kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,975 Reaction score 2,487 Apr 29, 2014 #21 mshana jr said: Shida Ni Kwamba Ukiendekeza Kula Vichwa Vya Samaki Mchemsho Wake Ambao Ni Mtamu Sana Hukosi Kunuka Kikwapa Tena Kile Kibaya Click to expand... mmh!!! kikwapa tena sikuwahi kufikiri hilo nitafanya uchunguzi...ina maana kule wanakotoka hao samaki watu wake watakuwa wananuka sana vikwapa
mshana jr said: Shida Ni Kwamba Ukiendekeza Kula Vichwa Vya Samaki Mchemsho Wake Ambao Ni Mtamu Sana Hukosi Kunuka Kikwapa Tena Kile Kibaya Click to expand... mmh!!! kikwapa tena sikuwahi kufikiri hilo nitafanya uchunguzi...ina maana kule wanakotoka hao samaki watu wake watakuwa wananuka sana vikwapa
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,411 Reaction score 4,777 Apr 29, 2014 #22 mshana jr said: Chocs kichwa cha samaki ni kitamu sana lakini madhara yake ndo hayo! jaribu kula mfululizo kwa wk moya 2 utanambia Click to expand... Sijawahi kula mfululizo...naogopa kujaribu
mshana jr said: Chocs kichwa cha samaki ni kitamu sana lakini madhara yake ndo hayo! jaribu kula mfululizo kwa wk moya 2 utanambia Click to expand... Sijawahi kula mfululizo...naogopa kujaribu
Ngod Member Joined Jun 19, 2013 Posts 10 Reaction score 3 Apr 29, 2014 #23 Hapo ndo unampa credit mama Pastory wa waterfront daily nitaibuka kikwapa dawa yake Deodorant tu..
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 May 1, 2014 #24 chocs said: sijawahi kula mfululizo...naogopa kujaribu Click to expand... hahahahaaaa