Thailand: Idadi 'kubwa' ya watu wauawa kwa kufyatuliwa risasi na mwanajeshi

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo sio tukio la kigaidi wewe au hujasoma story nzima alafu matukio ya kigaidi yanajulikana tu ndio maana unakuja hapa kujihami
Mbna umepanic kijana kwan mm si nime uliza tu

Halaf matukio yakigaidi hua yanajulikanaje ama gaidi hua anajitangaza wakat anauwa watu kama mm gaidi mm gaidi


Usipanic kijana jibu swali kma nlivyo uliza kama unaweza ama unatka kujibu kama huwez kaa kimya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeshakujibu hapo kwa jinsi ulivyouliza
 
nimeshakujibu hapo kwa jinsi ulivyouliza
Hakuna Jibu Ulilonipa Kwasababu Swali Langu Halikuanzia Hapo Umedandia Gari Likiwa Kwenye Mwendo

Maana Niliuliza Nitukio Lakigaidi Ama Sio Nakama Ndio Nikwanini Likawa Lakigaidi Nakama Sio Kwanini Sio Lakigaidi ?!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…