Thamani ya Medali za Olympics

Hakuna Gold ya grams 500 yenye thamani ya 2 millions
According to Forbes Australia, the Olympic gold medal weighs 529 grams. "The podium cost of a 2024 Olympic gold medal is approximately $950 based on the spot price of gold, silver and iron on the morning of July 24 and the amount of those materials that are used for the medal," per the outlet.
 
Hivi mnazijuwa gram 500 au mnajiandikia tu? Hapo unaongelea nusu kilo, kuna medali inayofika nusu kilo?

Msisomeshe watu ujinga mlioenda kuusomea shule zenu za kusomea ujinga.
 
Hivi mnazijuwa gram 500 au mnajiandikia tu? Hapo unaongelea nusu kilo, kuna medali inayofika nusu kilo?

Msisomeshe watu ujinga mlioenda kuusomea shule zenu za kusomea ujinga.
Wewe ndiyo mjinga! Umesoma ukaelewa kilichoandikwa?
 
Chanzo cha mapato cha Hao jamaa wa olimpic huwa ni nini. Noaona huwa wanagawiana pesa ndefundefu Sana.
 
kasome upya. zimeandikwa zaidi ya gram 500. Labda wabadilishe baada ya kuwastukia ujinga wao.
The Olympics gold medal weighs 529 grams, more than 95.4% of the medal is actually made of silver (505 grams). Six grams consists of pure gold, which serves as the plating for the medal, and 18 grams consists of iron, according to various reports.

(Forbes)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…