Lipumba ni la KinyamweziKwa mtazamo wangu mengi ya hayo majina uliyoweka ni ya kiswahili ila yenye asili ya kiarabu (baadhi).
Majina ya kiswahili hasa ni kama Sikitu, Pombe, Sikujua, Lipumba, Jembe, Sikudhani e.t.c.
Nadhani wanastahili kuwepo, hasa huyo "akanye" West ni dhahiri.Kobe Brayant na Kanye West hawaingii hapa?
Wakenya wanaigombea huku kuna mtu anaiita haina tijaThe Sheriff,
Hizi propaganda za kutukuza Kiswahili, some time zinakera wakati Kiswahili hapa Tanzania kinapo tumika 99% kimeshindwa kabadili maisha ya wa Tanzania kwenye elimu, biashara demokurasia, ungunduzi sayansi na tekinologia.
lugha yoyete muhimu lazima ilete matokeo chanya kwenye jamii husika, Tz imebaki kua LDC kama nchi zingine za Africa pamoja na kutumia Kiswahili kwa 100%, tatizo ni nini?
Wa Kichina, Kijerumani, Kiingereza, Kijapani, Kiamaharic, Kiitaliano, Kiarabu nk. wametumia hizo lugha zao kuleta umoja sayansi na tekinologia na kubadilii jamii zao, sisi tunajisifu kwa kutoa nyimbo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumuandama muislamu mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maajabu ya JF: kuna jina nahisi ni mwanamme au ndiyo waleeee na yeye yumo humu JF eti anaejiita kama huyo binti kaongeza r moja kuzuga anaejiita Zurri.
Majanga!
Tukienzi Kiswahili.
Kwahiyo kama wa kenya wanaigombea inakua je?......lejea kwenye hoja yangu mkuu kiswahili hakijaleta mabadiliko chanya kama lugha zingine za kimataifa zaidi ya sifa propaganda kama lugha adimu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kuna mcheza basketball Alikua anaitwa Samaki Walker
[emoji23] [emoji23]Kwa mtazamo wangu mengi ya hayo majina uliyoweka ni ya kiswahili ila yenye asili ya kiarabu (baadhi).
Majina ya kiswahili hasa ni kama Sikitu, Pombe, Sikujua, Lipumba, Jembe, Sikudhani e.t.c.
Movie; Don't be a menace10. Hodari Sababu: Huyu ni Baba wa Kambo WA Rapper The Game.
Wamarekani weusi wengi wana majina ya Kiswahili sema wengi sio maarufu.
Wamarekani weusi wengi Wana amini Kiswahili ndio lugha inayo litambulisha bara la Afrika.
Tupac in 1996 katika wimbo wake " Troublesome 96" anasikika akighani " Fvck all y'all niggas in Swahili (Hapa alimaanisha Ku....yo/ au mn....bwa)
Kuna movie moja ya mablack ilitoka miaka ya tisini kuna dada mmoja wa gheto alikuwa na watoto kama sita hivi wote kila mmoja na Baba ake basi Dogo mmoja akamuelewa huyo singo Maza sasa wakati anamuuliza jina huyo Maza akasema " My name is ( jina nimesahau) a Swahili for Doggystyle)
Kuna Kidada Jones na Rashida Jones.
Na wajapani pia hawapo nyuma kuna Kumamoto University,
Sasa sijui hili jina lina asili ya Kiswahili au coincidence tu na maneno/majina yao ya kijapani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiswahili kimedokoa maneno mengi kwenye lugha nyingine za kibantu, kingereza, kihindu, kijapani nk,
na mengi kwenye kiarabu.
Kwahiyo maneno kama "kumamoto" ni maneno ya asili ya kijapani ambayo yamedokolewa kwenye kiswahili
Umeacha majina kama Furaha, Faraja, Upendo, Tausi, Neema, Rehema, Maua, Zawadi, Zaituni na ukarukia Sikitu, Pombe na Sikudhani ili uoneshe negatively kwenye lugha ya kiswahili,Kwa mtazamo wangu mengi ya hayo majina uliyoweka ni ya kiswahili ila yenye asili ya kiarabu (baadhi).
Majina ya kiswahili hasa ni kama Sikitu, Pombe, Sikujua, Lipumba, Jembe, Sikudhani e.t.c.
Yes! Mji uliop kusini magharibi ya Suisse lakini pia Lugano kwa asili kabisa ya Kihispaniora ni maana ya Usaidizi au Kuhifadhi/Twaa.Lugano ni mji
We're going to party, KARAMU, fiesta forever.Mi binafsi navutiwa zaidi na vibwagizo Kwenye nyimbo za wasanii wakubwa kama vile.
"Nakupenda pia nakutaka pia mpenzi wee"---Michael Jackson (Liberian girl )
"Jambo nipe sent moja" Lionel Richie (All night long)
Sent using Jamii Forums mobile app