The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Same applies to you how you doin sis this Ash Wednesdaywewe ni muhimu kwangu na nakupenda pia Husninyo....!!
wewe ni muhimu kwangu na nakupenda pia Husninyo....!!
Hivi umeshawahi kufikiria siku utakayoamka unajikuta upo peke yako nyumba nzima, njiani hukuti mtu, unafika kwenye kituo cha daladala magari yapo ila hakuna mtu, ofisini napo hukuti mtu.
Unajihisi mpweke unaamua uwapigie simu watu wako ila Simu zinaita hazipokelewi. unafungua JF unakuta threads kibao ila hakuna mtu online.
Unagundua kuwa umeachwa mwenyewe hapo ndipo unaanza kuona umuhimu wa watu.
Umuhimu wa watu huonekana pale tunapowakosa ila hatutakiwi tusubiri hadi tuwakose ndio tuoneshe kuwa wao ni muhimu kwetu.
Wana jf wote ni muhimu kwangu na ninawapenda sana, sitaki kusubiri hadi niwakose ndio mjue mlikuwa muhimu kwangu.
Nawatakia siku njema na mungu awabariki.

Kazi ni muhimu, lakini maisha ni muhimu zaidi. na maisha ni kuwa pamoja na watu.
shemeji hujaelewa jamani!
Wana JF wenzangu, mnaonaje kama siku moja moja kila mmoja wetu akaamua kutuma sms kwa watu wote ktk phonebook ya simu yake ili yaende sambamba na maneno ya Husninyo???
Siku hizi kuna Extreme za msg kwa bei ndogo tu, so tunaweza kufanya
Daaah
Shem nimekuelewa mbona, yaani mpaka raha
Nimeshatoa propozo langu hapo juu Shem
Nilienda loliondo shem:wink2:
Hus we unashaurika na utakuwa mke mzuri,nimeiona nashukuru kwa kuipata ya pili nawe nimekupa ya 28.ile ahadi naendelea kuitekeleza.
Umeona nyingine sahivi?
Nakusifu sana nilipoanza kukusema ulikuwa na 4 mpaka hapo unaendelea vizuri sana,ni msikivu ndio maana nataka kuja Mpwapwa lol!duh, gepu kubwa ila nitalipunguza tu kidogo kidogo.
Nakusifu sana nilipoanza kukusema ulikuwa na 4 mpaka hapo unaendelea vizuri sana,ni msikivu ndio maana nataka kuja Mpwapwa lol!
Dah! maneno matamu sana ingewezekana ningekugongea thanks 100,leo ntalala vizuri sana asante my angel.ha ha ha ha! Lol!
Usipate shida uporoto wangu, nitakufata popote ulipo.
Milima nitapanda, mabonde nitashuka, bahari nitavuka.. Misituni nitapita....
Dah! maneno matamu sana ingewezekana ningekugongea thanks 100,leo ntalala vizuri sana asante my angel.