Thamani ya Legacy dhidi ya Pata potea ya 2025

Hizi tozo ni kwa ridhaa ya nani? Huu mkanda wa kufunga ni sisi tu? Unajua walamba asali hawa wanafuja vipi hazina ya nchi kupitia kupeana nyadhifa, fursa, posho, marupurupu, na mengi lukuki tusiyokuwa na ridhaa nayo?
 
Ngoja tusubiri tuone kama hiyo 2025 atafanikiwa kwenye hiyo dhamira yake.

Ila kwangu mimi niseme tu big No kwa huyu Bi Mkubwa. Siwezi kumpigia kura ya ndiyo.
Ccm wajanja wameshapima upepo 2025 hawatamsimamisha, wataleta mgombea mwingine, watafuta matozo upinzani Kwa sababu walikaa kimya watakosa kura za wananchi
 
Ndo maana Wakenya walimtosa Odinga kuhofia yanayotukuta endapo Odinga angefia madarakani.
 
Mkuu hao wanaokwenda kufa safarini wakiwa busy na Simba na Yanga wala wasikupe pressure:

Kama nchi tuko vibaya, nani mwenye kubeba dhima ya ukombozi wetu?
 
Kwa hiyo ukipata Katiba kama ya Kenya utakuwa umetatua matatizo yo

Hizi tozo ni kwa ridhaa ya nani? Huu mkanda wa kufunga ni sisi tu? Unajua walamba asali hawa wanafuja vipi hazina ya nchi kupitia kupeana nyadhifa, fursa, posho, marupurupu, na mengi lukuki tusiyokuwa na ridhaa nayo?
View attachment 2330032zili

Hizi tozo ni kwa ridhaa ya nani? Huu mkanda wa kufunga ni sisi tu? Unajua walamba asali hawa wanafuja vipi hazina ya nchi kupitia kupeana nyadhifa, fursa, posho, marupurupu, na mengi lukuki tusiyokuwa na ridhaa nayo?
View attachment 2330032
Mchakato ukifanyika Hadi kufikia hapo na wawakilishi wetu ambao Ni wabunge walipitia wakatoa ushauri panapohitajika pakarekebishwa na kuja na hizo tozo ambazo Ni kwa ajili ya kuijenga nchi yetu wenyewe, hazijajaa kwa lengo la kumkomoa mwananchi Bali kumpa nafasi ya kushiliki katika ujenzi wa nchi take ambapo Ni fahari kuona miradi ikijengwa kutokanaa na tozo uliyochangia
 
Vipi kuhusu kujengwa kwa kutumia raslimali zetu kama madini? Vipi kujengwa kwa kuondoa malipo ya kinyonyaji wajilipayo vigogo na walamba asali?

Vipi kujengwa kwa kudhihibiti wizi na matumizi lukuki yasiyo na mashiko ya walamba asali?

Hivi misafara yao inatugharimu kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…