Thamani ya mchezaji wa soka viende sambamba na mshahara wake, uwekezaji na uwezo wake sio hisia tu za wahuni wasiojua hata kupiga danadana

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nimelazimika kuandika hivi kutokana na kauli za hawa vijana wauza sura wakisema thamani ya Fei Toto ni Bilioni 1.
Hivi inawezekanaje mchezaji wa Bilioni analipwa milioni 4 kwa mwezi yaani 48M kwa mwaka halafu mchezaji huyo unambania asiondoke kupata maslahi kisa unataka B?

Ni sawa na wazee wenye roho mbaya wanaopandisha kwa maksudi pesa ya mahari ili kukomoa waoaji.Hizi ni tabia zisozo za kistaarabu.

Inabidi watalamu wanaosimamia mchezo huu watengeneze kanuni ya kuweka ukomo wa bei ya mchezaji na isemwe wazi kwenye mkataba sio haya tunayoyaona sasa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Biashara ya mpira nadhani ni ngeni kwenye kichwa chako😂

Mfano
Enzo Fenandez anauzwa na benifica Euro mil 120 na huku mshahara wake ukiwa Euro
48000 kwa wiki.

Twende kwa Anton wa Manchester united amenunuliwa kwa Euro mil 95 huku mshahara wake alokua analipwa ajax ni Euro 23000 kwa wiki.

Bei ya mchezaji sokoni huwa inaendana na kiwango alichonacho na sio mshahara anaolipwa.
 
Umeandika point tupu mkuu nakupa eco
 
Nimelazimika kuandika hivi kutokana na kauli za hawa vijana wauza sura wakisema thamani ya Fei Toto ni Bilioni 1.
Hivi inawezekanaje mchezaji wa Bilioni analipwa milioni 4 kwa mwezi yaani 48M kwa mwaka halafu mchezaji huyo unambania asiondoke kupata maslahi kisa unataka B ...
Hiyo bilioni kama thamani yake umetumia vigezo gani kuipata? Ni vizuri kuwathaminisha wachezaji wetu ila kwa sasa Feisal hana thamani hiyo mnayotaka kumpa.
 
Biashara ya mpira nadhani ni ngeni kwenye kichwa chako[emoji23]

Mfano
Enzo Fenandez anauzwa na benifica Euro mil 120 na huku mshahara wake ukiwa Euro
48000 kwa wiki.

Twende kwa Anton wa Manchester united amenunuliwa kwa Euro mil 95 huku mshahara wake alokua analipwa ajax ni Euro 23000 kwa wiki.

Bei ya mchezaji sokoni huwa inaendana na kiwango alichonacho na sio mshahara anaolipwa.
Nakubali mwamba
 
Bongo hakuna mchezaji mwenye thamani ya bilion Sema Mpira wetu tumewapa machawa wanaojipendekeza Kwa matajiri wajiropokee tu
 
Biashara ya mpira nadhani ni ngeni kwenye kichwa chako😂

Mfano
Enzo Fenandez anauzwa na benifica Euro mil 120 na huku mshahara wake ukiwa Euro
48000 kwa wiki.

Twende kwa Anton wa Manchester united amenunuliwa kwa Euro mil 95 huku mshahara wake alokua analipwa ajax ni Euro 23000 kwa wiki.

Bei ya mchezaji sokoni huwa inaendana na kiwango alichonacho na sio mshahara anaolipwa.
Fei amevunja mkataba na Yanga , Kwa makubaliano ambayo yapo kwenye mkataba , shida ni nini mpak Yanga waweke ngumu , naomba darasa boss
 
Akilipwa hela hiyo kisha kiwango kikashuka ni haki kupinguziwa mshahara ?
 
Nimelazimika kuandika hivi kutokana na kauli za hawa vijana wauza sura wakisema thamani ya Fei Toto ni Bilioni 1.
Hivi inawezekanaje mchezaji wa Bilioni analipwa milioni 4 kwa mwezi yaani 48M kwa mwaka halafu mchezaji huyo unambania asiondoke kupata maslahi kisa unataka B?

Ni sawa na wazee wenye roho mbaya wanaopandisha kwa maksudi pesa ya mahari ili kukomoa waoaji.Hizi ni tabia zisozo za kistaarabu.

Inabidi watalamu wanaosimamia mchezo huu watengeneze kanuni ya kuweka ukomo wa bei ya mchezaji na isemwe wazi kwenye mkataba sio haya tunayoyaona sasa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ni timu gani imempa thamani hiyo? Alipotoka Singida united alikuwa na thamani hiyo? Hizo management pia za wachezaji hazina maono ya mikataba.

NB.Wachezaji wa Bongo viwango vyao huwezi kuwawekea dhamana maana huwa vinaibuka na kupotea ndani ya muda mfupi
 
Back
Top Bottom