😂😂😂😂😂Wanawake hakuna kutoa pesa wala vocha wala kukopesha....ni papuchi tuuu!!!!
Wakicheka papuchi wakilia papuchi.
Na umuambie km hataki wanawake, bas ahamie kwa wanaume wenzie.Kumbuka hukuzaliwa na mwanaume
Kila mtu alipewa majukumu yake,mwanaume as a provider na mwanamke as a receiver, ukiyajua hayo hutapata shida na mwanamkeUkimuuliza mimi napata nini kwenye hili penzi utasikia nimekuzalia watoto utafikiri watoto ni kitega uchumi
Ndoa ni utaperiKila mtu alipewa majukumu yake,mwanaume as a provider na mwanamke as a receiver, ukiyajua hayo hutapata shida na mwanamke
Coca habari😂😂😂😂😂
Hii kaka huoni unajitafutia madhara mkuuNdo mana mm napiga nyeto tuu
MhhhhhMkuu, ndoa na mwanamke ni zaidi ya ngono na kungonoka, mwanamke anaweza kuwa rafiki yako, mshauri, msaidizi wako na pengine mfariji wako katika nyakati ngumu, kumbuka siyo Kila mwanamke ni mwanamke maslahi, Hao Wachache wasiwaharibie wengine, Mwanamke aliumbwa purposely kum serve mwanaume na hii ni zaidi ya ngono tu, pia umezaliwa nao,. Mwanaume bila mwanamke maisha yake ni magumu na Mwanamke bila mwanaume maisha yake ni magumu, tumeumbwa kwa kutegemeana na kupendana na kuheshimiana. Hakika nampenda sana mke wangu