William Mshumbusi JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 1,761 Reaction score 2,391 Oct 8, 2023 #1 Ukiangalia kwenye market value Diara thamani yake Ni 400m (Dola 185000) za kibongo lakini ya Ayoub Ni billion tatu.(Dola m. 1.3). Je ubora wa Ayoub Ni mkubwa mno Mara zaidi ya Saba ya Diara? Attachments Screenshot_20231008-093224.png 95.4 KB · Views: 10 Screenshot_20231003-163033.png 82.7 KB · Views: 8
Ukiangalia kwenye market value Diara thamani yake Ni 400m (Dola 185000) za kibongo lakini ya Ayoub Ni billion tatu.(Dola m. 1.3). Je ubora wa Ayoub Ni mkubwa mno Mara zaidi ya Saba ya Diara?
goroko77 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 8,845 Reaction score 13,072 Oct 8, 2023 #2 Rubbish
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 Oct 8, 2023 #3 Ayubu huyu ambae ni mbovu sana au ayubu yupi
Exy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 3,146 Reaction score 5,520 Oct 8, 2023 #4 Vitu vingine nikutaka kutuonesha ulivyo mpumbavu... Kwahiyo Simba wamemchukua huyo Ayubu kwa 1+B?, Hebu punguzeni uzwazwa asee!.
Vitu vingine nikutaka kutuonesha ulivyo mpumbavu... Kwahiyo Simba wamemchukua huyo Ayubu kwa 1+B?, Hebu punguzeni uzwazwa asee!.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Oct 8, 2023 #5 Ila kuna watu mnapenda sana kujidhalilisha humu jukwaani. Sijui ni kwa sababu wengi wetu tunatumia majina ya bandia!!! Au sijui ni kutokana na ile kauli ya Ismail Aden Rage!!!
Ila kuna watu mnapenda sana kujidhalilisha humu jukwaani. Sijui ni kwa sababu wengi wetu tunatumia majina ya bandia!!! Au sijui ni kutokana na ile kauli ya Ismail Aden Rage!!!