Mbona hili tayari, bila hata ya uwepo wa hili sakata la Thadei; hukusikia Tanzania ni miongoni mwa nchi 19nzilizoongezwa kwenye kibano cha raia wa nchi hizo kuingia Marekani?.Matokeo yake ubalozi wake unaweza kutoa "Diplomatic Protest note" ambayo itazuia raia wa bongo kuja US na raia wa US kwenda bongo mpaka hilo shauri litatuliwe. Kwa luga rahisi kama una kampuni ya utalii umechukua hela za wageni wa Marekani anza kuwarudishia. Na kama wewe ni mwanafunzi umepata chuo Marekani na bado hujaja, anza kutafuta admission Theofilo Kisanji University. Ngoma inakaribia kuwa ngumu kwa ujinga wa Polisi.!
Asijipe sana kuburi eti kwa kuwa ana Passport ya USA. Kwa Marekani ya Donald Trump as long as ni raia mweusi, sidhani kama atapata usaidizi.
Trump amekuwa anawapuga sana vita raia wa kuandikisha. Hivyo huyu Mchagga ambaye amedakwa huku, itakuwa ni nafuu kwa America
Ndiyo maana Trump huyo huyo akawadondoshea mabomu Jihadists' wenzenu huko Nigeria; kwa vile waliokuwa wakiuliwa ni weupe wenzake!Asijipe sana kuburi eti kwa kuwa ana Passport ya USA. Kwa Marekani ya Donald Trump as long as ni raia mweusi, sidhani kama atapata usaidizi.
Trump amekuwa anawapuga sana vita raia wa kuandikisha. Hivyo huyu Mchagga ambaye amedakwa huku, itakuwa ni nafuu kwa America
Huyo libonge yuko kwenye mitandao ya jamii na kwa kutumia jina lake halisi huku akihamasisha na kuchocheaNdiyo maana Trump huyo huyo akawadondoshea mabomu Jihadists' wenzenu huko Nigeria; kwa vile waliokuwa wakiuliwa ni weupe wenzake!
Akili zako zimechanganyikiwa kiasi kikubwa sana.
Sasa hili la Thadei nalo linakufurahisha kwa sababu zipi hasa?
Tayari unajuwa kosa analotuhumiwa nalo; au kwa vile tu yeye ni Mmarekani? Hamza Johari kaamua sasa kuwashughulikia wote walio nje ya Tanzania kama alivyoahidi kumshughulikia Mange Kimambi?
Hivi kuna 'slave mentality' inayozidi mliyonayo mtu kama wewe na wote mnaotetea Samia na Genge lake, au kwa kuwa hamna akili ya kujitambuwa utwana wenu ulivyo!tu eti USA watatunyosha ana slavery mentality inamsumbua.
Kama ni kweli ni raia wa huko Marekani watamwogopa tu. Huko unakokuita wewe "uchochezi" hakuna kitu kama hicho kwa Marekani.Huyo libonge yuko kwenye mitandao ya jamii na kwa kutumia jina lake halisi huku akihamasisha na kuchochea
Ni unatakiwa uwe mjinga kiasi gani kurudi bongo kwa kudhani kwa kuwa una uraia wa nchi nyingine watakuogopa?
Na hili litampata pia MangeKimambi, tukipeleka tu ombi la kumleta huku, Trump atachekelea, na dakika sifuri anatua BongoTena wanasema one less nigger to worry about
Huyu hata kama ataachiwa hii itakuwa ni lesson learned the hard way, na sijui kama atarudi bongo tena kama CCM bado wapo.
Hawa wameukana Utanzania na kuwa Wamarekani, kwa nini wasihangaike na kukosoa Serikali ya Marekani?? Hii Tz watuachie wenyewe tupambane nayo...mamlaka za Tanzania inaelekea zina kiwango fulani cha heshima kwa ndugu Kweka.
..naamini Kweka angekuwa Mtanzania wa kawaida angetendewa unyama na ukatili uliopitiliza.
..Kweka angekuwa sio Mmarekani angeishapotezwa katika uso wa dunia.
Kama umeshakataa uraia wa Tanzania na kuwa Mmarekani, hangaika na nchi yako mpya achana na sisi.Ndiyo maana Trump huyo huyo akawadondoshea mabomu Jihadists' wenzenu huko Nigeria; kwa vile waliokuwa wakiuliwa ni weupe wenzake!
Akili zako zimechanganyikiwa kiasi kikubwa sana.
Sasa hili la Thadei nalo linakufurahisha kwa sababu zipi hasa?
Tayari unajuwa kosa analotuhumiwa nalo; au kwa vile tu yeye ni Mmarekani? Hamza Johari kaamua sasa kuwashughulikia wote walio nje ya Tanzania kama alivyoahidi kumshughulikia Mange Kimambi?
Kweka hakuletwa mahakamani bali polisi walipeleka maombi Mahakama itoe amri ya kumtaka Kweka atoe nywila za simu yake ili wamkague na kumshtakiAmendika Malisa kupitia mtandaoni;
Baada ya kushikiliwa kwa siku 3 kituo kikuu cha polisi (Central) Moshi, hatimaye Thadei Kweka amepandishwa mahakamani mchana huu, leo Desemba 31, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.
