Thamani ya Chai ya Tanzania yaendelea kuporomoka kwenye soko la kimataifa.

Thamani ya Chai ya Tanzania yaendelea kuporomoka kwenye soko la kimataifa.

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Wakati Serikali yetu ikiwa busy kwenye uzinduzi wa filamu yetu huko Marekani.

Thamani ya Chai yetu inazidi kuporomoka kwenye soko la kimataifa.

Katika mnada uliofanyika Mombasa nchini Kenya hivi majuzi Chai ya Rwanda ili endelea kufanya vyema kwa kuuzwa kwa dola 2.83 kwa kilo moja ilhali ile ya Tanzania ikiuzwa kwa dola 1.51 kwa kilo.

Ipo haja kwa serikali kuhakikisha tunapeleka katika soko la kimataifa chai bora zaidi itayotuwezesha kupata fedha nyingi zaidi kuliko kupoteza muda kwenye mambo ya kufikirika.

 
Back
Top Bottom