Thamani ya Neymar waweza kununua Pangaboi za mkulu ngapi?

Baada ya LaLiga kuzngua naskia neymar amejilipia mwenyew ... eti ni kweli

Sent from my Android phone
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

the great
 
Kama kiwanda kimoja ni vyerehani vinne basi karibu kila familia ingekua na kiwanda chake!!

Kwa kifupi tungeiacha mbali kabisa china kwa viwanda!!

Baada ya miaka 3 tungekua tunatoa misaada kwa japan, south africa na wengineo...
Hahaaaaaa..., ukiongezea na zile Noah za chenji ya Makinikia, adui umasikini angetusikia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…