Thamani ya nyumba ya Singano "Messi" V/S Saa ya Rafael Nadal!!

Thamani ya nyumba ya Singano "Messi" V/S Saa ya Rafael Nadal!!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Hiyo saa ya RAFAEL NADAL ni aina ya RM27-02 iliyotengenezwa na co ya LUXURY SWISS na thamani yake ni £510,000=1.8Billion.

Na huyu ni RAMADHAN SINGANO "MESSI" wa Simba akiwa na familia yake nyumbani kwao na inasemekana anahifadhiwa na kaka yake.
 
Attachments

  • 29419E7C00000578-0-image-a-86_1433247312862.jpg
    29419E7C00000578-0-image-a-86_1433247312862.jpg
    17.1 KB · Views: 700
  • 2941A10000000578-0-image-a-78_1433246116261.jpg
    2941A10000000578-0-image-a-78_1433246116261.jpg
    32 KB · Views: 671
  • MESSI-1-1024x576.jpg
    MESSI-1-1024x576.jpg
    49.5 KB · Views: 690
Pia inasemekana kwamba Simba wameshindwa kumtekelezea makubaliano ya mkataba ambao ilitakiwa apewe nyumba na usafiri lakini imemuacha huyo dogo akiteseka kwa kulala kwenye chumba cha kaka yake huku akitumia usafiri wa daladala!!
 
Hiyo saa ya RAFAEL NADAL ni aina ya RM27-02 iliyotengenezwa na co ya LUXURY SWISS na thamani yake ni £510,000=1.8Billion.

Na huyu ni RAMADHAN SINGANO "MESSI" wa Simba akiwa na familia yake nyumbani kwao na inasemekana anahifadhiwa na kaka yake.

Waliokulia Na Wanaoishi Magomeni Mapipa Kwa Macheni Utawajua Tu.
 
Hiyo saa ya RAFAEL NADAL ni aina ya RM27-02 iliyotengenezwa na co ya LUXURY SWISS na thamani yake ni £510,000=1.8Billion.

Na huyu ni RAMADHAN SINGANO "MESSI" wa Simba akiwa na familia yake nyumbani kwao na inasemekana anahifadhiwa na kaka yake.

Saa kuwa na thamani kiasi hicho what for? Wazungu sometimes ni waongo tu
 
Saa kuwa na thamani kiasi hicho what for? Wazungu sometimes ni waongo tu
mkuu ni fumbo hilo.
by the way,mpira wa tanzania bado si tegemeo saaaana kwa vijana wetu.
jina la RAMADHAN SINGANO "MESSI" ni kubwa sana,but maisha ya mchezaji huyu ni aibu,hana ata kitanda..!na kuhusu hiyo saa si uongo,we google hiyo saa utaiona thamani yake.
 
Sio soka la bongo ni magumashi ya simba na viongozi wake,na watacheza mchangani milele kwa kupata laana wanamdhalilisha yatima huyu ?shame on u aveva na magumashi yenu
 
Hyo saa noma aisiee. Na Rafael Nadal kutokana na mchezo anaocheza, alitaka saa nyepesi sn, ikiwezekana hta asifeel kma kavaa saa. Inafika mpk dola laki 7
 
ni sawasawa na kumfananisha jamali malinzi na blatter
au useme may weather na cheka

muwe mnapima jamani
 
ni sawasawa na kumfananisha jamali malinzi na blatter
au useme may weather na cheka

muwe mnapima jamani

mkuu masai dada ,ndio maana nikaamua kufananisha nyumba v/s saa.Maana kama ningeamua kufananisha nyumba kwa nyumba ingekua kichekesho zaidi!!
 
Last edited by a moderator:
Huu ni uhalifu mkubwa sana soka la Tanzania na Dunia kwa ujumla.

Messi huyu Singano!

Picha kwa hisani ya shafii Dauda.
 
Attachments

  • 1433287338235.jpg
    1433287338235.jpg
    44.2 KB · Views: 282
  • 1433287367274.jpg
    1433287367274.jpg
    48.8 KB · Views: 268
  • 1433287403834.jpg
    1433287403834.jpg
    61.4 KB · Views: 253
  • 1433287450125.jpg
    1433287450125.jpg
    54.1 KB · Views: 219
Back
Top Bottom