kipapi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,059
- 1,390
Bado kidogo tu afikie zile za makinikia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nlkuwa namaansha kulipia barcaSi kama ulivotafsiri wewe. Yaani maana yake wamelipa kupitia Club ya Barca badala ya kupitia Laliga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaa..., ukiongezea na zile Noah za chenji ya Makinikia, adui umasikini angetusikia tu.Kama kiwanda kimoja ni vyerehani vinne basi karibu kila familia ingekua na kiwanda chake!!
Kwa kifupi tungeiacha mbali kabisa china kwa viwanda!!
Baada ya miaka 3 tungekua tunatoa misaada kwa japan, south africa na wengineo...
acha tu ndugu yangu hahahaa!!Hahaaaaaa..., ukiongezea na zile Noah za chenji ya Makinikia, adui umasikini angetusikia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app