Thamani ya pesa ya Zambia

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Wakuu naomba kujua pesa ya Zambia (Zambian kwacha) kwa mfano 100 ya Zambia ni sawa na Tsh ngapi kwa sasa ktk maduka ya kubadilishia pesa? Nikipata kwa walio mbeya itapendeza zaidi.
 
Wakuu naomba kujua pesa ya Zambia (Zambian kwacha) kwa mfano 100 ya Zambia ni sawa na Tsh ngapi kwa sasa ktk maduka ya kubadilishia pesa? Nikipata kwa walio mbeya itapendeza zaidi.
1k =232 Tsh

100k = 23,200tsh.....kwa chenji ya leo.
 
Mkuu umenikumbusha pin.Niliwahi kukaa Tunduma 2011.
 
kwa hiyo kwacha inathamani kuliko shilingi yetu aaahh kudaadeki!!
 
Umefanya hesabu vizuri mkuu??
sasa mi hapo ndo sielewi mtuelimishe wajameni!!
mfano
Randi 1 ya SA=167 tsh,hapa randi inathamani
sasa hapo kuna mdau kaandika
1kwacha =232 tsh,sasa nikawa nimepata maluweluwe..
 
sasa mi hapo ndo sielewi mtuelimishe wajameni!!
mfano
Randi 1 ya SA=167 tsh,hapa randi inathamani
sasa hapo kuna mdau kaandika
1kwacha =232 tsh,sasa nikawa nimepata maluweluwe..
Mkuu kama hiyo exchange rate uliyoandika hapo iko sahihi, hsiko shaka kabisa Rand na Kwacha vina thamani zaidi ya Tz Sh.
 
Are you serious?
Ndio mkuu na hizi ndio sarafu zao.

Noti
100k
50k
20K
10k
5k

Silva
1k
5 k

Walichofanya wao walipunguza sifuri tatu kwa kila noti.

Hapo nyuma walikuwa na noti ya 100,000k, 50,000k, 20,000k, 10,000k, na 5,000k.....
 
Kwaiyo ZK inathamani kwa Tz sh.?
 
Kwaiyo ZK inathamani kwa Tz sh.?
Mkuu kiuhalisia Tz sh ipo juu sana ya zk..... maana 1000k sawa na 232 Tz sh....
Ila walivyopunguza hizo sifuri ndio inaonekana Tz sh ipo chini...

Ila hilo somo la kupunguza sifuri naona linahitaji wachumi kwa ufafanuzi zaidi, maana hata sisi tunaweza kupunguza sifuri tatu 10,000 Tz sh ikasomeka 10 Tsh na thamani yake ikabaki vilevile.

Japo naona utaratibu huu umetumika kwa nchi mbili za Afrika, Zambia na Ghana....
 
Hapo umenitoa tongotongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…