Umeandika point tupu mkuu nakupa ecoBiashara ya mpira nadhani ni ngeni kwenye kichwa chako😂
Mfano
Enzo Fenandez anauzwa na benifica Euro mil 120 na huku mshahara wake ukiwa Euro
48000 kwa wiki.
Twende kwa Anton wa Manchester united amenunuliwa kwa Euro mil 95 huku mshahara wake alokua analipwa ajax ni Euro 23000 kwa wiki.
Bei ya mchezaji sokoni huwa inaendana na kiwango alichonacho na sio mshahara anaolipwa.
Hiyo bilioni kama thamani yake umetumia vigezo gani kuipata? Ni vizuri kuwathaminisha wachezaji wetu ila kwa sasa Feisal hana thamani hiyo mnayotaka kumpa.Nimelazimika kuandika hivi kutokana na kauli za hawa vijana wauza sura wakisema thamani ya Fei Toto ni Bilioni 1.
Hivi inawezekanaje mchezaji wa Bilioni analipwa milioni 4 kwa mwezi yaani 48M kwa mwaka halafu mchezaji huyo unambania asiondoke kupata maslahi kisa unataka B ...
Nakubali mwambaBiashara ya mpira nadhani ni ngeni kwenye kichwa chako[emoji23]
Mfano
Enzo Fenandez anauzwa na benifica Euro mil 120 na huku mshahara wake ukiwa Euro
48000 kwa wiki.
Twende kwa Anton wa Manchester united amenunuliwa kwa Euro mil 95 huku mshahara wake alokua analipwa ajax ni Euro 23000 kwa wiki.
Bei ya mchezaji sokoni huwa inaendana na kiwango alichonacho na sio mshahara anaolipwa.
Fei amevunja mkataba na Yanga , Kwa makubaliano ambayo yapo kwenye mkataba , shida ni nini mpak Yanga waweke ngumu , naomba darasa bossBiashara ya mpira nadhani ni ngeni kwenye kichwa chako😂
Mfano
Enzo Fenandez anauzwa na benifica Euro mil 120 na huku mshahara wake ukiwa Euro
48000 kwa wiki.
Twende kwa Anton wa Manchester united amenunuliwa kwa Euro mil 95 huku mshahara wake alokua analipwa ajax ni Euro 23000 kwa wiki.
Bei ya mchezaji sokoni huwa inaendana na kiwango alichonacho na sio mshahara anaolipwa.
Ni timu gani imempa thamani hiyo? Alipotoka Singida united alikuwa na thamani hiyo? Hizo management pia za wachezaji hazina maono ya mikataba.Nimelazimika kuandika hivi kutokana na kauli za hawa vijana wauza sura wakisema thamani ya Fei Toto ni Bilioni 1.
Hivi inawezekanaje mchezaji wa Bilioni analipwa milioni 4 kwa mwezi yaani 48M kwa mwaka halafu mchezaji huyo unambania asiondoke kupata maslahi kisa unataka B?
Ni sawa na wazee wenye roho mbaya wanaopandisha kwa maksudi pesa ya mahari ili kukomoa waoaji.Hizi ni tabia zisozo za kistaarabu.
Inabidi watalamu wanaosimamia mchezo huu watengeneze kanuni ya kuweka ukomo wa bei ya mchezaji na isemwe wazi kwenye mkataba sio haya tunayoyaona sasa
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app