Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
HUJUI kiingerezaHakuna Gold ya grams 500 yenye thamani ya 2 millions
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUJUI kiingerezaHakuna Gold ya grams 500 yenye thamani ya 2 millions
Umesoma vizuri au kiingereza ni shida rudia u some Tena vizuri msiwe mnakurupukaHivi mnazijuwa gram 500 au mnajiandikia tu? Hapo unaongelea nusu kilo, kuna medali inayofika nusu kilo?
Msisomeshe watu ujinga mlioenda kuusomea shule zenu za kusomea ujinga.
Kuna fedha ndefu sana unalipwa ukishinda dhahabu....mfano riadha ukishinda dhahabu UNAWEZA lipwa kama 32milion pesa ya Kenya...ibadilishe kuwa ya madafu..Bc ndo mana simbu akaona asijichoshe 😂 bora arudi awe chawa wa mama
Uongooo....wanalipwa fedha Tena fedha ndefuFaida n kutambulika tuu
Wanalipwa na serikali zao, sidhani kama olympic wanawalipa.Uongooo....wanalipwa fedha Tena fedha ndefu
Nani anapotosha huyo mkuu.Kuna fedha ndefu sana unalipwa ukishinda dhahabu....mfano riadha ukishinda dhahabu UNAWEZA lipwa kama 32milion pesa ya Kenya...ibadilishe kuwa ya madafu..
Pia inatangaza Taifa
Mengineyo Kuna upotoshaji Ili wananchi waone kwamba olimpic HAINA MAANA kuliko Simba na yanga ambayo inaishia hapo kariakoo
Wee ukiangalia ule mduara ni nusu kilo?? Ile wanavalishwa shingoni?The Olympics gold medal weighs 529 grams, more than 95.4% of the medal is actually made of silver (505 grams). Six grams consists of pure gold, which serves as the plating for the medal, and 18 grams consists of iron, according to various reports.
(Forbes)
Robo fainali klabu bingwa timu inavuta zaidi ya bilioni 1. TFF wanavuta TZS 103,000,000+Kuna fedha ndefu sana unalipwa ukishinda dhahabu....mfano riadha ukishinda dhahabu UNAWEZA lipwa kama 32milion pesa ya Kenya...ibadilishe kuwa ya madafu..
Pia inatangaza Taifa
Mengineyo Kuna upotoshaji Ili wananchi waone kwamba olimpic HAINA MAANA kuliko Simba na yanga ambayo inaishia hapo kariakoo
Kwani tupo kubishana hapa?Wee ukiangalia ule mduara ni nusu kilo?? Ile wanavalishwa shingoni?
Unajazwa ujinga na unakujaa, hakuna medali ya nusu kilo.The Olympics gold medal weighs 529 grams, more than 95.4% of the medal is actually made of silver (505 grams). Six grams consists of pure gold, which serves as the plating for the medal, and 18 grams consists of iron, according to various reports.
(Forbes)
Sawa.Unajazwa ujinga na unakujaa, hakuna medali ya nusu kilo.
Mimi ni mwanafunzi bado, nasoma mapaya kila kukicha. RRudia kanisome upya.Umesoma vizuri au kiingereza ni shida rudia u some Tena vizuri msiwe mnakurupuka
Nani akupe nusu kilo ya dhahabu? Mfaransa?Sawa.
Ulisoma ukaelewa kilichoandikwa au umezuzuka na gram 500?Nani akupe nusu kilo ya dhahabu? Mfaransa?
Unajua gram529 ni zaidi ya mil 150? Acha kuunga mkono hoja za kipuuziHajakosea, hiyo ni thamani ya medali.
nani amekwambia sio pure? Mil 2 hata gram 8 haifikiNot pure.
Wewe ndiyo mpuuzi umeshindwa kuelewa kilichoandikwa, humo kuna "6 gram of pure gold"Unajua gram529 ni zaidi ya mil 150? Acha kuunga mkono hoja za kipuuzi