The Sheriff,
Hizi propaganda za kutukuza Kiswahili, some time zinakera wakati Kiswahili hapa Tanzania kinapo tumika 99% kimeshindwa kabadili maisha ya wa Tanzania kwenye elimu, biashara demokurasia, ungunduzi sayansi na tekinologia.
lugha yoyete muhimu lazima ilete matokeo chanya kwenye jamii husika, Tz imebaki kua LDC kama nchi zingine za Africa pamoja na kutumia Kiswahili kwa 100%, tatizo ni nini?
Wa Kichina, Kijerumani, Kiingereza, Kijapani, Kiamaharic, Kiitaliano, Kiarabu nk. wametumia hizo lugha zao kuleta umoja sayansi na tekinologia na kubadilii jamii zao, sisi tunajisifu kwa kutoa nyimbo tu.
Sent using
Jamii Forums mobile app