kashesho
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 4,975
- 2,487
Shida Ni Kwamba Ukiendekeza Kula Vichwa Vya Samaki Mchemsho Wake Ambao Ni Mtamu Sana Hukosi Kunuka Kikwapa Tena Kile Kibaya
mmh!!! kikwapa tena sikuwahi kufikiri hilo nitafanya uchunguzi...ina maana kule wanakotoka hao samaki watu wake watakuwa wananuka sana vikwapa