Ikumbukwe Thadei ni raia wa Marekani (alishaukana uraia wa TZ). Hata alipokuja aliingia kama mgeni kwa kutumia Tourist Visa (Single Entry) ambayo hutolewa kwa raia wa kigeni kwa ukaaji usiozidi siku 90.
Serikali ya Marekani imetaka kujua kuhusu shauri hili baada ya kusikia raia wake amekamatwa. Jana Ubalozi wa Marekani umetuma fomu maalumu (Consular Notification and Access Form) ambayo Thadei anatakiwa kusaini ili Serikali ya Marekani iweze kuwa involved katika kesi hiyo. Lakini polisi wamekataa asisaini.
Aidha, polisi walimzuia Wakili wake asionane naye, jambo ambalo ni kinyume cha sheria kwa mujibu wa kifungu cha 50(1)(b) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA Cap20) kinacholinda haki ya mtuhumiwa kuwasiliana na wakili wake. Ndugu zake wanadai jana walimpelekea chakula lakini wakazuiwa kumuona na hata chakula chao kilikataliwa.
Leo polisi wamempeleka Mahakamani bila kujulisha ndugu wala Wakili wake. Hii ni kinyume na Kifungu cha 50(2) CPA kinacholinda haki ya mtuhumiwa kupewa taarifa na kuandamana na wakili wake wakati wa kupelekwa mahakamani.
Sidhani kama Polisi wanajua hiki wanachofanya kinaweza kuleta mgogoro wa kidiplomasia. Kwa mujibu wa Vienna Convention on Consular Relations (1963), Articles 36 & 37 nchi mwenyeji inalazimika kutoa taarifa kwa ubalozi mara tu raia wa kigeni anapokamatwa. Pia inatakiwa kuruhusu ubalozi wake kuwasiliana naye.
Kumzuia Thadei kusaini Consular Notification and Access Form na kuzuia mawasiliano na ubalozi wake ni ukiukwaji wa moja kwa moja wa mkataba wa Vienna.
Matokeo yake ubalozi wake unaweza kutoa "Diplomatic Protest note" ambayo itazuia raia wa bongo kuja US na raia wa US kwenda bongo mpaka hilo shauri litatuliwe. Kwa luga rahisi kama una kampuni ya utalii umechukua hela za wageni wa Marekani anza kuwarudishia. Na kama wewe ni mwanafunzi umepata chuo Marekani na bado hujaja, anza kutafuta admission Theofilo Kisanji University. Ngoma inakaribia kuwa ngumu kwa ujinga wa Polisi.!
Pia Soma: Thadei Kweka achukuliwa na watu wanaodaiwa kuwa Polisi baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Moshi
Hawa wameukana Utanzania na kuwa Wamarekani, kwa nini wasihangaike na kukosoa Serikali ya Marekani?? Hii Tz watuachie wenyewe tupambane nayo.
Soma hapa sio unajipa umuhimu kwa uraia wa nchi za wazungu
Hivi unadhani wakati wanafanya hivi hawajui kuwa hawa ni raia wa US, wanajua sana na wanafanya makusudi
View attachment 3523483
View attachment 3523484
Ukisha ikataa nchi ya kuzaliwa, achana na mambo ya hiyo nchi..Ni kwasababu wamezaliwa na kukulia Tanzania.
Ukisha ikataa nchi ya kuzaliwa, achana na mambo ya hiyo nchi
Huwezi kutumia kigezo cha "hapa duniani hakuna nchi perfect..."; hakuna anayetafuta nchi 'perfect'; na hiyo haiwezi kuwa sababu ya kukubali uovu wa kuua raia hovyo hovyo kwa sababu tu ya kukalia madaraka kwa nguvu. Trump akifanya aliyofanya Samia hawezi kudumu madarakani hata kwa mwezi mmoja..Kama umeshakataa uraia wa Tanzania na kuwa Mmarekani, hangaika na nchi yako mpya achana na sisi.
Hapa duniani hakuna nchi perfect, Marekani yenyewe bado ina watu maskini hawana malazi, ina mauaji ya bunduki kila siku, haki za binadamu pia zinadhulumiwa.
Thhadei Kweka ahangaike na Trump kuhusu hayo hapo juu, ya kwetu tutayamaliza sisi wenyewe tuliobaki
Upuuzi uliokujaa wewe ni kujifanya hujui sababu zinazopelekea baadhi ya waTanzania kufanya hivyo; siyo "kuukataa uTanzania", bali kuna sababu nyingi zinazoweza ilazimu kubadili uraia.Kama umeshakataa uraia wa Tanzania na kuwa Mmarekani, hangaika na nchi yako mpya achana na sisi.
Shithole comment!!Hivi kuna 'slave mentality' inayozidi mliyonayo mtu kama wewe na wote mnaotetea Samia na Genge lake, au kwa kuwa hamna akili ya kujitambuwa utwana wenu ulivyo!
Unapata wapi ujasiri wa kusema wengine kuwa na 'slave mentality' na usijue hali mbovu kabisa uliyonayo wewe mwenyewe!