upuuzi tu wa mitandaoni.
Baada ya kushikiliwa kwa siku 3 kituo kikuu cha polisi (Central) Moshi, hatimaye Thadei Kweka amepandishwa mahakamani mchana huu, leo Desemba 31, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.
Ikumbukwe Thadei ni raia wa Marekani (alishaukana uraia wa TZ). Hata alipokuja aliingia kama mgeni kwa kutumia Tourist Visa (Single Entry) ambayo hutolewa kwa raia wa kigeni kwa ukaaji usiozidi siku 90.
Serikali ya Marekani imetaka kujua kuhusu shauri hili baada ya kusikia raia wake amekamatwa. Jana Ubalozi wa Marekani umetuma fomu maalumu (Consular Notification and Access Form) ambayo Thadei anatakiwa kusaini ili Serikali ya Marekani iweze kuwa involved katika kesi hiyo. Lakini polisi wamekataa asisaini.
Aidha, polisi walimzuia Wakili wake asionane naye, jambo ambalo ni kinyume cha sheria kwa mujibu wa kifungu cha 50(1)(b) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA Cap20) kinacholinda haki ya mtuhumiwa kuwasiliana na wakili wake. Ndugu zake wanadai jana walimpelekea chakula lakini wakazuiwa kumuona na hata chakula chao kilikataliwa.
Leo polisi wamempeleka Mahakamani bila kujulisha ndugu wala Wakili wake. Hii ni kinyume na Kifungu cha 50(2) CPA kinacholinda haki ya mtuhumiwa kupewa taarifa na kuandamana na wakili wake wakati wa kupelekwa mahakamani.
Sidhani kama Polisi wanajua hiki wanachofanya kinaweza kuleta mgogoro wa kidiplomasia. Kwa mujibu wa Vienna Convention on Consular Relations (1963), Articles 36 & 37 nchi mwenyeji inalazimika kutoa taarifa kwa ubalozi mara tu raia wa kigeni anapokamatwa. Pia inatakiwa kuruhusu ubalozi wake kuwasiliana naye.
Kumzuia Thadei kusaini Consular Notification and Access Form na kuzuia mawasiliano na ubalozi wake ni ukiukwaji wa moja kwa moja wa mkataba wa Vienna.
Matokeo yake ubalozi wake unaweza kutoa "Diplomatic Protest note" ambayo itazuia raia wa bongo kuja US na raia wa US kwenda bongo mpaka hilo shauri litatuliwe. Kwa luga rahisi kama una kampuni ya utalii umechukua hela za wageni wa Marekani anza kuwarudishia. Na kama wewe ni mwanafunzi umepata chuo Marekani na bado hujaja, anza kutafuta admission Theofilo Kisanji University. Ngoma inakaribia kuwa ngumu kwa ujinga wa Polisi.!
Pia Soma: Thadei Kweka achukuliwa na watu wanaodaiwa kuwa Polisi baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Moshi
Ana pasi ya Marekani ...pasi ambayo Polisi walisema inamilikiwa na bwana Kweka ni ya Tanzania, au Marekani?
Matokeo ya kulea uchawa na kuvurunda sheria nzuri zilizokuwepo kuwalinda mafisadi wanasii hasa.Marehemu Mzee wa Galilaya na Msaidizi wake enzihizo na sasa naye anawaza kwenda roma kufanya toba a k.a bi mkora wanabeba moja kwa moja dhima ya kushiriki kuharibu mifumo ya checks ana balance kwa ahadi na kwa ubinafsi wao na tamaa zao.Ambaye tu naweza kumsamehe ni yule Mzee wa kasi na viwango katika kusimamia maslahi ya Mtanganyika na Mtanzania.Japo naye mafisadi hawakumpa muda wa kupumua.Ila alijaibu!Kuna wakati mambo inayofanya dola (sio serikali) yanatia huruma sana
Ha ha haa 🤣🤣🤣Mara ya mwisho Kiranga kukanyaga Tanzania ni 2012.
Sitaki ujinga.