- Thread starter
- #121
Wewe hiyo Last season ulicheza kombe lipi na uliishia wapi?Vs ya nini nmekuuliza last season umecheza kombe lipi uliishia wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hiyo Last season ulicheza kombe lipi na uliishia wapi?Vs ya nini nmekuuliza last season umecheza kombe lipi uliishia wapi
Napoteza mda wangu hapaWewe hiyo Last season ulicheza kombe lipi na uliishia wapi?
NonsenseUnatumia Simba ya Last season kufananisha na Yanga ya mwaka huu?
Kwanini usizungumzie Simba ya mwaka huu?
Mafanikio huenda kwa msimu husika, if ni ya mwaka jana, kwa team zote yatumike matokeo ya mwaka Jana.
Mi piaNapoteza mda wangu hapa
Pole mkuu......Nonsense
Sawa,Reference ya Wikipedia? Hiyo Hata wewe Unaweza kuingia hapo na ku edit chochote unachotaka. Wikipedia sio reliable source, Achana nayo
Demu anakuuliza swali,unashindwa kujibu kama mwanaume unajibu kama upinde..kakuuliza wametoka,??ilifaa ujibu ndio wametoka au bado wapo?..next time man up,usiwe kama upinde,unajiuma uma sana.Champions league walikuwa Simba(Kolo fc) na wameshatolewa..
Wamekuzidi nini akati walkuwa loser cup,uko na ujinga kidogo.Wana simba tuache upumbavu, tukubali Yanga wametuzidi maana hata sisi tulikuwa kwenye mashindano hayo hayo msimu ulopita hatukufika popote pale walipofika wao.
Hizo pesa hata robo ya bajeti haziwezi saidia.
Mashindano ni ufahari na sio swala la pesa maana mashabiki hatuzioni hizo pesa.
Tukubali Yanga wamesogea kuliko sisi, haijalishi ni shindano lipi, wamesonga sisi tumetolewa.
Mfano Mzuri Man City anasubiria kushinda Champions League ili naye aonekane ni bingwa na sio swala la pesa.
Majuha wengi hii nchi.yaani anataka kusema raja ni dhaifu kuliko marumo au yanga,kisa wao wameenda semi final kwenye CCCWamesogea kwenda wapi?
Kwani hawakushiriki CL, kwanini hawakuingia makundi?
Next time uki-quote watu tumia akili.Demu anakuuliza swali,unashindwa kujibu kama mwanaume unajibu kama upinde..kakuuliza wametoka,??ilifaa ujibu ndio wametoka au bado wapo?..next time man up,usiwe kama upinde,unajiuma uma sana.
Simba tumefanya makosa
Mechi ya Dsm tulitakiwa kuimaliza mapema, kocha akawaelekeza wachezaji wacheleweshe mipira ikitoka.
Mpira unatoka unaona Kapombe anatembea kama hataki, sekunde zinakatika...
Kocha akachelewa fanya sub, alipofanya akaweka mabeki
Tumeenda Moroco mchezo ukawa huo huo
Wachezaji hawajitumi kushambulia wao wanazuia tu huku wakijua fika ni wabovu kwenye penati.
Afu eti tumetoka kiume, huo ni upumbavu na wenda wazimu
Huyo ni Yanga mzeee...hakuna shabiki wa hiviUmetumia akili kuandika, sio ushabiki wa yanga vs simba.
Huyo jamaa ni Simba mda tu.Huyo ni Yanga mzeee...hakuna shabiki wa hivi