Thamani ya Mwanamke

Thamani ya Mwanamke

Katkit

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2023
Posts
1,893
Reaction score
4,641
Nimerudi tena.

Tuwaheshimu, tuwajali, tuwatunze, tuwapende kwa moyo mkunjufu. Wengi wetu tuliolelewa na single mothers huwezi kukuta tunawadharau na kuwakejeli wanawake.

Guyz, hawa viumbe wana nafasi ya pekee mno mbinguni. Mungu awabariki wanawake wote.
 
Si saivi umetoka kusema wako cheap.....na unawachakata haswa[emoji23]

Wewe ni firauni,[emoji23]
 
Wewe huwezi kuona upumbavu wa singo maza kwakua ni mtoto wa singo maza...
Ugumu wa singo maza anaujua baba ako wa kambo...

Fanya makosa yote,usijaribu kuoa singo maza....UTAJUTA
 
Back
Top Bottom