Haukuwa peke yako na hauko peke yako. Kwa hakika wengi tumebakia tumeduwaa na midomo wazi.Nilimpenda sana huyu mama SSH
Nilimsifia sana!
Nilimwona mwokozi wetu mkuu!
Nimekata tamaa nae, washauri wake (ie mawaziri) wanampeleka shimoni!
Anashindwa nini kuwatoa kama kweli anajua tatizo ndo hiloNilimpenda sana huyu mama SSH
Nilimsifia sana!
Nilimwona mwokozi wetu mkuu!
Nimekata tamaa nae, washauri wake (ie mawaziri) wanampeleka shimoni!
Anashindwa nini kuwatoa kama kweli anajua tatizo ndo hilo
Matatizo hayajawahi kuisha Tanzania na duniani pia. Rais Samia anafanya anayoweza na asiyoweza hakuna haja ya kupoteza muda.Mama Samia alikuwa na muda wote wa kutuwekea misingi imara ya Tanzania mpya yenye haki kamili. Tukawa na Tanzania isiyokuwa na malalamiko. Sote tukajisikia kuwa na haki sawa.
Ajabu na kweli mzuka uliompitiliza wa 2025 umempiga upofu. Haoni wala hasikii.
Haya matozo yanayopigiwa kelele kila kona hata hayamfikirishi? Chawa wake wangapi nguli hawaonekani tena mitandaoni hata kumjibia hoja?
Amepima kuona kama akikwama 2025 au atakapotoka madarakani atakuwa na sifa au hata kuacha legacy gani?
Angeshukuru kwa minne aliyopata na kujielekeza kwenye kuliweka taifa mikononi mwa watu, hata mitano mingine ya haki mbona ingemfuata tu?
Yetu macho, ngoja tuone.
Kwamba aachane na washauri sio?..awe jeshi la mtu mmoja asiyeshaurika ..Kwa logic yako hii kumbe jpm alikuwa sahihi..kumbe washauri wa nchi hii ni tatizoNinavyoona mama yupo vizuri ila washauri wake ndio tatizo!
Tunayo matatizo makubwa zaidi ya kikatiba yenye kuhitaji ufumbuzi wa haki sasa. Majirani zetu Kenya hapo wamepiga hatua mno.Matatizo hayajawahi kuisha Tanzania na duniani pia. Rais Samia anafanya anayoweza na asiyoweza hakuna haja ya kupoteza muda.
Usipopima ushauri unaopewa lazima uingie kwenye shida, wahenga walisema "akili za kuambiwa changanya na zako".Kwamba aachane na washauri sio?..awe jeshi la mtu mmoja asiyeshaurika ..Kwa logic yako hii kumbe jpm alikuwa sahihi..kumbe washauri wa nchi hii ni tatizo
Subiria mda utaongea wewe konokono WA kienyeji.Mama Samia alikuwa na muda wote wa kutuwekea misingi imara ya Tanzania mpya yenye haki kamili. Tukawa na Tanzania isiyokuwa na malalamiko. Sote tukajisikia kuwa na haki sawa.
Ajabu na kweli mzuka uliompitiliza wa 2025 umempiga upofu. Haoni wala hasikii.
Haya matozo yanayopigiwa kelele kila kona hata hayamfikirishi? Chawa wake wangapi nguli hawaonekani tena mitandaoni hata kumjibia hoja?
Amepima kuona kama akikwama 2025 au atakapotoka madarakani atakuwa na sifa au hata kuacha legacy gani?
Angeshukuru kwa minne aliyopata na kujielekeza kwenye kuliweka taifa mikononi mwa watu, hata mitano mingine ya haki mbona ingemfuata tu?
Yetu macho, ngoja tuone.
Kwa hiyo ukipata Katiba kama ya Kenya utakuwa umetatua matatizo yoteTunayo matatizo makubwa zaidi ya kikatiba yenye kuhitaji ufumbuzi wa haki sasa. Majirani zetu Kenya hapo wamepiga hatua mno.
Makelele unayoyasikia na tozo ni mwendelezo ule wa sera za walamba asali dhidi ya wengine.
Yako mengi ...
Kupungua kwa tatizo moja out of our way? Kwani wewe hukupata kusikia ni heri ya nusu shari?Kwa hiyo ukipata Katiba kama ya Kenya utakuwa umetatua matatizo yote
Shaka akiwa Tabora amesema dunia yote inamkubali Mwigulu, sasa naona hiki kikundi cha hawa vijana walevi ni tatizo jipya la wakati huu tuliopo.
Akili za kichawa hizi..Matatizo hayajawahi kuisha Tanzania na duniani pia. Rais Samia anafanya anayoweza na asiyoweza hakuna haja ya kupoteza muda.
Ngoja tusubiri tuone kama hiyo 2025 atafanikiwa kwenye hiyo dhamira yake.
Ila kwangu mimi niseme tu big No kwa huyu Bi Mkubwa. Siwezi kumpigia kura ya ndiyo.
Na huo ndiyo ulio ukweli mchungu.Kama ana jeshi na tume ya uchaguzi anateua yeye, hahitaji kura hata moja kukaa madarakani. Machafuko tu ndio yataturudisha kwenye mstari.
Acha dharau unachomzidi ni mapumbu tu ndiyo unaringia. Ungekuwa wewe ndiyo una knowledge usingekuwa hapa JF unalialia hapaKwanza huyo Mama hakutakiwa kuwa Rais in the first place kwa sababu hana uwezo, in knowledge and in practice. Hili liko wazi kwa sababu maamuzi yake anawategemea CHAWA zaidi kuliko akili zake mwenyewe. Chawa kama machemba, kipara au huyu aliyenyooshewa bastola si watu sahihi kwa sababu siyo watu wenye fikra kuhusu Tz miaka 50 ijayo.. hawa ni wachumia tumbo tu..
Yaani ndugu yangu ukiona nchi inaishia kuwa na taifa la vijana wengi kuishia kuishia kuwa ' machawa na wengine eti kushinda siku nzima kujadili sijui 'madili', mara kujadili bongofleva, kubet na kufanya uchuuzi barabarani, au soga za Simba/Yanga ,badala ya kujadili, kuona na kupanga njia na mikakati sahihi ya leo na kesho ya maendeleo endelevu, kwa mustakabali wa Taifa lao, sasa kwa kweli matokeo yake ndio haya.utaona na safari bado ni ndefu aiseee........... kazi iendelee.Kuna na mwamba mmoja kamsimisha kazi naye kakomaa. Kama nchi kuna shehena kubwa ya wajinga.